mna

Mna (Georgian: მნა) is a village in the Truso Gorge, part of the historical region of Khevi, north-eastern Georgia. It is located on the left bank of the Tergi tributary river – Mnaisistskali. Administratively, it is part of the Kazbegi Municipality in the Mtskheta-Mtianeti region, known as mkhare in Georgia. Distance to the municipality center Stepantsminda is 29 km (18 mi).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania TAFADHALINI SANA WATU MNAOJIONA MNA DINI

    Swali langu kwenu linahitaji sana kibu tafadhali mnijibu hasa sisi watu weusi ndio nawalenga humu kama wewe ni mzungu au mwarabu pita hivi Uzi hatukai na kama wewe ni shoga pita kushoto usitie neno hapa.🥺 Tunaanza na mada hivi kwanini hakuna mtume au nabii mweusi aliezungumziwa kwenye vitabu...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi mnaamini haya magari ya kutembelea ya mchina yanayokuja Africa?

    Gari ya nifa , ya mchina haina mda( jokes).😆😆😆 ila kwa voice within me Pascal Mayalla naiona kama ni nzuri kwa muonekano ila haina ubora 🤔 Wachina kwa kuzalisha vitu kwa ajili ya Afrika ,vyenye ubora unaotakiwa sina imani nao kabisa. Kama hizi basi ndio bure kabisa, kila siku zinawaka...
  3. JamiiForums Tanzania Watu wa Arusha uwa mnatumia wapi pesa zenu weekends?

    Nataka nipige ata Smirnoff mbili. Ndio naingia town.
  4. JamiiForums Tanzania KWAHIYO MNA UHAKIKA KABISA Hawa VIWETE Wanaponywa?? Mnieleweshe maana nina kiwete jirani hapa....

    KWAHIYO MNA UHAKIKA KABISA Hawa VIWETE Wanaponywa?? Mnieleweshe maana nina kiwete jirani hapa....
  5. JamiiForums Tanzania wewe na mpenzi wako mna muda gani kwenye mahusiano? nini kinawazuia kufunga Ndoa? je kukaa muda mrefu kwenye mahusiano ndo msingi wa ndoa imara?

    nmekuja kugundua mahusiano ni magumu sana huku kwa ground aisee. pamoja na kuwa ni magumu ila kuna couples huku kwa ground zipo kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka 7 wengine mpaka 10. nina rafiki yangu mmoja yupo kwenye mahusiano na mpenzi wake mwaka wa 7 huu kila nikimuuliza mahari tunapeleka...
  6. JamiiForums Tanzania Traffic wa Ulanga Mna njaa sana! Sema mmenikuta Tarehe za Mshahara, Money Talks!

    Kuna Hawa matrafiki wa Ulanga, Morogoro, especially wanaokaa mara tu baada ya Kuvuka Daraja la Kilombero (kivukoni) ukitokea Ifakara. Either warudi kozi wakasome mishahara ipande, au wajishughulishe na kilimo cha Mpunga, wanaomba hadi aibu. Kuna kazi ni kujiaibisha, baba kaenda kazini, kumbe...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi mna habari Samia ni dikteta kuliko Museveni?

    Nipo jikoni na nimeamua kulipuka ukweli. Anacho amua yeye ndo afla na omega. Ukimpinga kidogo tu uwe tayari kwa lolote. Sura sio Roho amini nawaambia!
  8. JamiiForums Tanzania ROMA CATHOLIC INA MPAKA MAFUVU YA MASHAIDI WA KALE NYIE WASABATO MNA NINI?

    Roman Catholic imeanzia kale sana, tofauti na hawa wanaojibagaiza kutoka kanisa la kwanza huku wakiwa hawana ushahidi wowote! zaidi ya kuwa na Biblia kubwa kama kitanda. Anyway tuachane na hayo hapo juzi Tulifanya sherehe kubwa ya mtakatifu Agatha wa sicily. Huyu Bi dada alikuwa mtu na nusu...
  9. JamiiForums Tanzania Wahaya mpewe maua yenu kwenye mizagamuano

    Leo nimekaa nikakumbuka mkasa mmoja uliotokea miaka kadha iliyopita. Mwaka fulani nikiwa natoka Jeshini (841 KJ- Mafinga) mujibu wa sheria nilibahatika kukutana na zali la mentali hili. Niliondoka Mafinga asubuhi na nilipanda gari la kunipeleka hadi Dodoma ili nikifika pale niangalie usafiri...
  10. JamiiForums Tanzania Wanaume mna shida gani? Unamuheshimu mtu, anakuja kukutongoza

