Ni vicheko kwa wanafunzi 56,132 waliopangiwa kujiunga na vyuo vikuu mbalimbali nchini baada ya kupangiwa mikopo ya elimu ya juu katika awamu ya kwanza inayoenda sambamba na nyongeza ya fedha za kujikimu kutoka Shilingi 8,500 hadi Shilingi 10,000.
Itakumbukwa kuwa Februari mwaka huu Rais Samia...