Kwema Wadau wangu mko poa, Natumaini wazima wote,
Oke. Wakuu mi naomba kuelezwa kama kuna mmoja wapo alishaona hizi movie sijui hiyo ya Will Smith ni series ata sielewi, kiufupi nijue zinahusu nini ndani ili niweze zipakua nikazicheck, maana nimekuja huko mjandala mara hizo mbili kama ya Tenet...