    Nyie leo nimechemka kwa hasira mtu aje vizuri bila hivyo nitampiga kichwa cha pua😠😠 hivi kwanini nyie wanaume wengi wenu adabu hamna, unamuheshimu mtu vizuri tu na kumuita majina kama kaka, anko, baba, mwisho wa siku anakuja kukutongoza tena mchana kweupeeee tena live hata hapepesi macho...
  11. JamiiForums Tanzania Ila wakinga mna sifa sana

  12. JamiiForums Tanzania Matumizi mabovu ya pesa na nguvu nyingi msionekane kuwa mjakosea kwa ufupi mna mawenge

    Natarajia lile deni la taifa trilioni 114 litafika trilion 900 kama watafikisha 2030. Nguvu kubwa na pesa zinazowekwza kujionesha hawana tatizo na kulipa watu hata kuwapandia dau ili mradi kupunguza joto. Hali hii sasa inaonyesha wazi walipofikia ni wazi wakabizi nchi kabla ya kuzidi kujitia...
  13. JamiiForums Tanzania Wanawake kwa hizi akili, Mna haki ya kupigwa matukio

    Ebu isikilize hii Ng'ombe 😀😀😀
  14. JamiiForums Tanzania RITA Nkasi(Namanyere) KWANINI MNA MAMBO MENGI HIVI?

    Habari za mida hii? Nina mtoto ana miaka miwili na nusu. Sasa,j'nne niliingia mtandaoni ili nifanyie mchakato wa kupata cheti chake Cha kuzaliwa. Niliambatanisha viambata viwili kama ilivyoekekezwa kwenye mtandao wao(eRITA) Niliambatanisha kitambulisho Cha kwangu Cha NIDA kama baba na kadi ya...
  15. JamiiForums Tanzania Mfumo wa bunge kuuliza wabunge na CV zao.Je mna maana kwamba mnaficha aibu zenu

    Watuambie kuwa bunge ni kikundi cha watu wachache. Leo uwezi kuuliza CV za mtu yoyote bila kupata kwenye tovuti ya bunge. Uchafu wa nchi imefikia kila tovuti kuficha taarifa ya yoyote hata idara. Mfano nilitaka kujua kama ndo mimi mfano nipo UN.
  16. JamiiForums Tanzania Wanawake mna Mapepo Kama sio Laana

    Miaka miwili iliyopita nilikuwa penzini na bidada mmoja na ukweli n kwamba kipindi kile sikuwa vzr kiuchumi Sasa huyu bidada alinidharahu na kuniona kuwa Mimi sio type yake Aliwahi kunitamkia kuwa yupo na Mimi ila Kuna idadi kubwa ya wanaume wanamfuata kumtongoza , hii kauri ilinifanya...
  17. JamiiForums Tanzania Riverside mbona pa kishamba mno? Wafuasi wa R Side mna shida

    Hali zenu wafuasi wa hili jukwaa la MMU... kama kawaida yangu, nimetenga miezi hii mitatu nifanye research kuzunguka kumbi baadhi za starehe na zile ambazo kuna dada poa wanaojiuza. Ile barabara ya Mandela road nimepita mno ila sikuwahi kufika pale R Side in particular... Nimesikia mengi mno...
  18. JamiiForums Tanzania CCM kwanini hamfanyi hii challenge kama kweli mna mapenzi ya dhati na Nchi Yetu?

    Siku hizi viongozi wa chama na serikali wamekuja na mtindo wa kuandaa mashindo na challenges mbalimbali za kimifumo, andiko nk Na lengo la mashindano hayo wao wanasema ni kulenga kutatua changamoto zinazolikabiri taifa letu mfano wa challenges zilizowahi kufanyika ni pamoja na...
  19. JamiiForums Tanzania BODABODA mna moyo wa ujasiri sana

    Naomba niwapongeze bodaboda wote walifatilia watekaji kama wasingekuwa wao Djumbe tusingemuona tena bodaboda mmefanya jambo la ujasiri sana kuhatarisha maisha yenu Mungu atawalipeni watekaji walifyatua risasi lakini mlinusurika wote Djumbe kapata upenyo ameoka nafsi yake kutoka kwa watekaji...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi nyie "Vi-Ben10" na "Mamarioo" mna akili timamu au mmerogwa na hawa Mashugamami?

    Wakuu, achaneni na mambo ya siasa na uchumi, njoeni hapa pande za ChitChat tupige story za ukweli. Leo nataka tuongee kuhusu hawa viumbe wa ajabu wanaoitwa "Vibenten" na "Mamarioo." Nitaongea lugha kipimo chao.. Nisamehewe😂 Hivi nyie wavulana wa hovyo mna akili timamu kweli au mmerogwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…