milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    Kanuni mpya, Tff itakusanya takribani milioni 300 kwa wachezaji wa kigeni,

    Baadhi ya kanuni mpya za ligi kuu Tanzania bara Kuelekea msimu wa 24|25. ◉ Mchezaji yoyote wa kigeni anayesajiliwa ligi kuu Tanzania bara atalipiwa ada maalumu ya Tsh 8 Million kwa msimu mmoja ili usajili wake uweze kuthibitishwa na kuruhusiwa kucheza na (TFF). AZAM - MILIONI 96 YANGA-MILIONI...
  2. Vien

    Biashara ya Hardware kwa Mtaji wa Milioni kumi (10m)

    Habari wanajukwaa, Tukiwa kwenye sherehe za wakulima leo tarehe 08/08/2024 nimepata wazo la kuanza biashara ya hardware kwa mtaji mdogo wa milioni 10, hapa nimelenga kugusa karibu kila sector katika ujenzi kwa kuanza na hivi vifaa 👇🏻 Electrical items Insulation tape Bulb enery savers...
  3. GENTAMYCINE

    Baba Levo: Diamond Platinumz alitaka apewe Milioni 300 na Yanga SC aende Siku ya Wananchi, ila Yanga SC hawana Hela na wakashindwana hapo

    Tusichoshane nendeni Wasafi FM huko mkamsikie Wenyewe. Mnajifanya mna Hela zisizo na Kazi kumbe ni Masikini tu.
  4. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Zaytun Swai Atimiza Ahadi Yake ya Milioni 12.5 kwa UWT Jiji la Arusha

    MBUNGE ZAYTUN SWAI ATIMIZA AHADI YAKE YA MILIONI 12.5 KWA UWT JIJI LA ARUSHA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Mhe. Zaytun Seif Swai ametoa Shilingi 12.5 kwa UWT Jiji la Arusha ikiwa ni ahadi yake aliyotoa kwa kutoa Shilingi Laki Tano (500,000) kwa kila Kata ya Mkoa wa Arusha kwaajili ya...
  5. GENTAMYCINE

    Kwanini wana Yanga SC wa JamiiForums hii Mada ya Shilingi Milioni 200 kwa Mwaka inawauma na Ukiwauliza wanakuwa Wakali sana Kujibu?

    Hivi na wale mliowafunga kwakuwa walikuwa wanajikusanya kuanza Pre Season yao nao wanajua mmepokea 200M?
  6. Stephano Mgendanyi

    Wanu Hafidh Ameir achangia Milioni 10 Ujenzi wa Nyumba ya Katibu UWT Wilaya ya Rufiji

    MHE. WANU HAFIDH AMEIR ACHANGIA MILIONI 10 YA UJENZI WA NYUMBA YA KATIBU UWT WILAYA YA RUFIJI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Unguja Kusini tarehe 30 Julai, 2024 alifungua Baraza la UWT Wilaya ya Rufiji na kuchangia Shilingi Milioni 10 kwa ajili ya kutatua changamoto zao ikiwemo kumalizia ujenzi...
  7. GENTAMYCINE

    Naomba tu Kuuliza je, Mjanja anakubali kupokea Milioni 200 kwa Mwaka ili aweze kuipata Bilioni 1 baada ya Miaka Mitano?

    Siku zote Thamani ya Mjanja anayejitambua kama Rafiki yangu Bila bila haiwezi kuwa ya kupewa Shilingi Milioni 200 kwa mwaka wakati Mjanja mwingine anayejitambua kama GENTAMYCINE Yeye anajijua kabisa kuwa Thamani yake kwa sasa na kwa jinsi alivyo hapa Barani Afrika ni kuanzia Bilioni 3 kwa Mwaka.
  8. KANDA MBILI

    Zaidi ya milioni 12 posho za Mabalozi, Makatibu tawi na Makatibu kata zaliwa na katibu wa CCM(W) Missenyi CDE Bakari Mwacha

    Historia ya Cde Bakari inaendelea kumtafuna kwa alikotoka na ambako yupo. Alipokuwa kwenye sekretarieti kama katibu wa vijana Simanjiro alikuwa kikwazo sasa kwa wilaya ya Missenyi ndio kawa kikwazo kabisa kama bosi wa chama. Ndugu Katibu Mkuu najua utakuja Missenyi ila naomba kabla hujafika...
  9. mdukuzi

    Kibu Denis atapanya zaidi ya milioni 200 Ulaya akisaka timu, aangukia pua! Awaomba radhi Simba

    Hivi vilabu kuna vizee vina midomo michafu,vikikuombea dua baya hutoboi kama hauko vizuri. Ukitaka kumchokoza mtu wa Kigoma muite Mrundi,atakypiga ngumi,watu wa Burundi wana stress muda wote,wana msongo wa nawazo,wanawaza vita,wanawaza kutorokea ulaya kama wakimbizi. Kibu Denis ana jinamizi au...
  10. Down To Earth

    Kwa Hiyo Yanga Mmeingia mkataba wa milioni 16.6 kwa mwezi na GSM?

