mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mtanda: Ajibu shutma vurugu za Simba SC, CCM Kirumba, "Sikuingia Uwanjani"

    Kufuatia sakata lililotokea Mwanza, na Uongozi wa klabu ya Simba kutoa taarifa ya kulaani vikali vitendo visivyo vya kiungwana vilivyodaiwa kufanywa na viongozi wa timu ya Pamba Jiji FC kwa kushirikiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, pamoja na maafisa wa polisi. Soma, Pia: + Vurugu...
  2. L

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza RC Mtanda unamchonganisha Rais na mashabiki wa Simba kwa mambo ya hovyo kabisa, Omba radhi yaishe

    Najaribu kufikiria sana kwanini RC uliamua kufanya haya uliyoyafanya, wewe ni wa kwenda uwanjani kweli na masilaha ya moto? Wewe kazi yako c kuagiza tu kwa RPC ss iweje ubebe magari ya umma na masilaha kwenda kukabiliana na wachezaji na viongozi ambao hawana hatia? Hihi kweli RC wangap...
  3. Simba heshimu mamlaka, mkuu wa mkoa ni Rais wa eneo lote la Mkoa wake

    Viongozi wa Simba mmeonesha ni jinsi Gani mlivyo watu wa matukio na madeko Hamjui kuwa mkuu wa mkoa ndo Rais wa mkoa katika mkoa wake Utamzuiaje mkuu wa mkoa kuingia uwanjani ulio ndani ya mkoa wake kama sio dharau Kwa mamlaka Mmekaribishwa vizuri Mwanza, Sasa mnazua taharuki na kujifanya mko...
  4. Simba yalaani matumizi ya Polisi kuwazuia kufanya mazoezi katika uwanja wa CCM Kirumba kuelekea mchezo wa dhidi ya Pamba

    Soma pia: Vurugu kali zimezuka Uwanja wa CCM Kirumba wakati Simba SC ikifanya mazoezi kuelekea mechi na Pamba Jiji hapo kesho' ======== Uongozi wa klabu ya Simba umesikitishwa na vitendo visivyo vya kiungwana vilivyofanywa na viongozi wa timu ya Pamba Jiji FC, kwa kushirikiana na Mkuu wa Mkoa...
  5. Dar es Salaam: Kamishna Mkuu wa TRA akutana na mtendaji mkuu wa benki ya NMB

    Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Mwenda leo tarehe 21.11.2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna ambapo wamezungumzia mambo mbalimbali ya kikodi.
  6. L

    LGE2024 Tundu Lissu nakushauri wewe ndio ukamzuie Mkuu wa Mkoa wa Simiyu na sio kuwatafutia matatizo wananchi

    Unawatangazia wananchi kuwa wakimuona Mkuu wa Mkoa wamzuie, ebo.Mkuu wa Mkoa ambaye ametajwa kikatiba, ametajwa kwenye sheria ya Tawala za Mikoa Na.19 ya mwaka 1997, ametajwa kwenye kanuni za kudumu za utumishi wa umma, mwenyekiti wa kamati ya usalama mkoa, wananchi wazingire gari lake...
  7. Kumbukumbu Kutoka Maktaba 1989 Askofu Mkuu Marko A Mgulunde, Pd. W. Slaa na Mama Getrude Mongela

    Mhashamu Askofu Mkuu Marko A Mgulunde akimpongeza Mama Getrude Mongela mara baada ya kutoa mada yake iliyohusu uhusiano wa kanisa na serikali kwenye warsha ya Caritas; huku Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania Pd. W Slaa (kushoto) akiangalia. [PICHA Pd. Anthony Chilumba]...
  8. Nairobi: Kamishna Mkuu wa TRA atembelea Ubaloz wa Tanzania nchini Kenya

    Baada ya kikao cha Wakuu wa Mamlaka za Mapato za Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki #EARACGs, mjini Nairobi, Kamishna Mkuu TRA Bw. Yusuph Mwenda ametembelea ubalozi wa Tanzania nchini humo na kuwashukuru watumishi wa ubalozini kwa kazi ya uwezeshaji wa shughuli za kibiashara...
  9. T

    Mshauri Mkuu wa Rais wa Benki ya Maendeleo amwagia maua Rais Samia katika Jukwaa la Kimataifa

    Victor Oladokun, Mshauri Mkuu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika ameielezea vyema haiba ya Rais Samia Suluhu Hassan katika maoni yake ya hivi karibuni wakati wa mkutano wa G20 nchini Brazil. Akisisitiza mvuto wake, ujasiri wake, na maendeleo makubwa aliyoyafanikisha kwa Tanzania, kauli ya...
  10. KERO Kituo cha Daladala Mbezi Mwisho hakina mpangilio wa huduma: TANROADS, Jeshi la Polisi, DED Ubungo na Ofisi ya RC ujumbe huu unawahusu

    Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ni mojawapo ya vituo vikubwa na vyenye umuhimu mkubwa Jijini Dar es Salaam. Kituo hiki kinapokea abiria kutoka maeneo mbalimbali ya jiji na pia kinahudumia abiria wanaosafiri kupitia Stand Kuu ya Mabasi ya Kimataifa ya Magufuli. Pamoja na umuhimu wake mkubwa...
  11. Ushauri kwa Waziri Mkuu: Aliechangisha milioni 37 za maafa asidhuriwe na sheria serikali imuajiri kwenye kamati ya maafa ana uwezo wa kuhamasisha

