mionzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ngumu kuelezea, ila Ukigusisha Remote ya Gari kwenye Kichwa chako, Mionzi inafika mbali zaidi kuliko uki-point Remote uelekeo wa Gari

    Sijui kama tittle imeeleweka. Ila, kwa mfano unataka ku-lock/unlock gari, ila upo mbali mfano mita 100 kutoka kwenye gari, uki-point na kuclick lock isifanye kazi, kwasababu ya umbali. Ukiwa hapo hapo, ila this time Ile remote ukajigusisha kichwani mfano juu ya sikio, gari italock/unlock. Ni...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali tunaomba wataalumu wa mionzi tuongezewe mshahara kwa ngazi ya diploma atleast iwe 1.4M

    Wataalumu wa mionzi wanahatarisha maisha yao sana ukilinganisha na madaktari au manurse mionzi ni hatari kwa afya inaweza kusababisha saratani na mazingira magumu ya kazi unaweza kupangiwa kituo cha kazi unakuta hakuna control room wala lead wall hatari inakuwa kubwa. Dosimeter zenyewe mbovu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kuanza kutumia teknolojia ya mionzi kuchapisha taarifa katika tabaka kwenye kitambiulisho cha Taifa

    Hayo yamesemwa leo na Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa leo 1, Septemba 2026 kwenye uzinduzi wa Septenba ya Utambulisho Amesema kuwa, "Ni kuboresha teknolojia ya kuchapisha vitambulisho. Tumekuwa na maoni mengi kutoka kwa wananchi juu ya uboreshaji wa kitambulisho. Sasa ndugu zangu waandishi...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki ufunguzi wa Jengo la Mionzi (Chemotherapy) Hospitali ya KCMC-Moshi Kilimanjaro

    https://www.youtube.com/live/tbA3qAYbzio?si=33KuineyOZDSZmtR Video Courtesy: Directorate of Presidential Communications YouTube Channel
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali iongeze Watumishi wa Afya, Wilaya ya Mlele, Kitengo cha Mionzi, kuna mtumishi mmoja tu

    Mimi ni Mwananchi kutoka Katavi Wilaya ya Mlele naomba Serikali iongeze Watumishi Idara ya Afya Kitengo cha Mionzi, kwani kuna Mtumishi mmoja tu naye anapitia changamoto za ajali ya mguu, hivyo Wananchi wanakosa huduma kwa wakati. Kibaya zaidi kuna Zahanati Inyonga B na Zahanati Ilunde na...
  6. JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani: Ondoeni Tozo ya Mionzi kwa Wanunuzi wa Tumbaku

    MBUNGE CHEREHANI: ONDOENI TOZO YA MIONZI KWA WANUNUZI WA TUMBAKU Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Emmanuel Cherehani ameiomba Wizara ya Kilimo kuondoa tozo ya mionzi kwa nunuzi wa zao la Tumbaku, kwani inawaumiza sana wanunuzi ambayo inasababisha wakulima kupunguziwa bei ya kuuza zao hilo. Pia...
  7. JamiiForums Tanzania Urusi yasambaza Nuclear Shetlers mitaani kukinga Raia dhidi ya mionzi

    Russia imeanza kuzalisha na kusambaza Nuclear shetlers mitaani kwa ajili kukinga raia dhidi ya mionzi hatari...... Rais Vladimir Putin ameagiza vikosi vya Nyuklia kujibu shambulio lolote toka Nchi za NATO na Ukraine kwa Nuclear Update: Russia begins production of mobile nuclear shelters! These...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya mionzi katika uchunguzi wa kitabibu ina madhara kwa afya?

    Hili suala nimekuwa nikilisikia kwa muda mrefu kuwa matumizi ya mionzi kama vile X-Rays kwenye uchunguzi wa kitabibu ina madhara ki afya, uhalisia wake upoje?
  9. JamiiForums Tanzania Miwani ya kuzuia mionzi hatari ya kompyuta, simu na tv

    - Hutakiwi kuikosa miwani hii, miwani hii ni PHOTOCHROMIC, inabadilika na kuwa nyeusi kila unapopigwa na mwanga wa jua na kuweza kukukinga na mwanga mkali wa jua. - Itakukinga na mionzi mikali ya KOMPYUTA, SIMU pamoja na TV inayopelekea kichwa kuuma chenyewe, Macho kutoa machozi na kuwasha...
  10. JamiiForums Tanzania Dkt. Tax ashiriki Hafla ya Kufunga Mafunzo ya Utayari Dhidi ya Dharura za Kemikali na Mionzi

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax, Machi 14, 2024 ameshiriki katika hafla ya kufunga mafunzo ya utayari dhidi ya dharura za kemikali na mionzi, ambapo Mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa. Sambamba na Ufungaji...
  11. JamiiForums Tanzania Dkt. Ashatu Kijaji azindua Jengo la Mionzi katika Hosipitali ya Wilaya ya Kondoa

    Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewataka watumishi wa afya katika Halmashauri ya Kondoa pamoja na Halmashauri ya Mji Kondoa kutoa huduma bora kwa wananchi kwa kuwa wananchi hao wanamatumaini makubwa ya kupata huduma kwa haraka na kwa uhakika. Ameyasema...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali Zanzibar yaiomba Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) kudhibiti matumizi salama ya vyanzo vya mionzi nchini

    Serikali Zanzibar yaiomba Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) kudhibiti matumizi salama ya vyanzo vya mionzi nchini Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema hayo alipoweka jiwe la msingi la ofisi ya maabara ya Tume hiyo kwa Zanzibar, huko Dunga Zuze, Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…