Nimepita Nsalaga hapa namuona Mr. Two Maarufu kama Sugu akiwa na kundi kubwa la Vijana wakiwa wamezingira gari huku wakimuita Mbunge, Mbunge, Mbunge.
Hata wale wenye bajaji zilizoandikwa Tulia Trust sijui ni mikopo ya Dkt. Tulia hii nao wapo hapo na Sugu wakimgongea tano.
Huyu bwana anapendwa...