Habarii ndugu zangu Wanajf,
Mimi ni mwajiriwa wa serikali japo bado sijathibitishwa kazini,ila nimepataa changamoto ambayo inahitaji kama 2M Hivi kuweza kuitatua.
Je? Ninaweza kupata mkopo NMB? Kama jibu ni ndio nilikuwa naomba kujua vigezo vyao na huchukua Muda gani mpaka kupata.
Ahsanteni Sana;