    Leo Waziri mkuu katembelea eneo ambalo ajali imetokea huko Kariakoo na baadae akateta na wananchi na viongozi mbalimbali wa mkoa na serikali akiwemo waziri alie chini yake William Lukuvi. Lakini ukweli wabakia kuwa ni uleule kwamba bado wapo watu wamekwama huko chini ya kifusi na hatima yao ya...
  12. L

    Hongera Waziri Mkuu kwa kuagiza mmiliki wa jengo akamatwe, tamaa imemponza

    Naishukuru sana serikali kwa kuchukua hatua dhidi ya mmiliki wa jengo, naomba kuisaidia Jeshi la Polisi kuendelea kusaka taarifa zaidi za tukio hilo lakini kinachosemwa pale kariakoo na watu mbalimbali kisipuuzwe. Mimi nimesikia watu wakisema kuwa mmiliki wa jengo hilo alifanya tamaa, kwamba...
  13. R

    Vyombo vya habari tumeachana na Msiba wa Kariakoo tunaposti habari za Mkuu wa Mkoa; utu umezimwa na pesa

    Leo vyombo vyote vya habari vipo busy kupost clip za RC Arusha akieleza miezi sita ya uongozi wake. Vyombo vyote vimeachana na vifo na majanga ya ndugu zetu huko Kariakoo......kwamba kuanguka kwa ghorofa siyo habari bali miezi sita ya kisiasa ni habari. Tunaweza tusione tatizo kama Taifa ila...
  14. Meja Jenerali Ameir Hassan, Mkuu wa Kamandi ya Maji (Navy), Je naye ni Komando?

    Wakuu… Naombeni mnifahamishe huyu Mkuu wa Kamandi ya Wana Maji, Meja Jenerali Ameir Hassan ni Komando? Nimeona ana bawa katika gwanda lake?
  15. Hospitali ya Muhimbili izingatie weledi katika kutoa taarifa wakati wa Majanga!

    Nasikitika kuona "kiherehere" cha hospitali ya Taifa ya Muhimbili katika kutoa Taarifa zinazohusu majanga bila kuzingatia chain of command. Sio afya kwa hospitali hii as an entity kukimbilia kwenye media na kutoa taarifa bila kuzingatia taratibu za uhabarishaji umma wakati wa tukio la majanga...
  16. Israel yamuua Salim Ayyash, wa Hisbollalieh aliyehukumiwa na Mahakama Kuu ya Lebanon kwa mauaji ya waziri mkuu wa zamani Rafik Hariri

    Salim Ayyash, gaidi wa Hezbollah, alietiwa hatiani kwa mauaji ya waziri mkuu wa zamani, Rafik Hariri, ambaye alikuwa mzalendo wa Lebanon anayejulikana kwa kujenga upya Beirut baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe. Ripoti zinadai kuwa aliuawa katika shambulizi la Israel nchini Syria...
  17. Juliana Masaburi Atoa Rai Ofisi ya Waziri Mkuu, Mifuko 71 Iwafikie Vijana Mikoani na Wilayani

    JULIANA MASABURI ATOA RAI OFISI YA WAZIRI MKUU, MIFUKO 71 IWAFIKIE VIJANA MIKOANI NA WILAYANI Akizungumza katika Kongamano la Fursa za Kiuchumi kwa Vijana Mkoani Mara Wilaya ya Tarime lililofanyika tarehe 14 Novemba, 2024 katika Ukumbi wa CMG, Mbunge wa Viti Maalum Vijana Tanzania, Mhe. Juliana...
  18. Waziri Mkuu Majaliwa awasili lilipoporomoka jengo Kariakoo, uokoaji waendelea

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewasili Kariakoo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujionea hali ya uokoaji inavyoendelea katika jengo la ghorofa liliporomoka leo Jumamosi Novemba 16, 2024 asubuhi. Soma, Pia: • Ghorofa limeporomoka Kariakoo asubuhi ya leo Novemba 16 • Rais Samia atoa pole kwa...
  19. Z

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Adventista Wasabato anena mambo mazito kwenye msiba wa Mafuru

    Jana tarehe 14/11/2024 wakati wananchi mbalimbali wakiuaga mwili wa marehemu Lawrence Mafuru katika viwanja vya Karimjee. Askofu Mkuu wa Kanisa la Wasabato alitoa mahubiri mazito sana, moyo wangu unatamani sana kila mmoja ayasikilize pia natamani sana kila kiongozi aliye pewa dhamana haswa...
  20. B

    LGE2024 TAMISEMI: Msifiche taarifa toeni lakini mlinde amani

    https://m.youtube.com/watch?v=n0BhBYsZeyw Dkt. Grace Magembe naibu katibu mkuu OR TAMISEMI awapa ukweli waandishi wa habari na serikali kwenda kijiditali katika kuelimisha umma wakati wa semina ya kuwajengea uwezo Waandishi wa Habari wasambaze taarifa sahihi na hasa kipindi hiki kuelekea 27...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…