CHAGUO LA MOYO WANGU 18+ - 01
Ilikua ni asubuhi siku ya jumatatu ambapo watu mbalimbali walikua wakiendelea na mihangaiko yao ya kila siku ili kujitafutia riziki katika mji mdogo wa zingawe, kijana mdogo ambae kwa makadirio alionekana kuwa na umri wa miaka 22 aliamka katika kitanda chake baada...