Kwema wakuu,
Kuna mtu kanifata anahitaji ushauri, anataka kujilipua kwenda kariakoo kufanya biashara.... Kwanini Kariakoo? Anaamini Kariakoo ndo hub ya biashara hapa Tanzania.... Mzunguko wa kariakoo si rahisi kuupata mahali pengine popote hata kama unapata faida ndogo
Amekua akifanya...
Utangulizi
Kushinda shindano la "Stories Challenge" na kuibuka mshindi wa shilingi milioni 50 ni tukio la kipekee linaloweza kubadili maisha. Malipo haya ni fursa adhimu ya kuweka msingi imara wa maendeleo binafsi na ya nchi. Katika makala hii, nitaelezea jinsi ninavyoweza kutumia fedha hizi kwa...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda , ameonesha hali ya kushangazwa na kuchukizwa mara baada ya kutembelea na kukagua mradi wa kisima cha maji uliopo kijiji cha Ilidonyo Kata ya Sinya katika Halmashauri ya Wilaya ya Longido uliotumia kiasi cha fedha takribani Tsh Milioni 600 na bado...
Gesi hii ambayo wanaiita Auto-Gas ndio mixture ya (Butane na Propane au Propane) na ndio huku tunapikia majumbani...; nimetoa hii habari hapa kuonyesha kwamba ni busara kutumia ulichonacho na Algeria hii gesi ndio bei rahisi sana nadhani kuliko sehemu nyingine...
Wamefanikisha hayo kwa kutumia...
● Pesa zitatumika kujenga minara mipya 200 na kuongeza upatikanaji wa huduma ya mawasiliano vijijini
● Upanuzi wa miundombinu utaboresha upatikanaji wa mtandao, na kuongeza nguvu kwenye jitihada za serikali za kufikia malengo ya kidijitali, huduma jumuishi za fedha pamoja na kutoa nafasi za...
Serikali imesema kumekuwa na mafanikio makubwa ya sekta ya habari na Mawasiliano, pamoja na upatikanaji wa mawasiliano nchini, hivyo kuongeza idadi ya laini za simu, watumiaji wa intaneti na huduma za kutuma na kupokea fedha katika Mwaka wa Fedha 2023/2024 .
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa...
CASHLESS ECONOMY-DIGITAL ECONOMY (Uchumi wa Kidijitali, matumizi ya fedha kielectroniki kwenye shughuli za kiuchumi).
Leo (16/05/2024) nimesimama Bungeni kuomba ufafanuzi kwa serikali, Katika Dunia ya sasa, uchumi umehamia kwenye mifumo (elekroniki) iwe kununua au kulipa au kupata huduma yoyote...
Utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa banda la kupokelea samaki katika soko la kimataifa la samaki lilipo eneo la Katambe Magarini lililojengwa kwa fedha za mfuko wa ndani Halmashauri kiasi cha Tsh. Mil 50 lakamilika kwa 100%. OR TAMISEMI
Mkazi wa Jijini Dar es salaam amekamatwa na Polisi Mkoani Njombe akiwa na Tsh. 29,374,000 katika nyumba ya kulala Wageni (Gesti) Mjini Makambako ambapo fedha hiyo inadaiwa ameipata kwa njia ya wizi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Mahamoud Banga, amesema wamemkamata Mwakatundu wakiwa...
Huawei amezindua series za Pura 70 nchini China ikifungua ukurasa mwingine wa maendeleo pamoja na vikwazo vya Marekani.
Ripoti zinasema simu hiyo imetumia zaidi vifaa vinavyotengezwa China kuliko simu yoyote Huawei imeshawahi kutengeneza kabla. Pamoja na hivyo bado Kirin 9010 inayotengezwa na...
MHE. RUHORO, MBUNGE WA JIMBO LA NGARA NA WANAJIMBO KATORIKI LA RULENGE - NGARA.
💒⛪🗓️12 MAY,2024.💒⛪
Mhe. NDAISABA GEORGE RUHORO, Mbunge wa Jimbo la Ngara, Sekreterieti CCM 'W' na M/kiti CCM 'W' Ndg VITARIS NDAILAGIJE amefanya ziara alimaarufu OPERESHENI JENGA KANISA katika Kanisa Katoliki...
Kibu Denis amesaini mkataba wa miaka 2 kuendelea kusalia simba kwa Ada ya usajili ni milioni 350, mshahara wa 15 na Gari yenye thamani ya milioni 50.
Kibu jumla atakusanya milioni 760 ndani ya miaka 2, kama pesa za usajili, mshahara pamoja na gari.
Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini (ccm),Profesa Patrick Ndakidemi ameahidi kutoa shilingi Milioni tano familia iliyopoteza watu wanne ambao walifari Dunia baada ya nyumba yao kuangukiwa na kifusi baada ya mvua kubwa Iliyonyesha usiku wa April 25 Mwaka huu .
Mvua hiyo ambayo ilileta uharibifu...
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko amepokea misaada ya waathirika 4166 ambayo imetolewa na Serikali pamoja na Wadau wa maendeleo.
Naye, Katibu tawala wa mkoa huo, Albert Msovela amesema misaada hiyo ina gharama ya jumla ya sh milioni 113.
Ikumbukwe kuwa mwezi uliopita naadhi ya maeneo...
Hivi mshawahi kujiuliza unapita mahali mtu kafungua frem au duka hata hamna wateja unajiuliza huyu mtu huwa anaweza vipi kulipa kodi wakati hamna wateja?
Hili swali najiulizaga sana, nimekuta mjadala huko mtandaoni leo
Unakuta mtu ana duka la iphone hata simu 10 hazifiki frem kodi ni milioni...
Wenzetu jirani Kenya, Uganda, Rwanda wamestuka kwamba Technology is the future, hawana budget kubwa kama mbele ila si haba wanapambana wasipitwe sana, wanaandaa watoto shule za msingi kujifunza kutenegendeza programs, mifumo ya computer, robots, n.k. mtoto anajengewa msingi imara kuvijua vitu...
BASHUNGWA AONGOZA HARAMBEE YA UJENZI WA ZAHANATI KANOGO, MILIONI 46 ZAKUSANYWA.
Karagwe - Kagera.
Waziri wa Ujenzi Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameungana na Wananchi wa Kata ya Nyakabanga Wilayani Karagwe katika harambee ya kuchangia ujenzi na ukamilishaji wa zahanati ya...
Mhe. Jesca David Kishoa (Mbunge wa Viti Maalum -Singida) Jana Jumamosi amefanya ziara ya kikazi katika kata ya Ibaga, Wilaya ya Mkalama. Ziara hiyo ni mahsusi ya kumuunga mkono Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya katika kuliongoza na kuliletea maendeleo Taifa...
Umenunua kiwanja ukaanza kujenga nyumba from scraatch kwa milioni 100 unakuja kukodisha kwa laki 2 na nusu, hicho kiasi ni ngumu kukupigisha hatua, ni pesa itayokuwa inaishia kwenye bills za mwezi, hapo kumbuka kuna muda nyumba inaweza isiwe na mpangaji ama mpangaji akawa msumbufu,
Ukiweka pesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.