    Imenishangaza sana kuona Club ya Young Africans wanakubali mkataba wa kimangungo kabisa. 1 bilion kwa miaka mitano ni hela ndogo sana na sijui watanufaikaje nayo in a long run. Pesa ambayo kwa mwezi ni Milioni 16.6 tu.. This is too stupid for the club development
  11. Mkalukungone mwamba

    Manara tukiwapiga Simba chini ya Goli nne nakuja hapa SportsArena kuwapa kila mtangazaji milioni moja

    “Wachezaji kila ukiwauliza wanasema wao wanawaza Agosti 8 tu, nawaambia kabisa ‘Makolo’ wasilite timu uwanjani, yani wale tukiwapiga chini ya nne nakuja hapa SportsArena kuwapa kila mtangazaji milioni moja moja.” —— Msemaji wa Yanga Sc, Haji Manara
  12. W

    Kampuni ya HBO ya Marekani kuwalipa wasanii wa Bongo Fleva, Soggy Doggy na Dataz Tsh. Milioni 700

    Kampuni ya Home Box Office (HBO) ya Marekani kuwalipa wasanii, Soggy Doggy na Dataz, kiasi cha Tsh Milioni 700 kwa kutumia wimbo wao "Sikutaki Tena" katika filamu ya "Sometimes In April" bila makubaliano. Hukumu hii imetolewa Julai 26, 2024, katika Mahakama Kuu ya Tanzania, kanda ya Dar es...
  13. Mshati940

    Msaada wa mawazo ya biashara kwa Mtaji wa Milioni 5 Mjini Bariadi mkoa wa simiyu

    Kama kichwa cha hapo juu kinajieleza kwa walio bahatika kutembelea mji wa bariadi naomba msaada wa mawazo wa fursa za kibiashara walizoziona ambazo mtu mwenye mtaji at least wa Milioni 5 anaweza kufanya na maisha yakaenda vizuri. Natanguliza shukrani
  14. Roving Journalist

    Dr. Benezeth lutege: Ukichinja Ng’ombe mwenye Mimba, Faini ni Milioni 1 au Jela Miezi 6

    Utaratibu wa uchinjaji wa Wanyama katika machinjio na maeneo mbalimbali yanayotambuliwa Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi inalinda afya ya jamii kitaifa na kimataifa kwa kusimamia usalama wa afya ya mifugo na mazao yake nchini. Jukumu hili hufanyika kwa kutumia Sheria na Kanuni...
  15. GENTAMYCINE

    Mdogo wangu Ajib uliniumiza mno pale ulipokataa kwenda TP Mazembe iliyokuwa ya Moto kwa Signing Fee ya Milioni 350 na Mshahara wa Milioni 15 kwa Mwezi

    Klabu ya Dodoma Jiji imemsainisha kiungo mshambuliaji Ibrahim Ajibu kwa mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia timu hiyo msimu ujao akitokea Coastal Union ya Tanga. Mmoja wa viongozi wa timu hiyo ameiambia Mwananchi kwamba bado wanaamini Ajibu ana uwezo mkubwa uwanjani hivyo ataongeza nguvu katika...
  16. Stephano Mgendanyi

    Mpango wa Minara ya UCSAF kunufaisha Watu Milioni 8.5, Wilaya ya Kibondo Wanufaika

    MPANGO WA MINARA UCSAF KUNUFAISHA WATU MILIONI 8.5, WILAYA YA KIBONDO WANUFAIKA Waziri wa habari, mawasiliano na teknolojia ya habari Nape Nnauye amesema kuwa wananchi milioni 8.5 watanufaika na kuunganishwa kwenye mawasiliano ya simu za mkononi na vifaa vingine vya mawasiliano kupitia mpango...
  17. Black Butterfly

    Geita: Wakuu wa Wilaya wapewa Magari 3 mapya yaliyogharimu Tsh. Milioni 840

    Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine Shigela amekabidhi magari matatu mapya kwa Wakuu wa Wilaya ya Geita, Mbogwe na Nyang’hwale yenye thamani ya zaidi ya Tsh. milioni 840. Akikabidhi magari hayo katika Kata ya Bombambili Halmashauri ya Mji wa Geita, Shigela amewataka Wakuu wa Wilaya kuyatumia vizuri...
  18. Mkalukungone mwamba

    Ichukue hii! Kiwanja kinauzwa milioni 1 na laki 5 kipo Bagamoyo

    Ichukue hii! Kiwanja kinauzwa milioni 1 na laki 5 kipo Bagamoyo kipo kidomole Bagamoyo ukubwa wa 30 kwa 25 akipo mbali na barabara ni dakika 10 kufika kiwanja kilipo hatutojutia hata kidogo ukinunua kiwanja hicho Karibu sana simu 0712815440
  19. Analogia Malenga

    Vijana milioni 23.6 barani Afrika hawana ajira

    Inakadiriwa kuwa vijana wapatao milioni 23.6 barani Afrika (wenye umri wa miaka 15-35) hawana ajira – sawa na mmoja kati ya 22 (4.5%). Kwa idadi hii kutarajiwa kuongezeka hadi milioni 27 ifikapo mwaka 2030, umuhimu wa ajira ni wa hali ya juu. Katika muktadha huu, World Data Lab na Mastercard...
  20. G

    Natafuta anayeuza Google-Play Console nifanye naye biashara

    Je ? Una google play console account. 1. Nanunua google play console angalau kuanzia mwaka 1 na kuendelea(chini ya mwaka tutazungumza). 2. Nanunua google play console yenye live app kuanzia 1 na zaidi,keystore&password na source code. 3. Nanunua google play console yenye live app bila keystore...
Back
Top Bottom