Kama title inavojieleza ningependa hii thread iweze kutusaidia kupata majina ya movie mbali mbali ambazo tumewai kuangalia, kusikia au kusimuliwa afu ukasahau au kushindwa kujua jina movie husika na ambao watakuwa wanaijua watatupa jina la movie hisika kulingana na scene zitakavo elezewa...