Habarini jamani?
Naona Tanzania kuna fursa nyingi za kuanzisha klabu za michezo mingine, ukiachana na michezo kama football, boxing, basketball nk. Kuna michezo ambazo zinafaa kwa watu ambao labda football sio kipaji chao.
Na pia michezo hiyo inaweza kuchezwa katika jukwaa la kimataifa...