TANROADS YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA ZAIDI YA MILIONI 2 KATIKA KILELE CHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), imetoa msaada wa vifaa tiba katika kituo cha afya Segerea vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni mbili.
Miongoni mwa vifaa vilivyotolewa ni pamoja...
Mwanamichezo Liston Katabazi analiburuza mahakamani Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) akilidai shirikisho hilo lililotangaza kumfungia maisha kujihusisha na soka.
Kwa mujibu wa Katabazi ameifungulia kesi TFF katika mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam, yenye namba 14708-2024...
Kuna dili nimepewa ila nimekosa Hio pesa, Kuna nyumba ipo arusha inauzwa milioni 100, Ina wapangaji kampuni ya wahindi ambayo imesajiliwa wameikodi Hio nyumba, Wana zaidi ya miaka 8 wamekodi Hio nyumba, wanalipa Kodi milioni 9 Kila mwaka na wanalipa kwa mkupuo
Kama Kuna mtu anataka kuinvest...
Baada ya kufanikiwa kusalia kwenye NBC Premier League, hatimaye Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha amewakabidhi wachezaji wa Tabora United, kitita cha Shilingi milioni 50 aliyowaahidi endapo wangefanikiwa kusalia kwenye Ligi Kuu Bara.
Tabora United imesalia NBC Premier League baada ya kuifunga...
Wakuu Poleni na majukumu, moja kwa moja Mimi Nina shida ya pesa. Lakini nimepata ushauri kwamba kama nahitaji kukopa basi nitafute Saccoss maana wanasema Saccoss ni nzuri zaidi kuliko bank au mtu binafsi yaani Kausha Damu.
Naomba kwa anayefahamu Saccos wanayokopesha na iko vizuri. Nipo Jiji la...
Tarehe 04/05/2024 Mkuu Wa Mkoa wa Tabora, Paulo Matiko Chacha amefanya ziara katika Wilaya Uyui Jimbo la Igalula katika Kata za Tura, Kigwa na Igalula.
Akiwa katika ziara hiyo ameambatana na Mkuu Wilaya ya Uyui, Zakaria Mwansasu pamoja na Mbunge wa Jimbo la Igalula, Venant Daud protas, katika...
Habari wadau.
Natafuta kiwanja maeneo ya Kitunda Kivule mpaka maeneo ya Msongola.
Bajeti yangu ni milioni 5.
Ukubwa wa Kiwanja kisipungue sqm 300. Kama kikiwa kikubwa zaidi nitashukuru.
Kama unauza kiwanja maeneo hayo karibu unipe sifa zake.
Pesa ipo mfuko wa shati
Na Mwandishi Wetu, Michuzi TV
MJUMBE wa Baraza Kuu UWT Taifa ambae pia ni Mwenyekiti wa Jukwaa la Uwezeshaji Kiuchumi Wanawake Mkoa wa Pwani Mariam Ulega amechangia Sh. milioni 3 kwa kikundi cha Pwani Generation Queens (Mwanamke Sahihi Fete) ili kuunga mkono kampeni ya kumsaidia baiskeli mtoto...
It is another blessed Tuesday and thank Allah for this wonderful moment OK OK OK twenzetu kwenye Mada yetu Wakuu hahahahaha I'm back again
Wakuu ama kweli kilimo hakimtupi Mkulima aisee hawa wahenga bwana hawakukosea hata kidogo mazee within 3 month kilimo kimenipa milioni 40 na nililima hekari...
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainabu Katimba (Mb) amesema Serikali imedhamiria kujenga Barabara kwa kiwango cha Lami katika Jimbo la Lupembe ambapo amesema jumla ya shilingi Million 500 zimetengwa.
Katimba amesema hayo...
Make China great again? App ileile ambayo alitaka kuifungia akiwa raisi.
Mzee kachekecha akili akaona ili apate kura za vijana ajiunge TikTok
Post yake ya kwanza tayari imepata likes zaidi kuliko posts zote kutoka kwa @BidenHQ katika muda wa miezi 4 ambao wamekuwa kwenye TikTok.
Tutashuhudia...
Endapo yanga watachagua team nzuri ya watu wakazungusha haya makombe mawili NBC na Crdb kuanzia dar hadi kigoma na Rukwa na kutoa offer ya Kila shabiki kupiga picha na kombe kwa sh.2000=1000 KILA kombe basi hakitakosa watu 300000 watakaotaka kupiga picha na makombe hayo kwa kiasi hicho
Nina kiwanja huko Bagamoyo nahitaji kujenga nyumba yangu ili nitoke kwenye nyumba za kupanga
nikiwa na bajeti ya Milioni 20 tu,kwa pesa hii naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi
naombe ushauri wenu.
Gati linaloelea majini lililojengwa Gaza na Marekani kupitishia misaada kabla kufanya kazi yake limeshakumbwa na matatizo mara kadhaa na mwishowe limebomoka kutokana na upepo mkali.
Habari zinazoendelea kutolewa ni kuwa dude lote limeanza kuzama na haitokuwa rahisi kuliokoa.
Muda mfupi kabla...
NB: pesa hizi hazihusiani na ubingwa, kila team inapewa
Azam kutoa Milioni 50 kila mwezi kwa kila timu ya ligi kuu, hadi sasa umeona mabadiliko yapi kwenye ushindani wa ligi yetu?
Ewe mdau wa soka la Tanzania, umeona mabadiliko?
"MIMI MWENYE NYUMBA WAKO APA MBONA SIKU ZINAZIDI?" 12 WAFIKISHWA MAHAKAMANI, WAKABILIWA MASHTAKA 32.
Na. Jeshi la Polisi, Dar es Salaam, Mei 28, 2024
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewapandisha kizimbani wakazi 12 wa Ifakara, Morogoro akiwemo Barnaba Gidajuri (45) wakikabiliwa na mashtaka...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, amebaini upigaji na madudu yanayofanywa katika vituo mbalimbali vya mabasi hapa nchini.
Kupitia Ripoti Kuu ya Ukaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 iliyotoka hivi karibuni, pia amesema kuna uendeshaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.