mpira

  1. M

    Wallace Karia analeta siasa na ubabe kwenye uongozi wa mpira nchini

    HIi leo Rais Wa TFF amesikika katika mkutano na viongozi wa CAF na FIFA huko Arusha akiita wanafamilia wa mpira watu wenye mambo ya "kijinga-jinga". Kauli hii ya kitemi kutoka kwa Rais wa mpira nchini, ni muendelezo wa ubabe na jeuri ambayo anaoionyesha mbele ya jamii ya wanamichezo nchini...
  2. P

    Tasnia ya Mpira wa miguu Kenya Vs Mpira wa miguu Tanzania

    Katika Afrika Mashariki ,watu wengi hupenda huu mchezo Kwa ranki za kimataifa Afrika mashariki kwa timu ni uganda inayoongoza,ila kwa vilabu bado soka la Tanzania lina ushindani mkubwa , uwekezaji na wafatiliaji wengi kuliko nchi zote.Kwa upande wa Kenya mambo bado si mazuri inahitaji nguu kubwa...
  3. Mpira Pesa: CRDB ni Official Simba Day partner

    CRDB ni official Simba Day partner "CRDB wameona ni muhimu kuwekeza kwenye michezo na wamechagua Simba sababu wanaona ukubwa wa Simba." "Tunawashukuru CRBD kuwekeza kwenye Simba Day, najua huu ni mwanzo. Tunatamani siku moja kuwaona hata kwenye jezi. Baada ya Simba Day kuna CRDB Marathon na...
  4. H

    Kumtegemea mtu kama Haji Manara ili mpira wetu usonge mbele ni kujitekenya wenyewe na kisha kucheka sana

    Kwa miaka ya hivi karibuni hapa nchi katika septa ya michezo kumekua na porojo sana kuliko uhalisia wa mwelekeo wa mchezo wetu wa mpira wa miguu tumekua, tukiweka nguvu kubwa katika kuwahamasisha washabiki na kuwaaminisha kuwa uwepo wao uwanjani na upigaji kelele ndio chanzo kutuletea ushindi...
  5. Mpira unaweza kufanyika nje ya TFF?

    Kuna hayamambo TFF inafungiamtu kujihusisha na mpira. Nauliza kama mpira hauwezi kufanyika nje ya TFF. Mtu anaweza kuanzisha ligi ambayo TFF hawahusiki kwa lolote?
  6. M

    Yanga tusitarajie makubwa toka kwa wachezaji wapya, huwezi kutenganisha mpira na ushirikina, wachezaji watapigana misumari

    Hili ni angalizo. Naona watu wameweka matumaini makubwa kwa wachezaji wanaosajiwa Yanga. Niwaambie kitu Africa mpira na ndumba ni mapacha wawili. Simba na yanga ni mara chache sana walisajili wachezaji wabovu,wengi walitoka huko wakiwa na kiwango cha juu leo wapo Kitayose,Ihefu sijui Namungo...
  7. M

    SI KWELI CEO wa Simba kufungiwa miaka mitano 5 au maisha kujihusisha na mpira

    CEO wa Simba sports club Barbara Gonzalez kuna tetesi akafungiwa miaka mitano 5 au maisha kujihusisha na michezo haswa football Hii imetokea baada ya yanga kupeleka malalamiko TFF kuhusu tuhuma alizozitoa kwa team hiyo inapokea wageni ambao Simba ilikua ikicheza nao champion league na...
  8. Mpira: Ni utaratibu upi wa kupata sifa ya kuajiriwa kuwa refa ama mshika kibendera, Maslahi ya kazi yapoje, vitu gani vya ziada vizingatiwe?

    Habari ndugu zangu wa humu hjamiiforums, nina ndugu yangu wa kiume kamaliza degree ana ameingia miaka 23 mwezi huu, Kwa sasa yeye anachotaka ni kuwa refa ila hana a,b,c,d za kazi zikoje. Ningependa mnijuze haya.. - Ni sifa zipi zinatakiwa awe na sifa za kuwa refa, - Ataanzia wapi na atatumia...
  9. Kati ya Muziki na Mpira wa Tanzania kipi kinafuatiliwa zaidi?

    Tukio la Harmonize kumvisha Pete ya Uchumba Kajala na Tukio la Yanga kusherekea Ubingwa wa Ligi kuu yameenda sambamba sana. Inadaiwa kwamba Tukio la Harmonize kumvisha pete Kajala limefunika Tukio la Yanga, maana yake ni kwamba Mtaani watu wanamjadili Harmonize na Kajala kuliko Ubingwa na...
  10. Haijapata kutokea: Ndani ya Miezi 2 mastaa ya mpira duniani wanafurika Tanzania. Hongera Samia wewe ndo Deng Xiaoping wangu

    Ni kama ndoto ila ndo yanatokea kweli! Ndani ya miezi miwili mastaa wa mpira duniani wanaotambulika na kufahamika duniani kote wanamiminika Tanzania kwa fujo sana! Mastaa hawa wanapiga picha kwenye mbuga zetu za Serengeti na Ngorongoro na maeneo ya Zanzibar na wanazipost kwenye pages zao...
  11. F

    Usajili wa Morison aibu kwa mpira wa Tanzania

    Kwa tunavyofahamu mpira ni kazi kama zilivyo kazi zingine na mtu ili apewe kazi tabia na mwenendo ni kitu muhimu sana. sasa record za Morrison hazirizishi hata kidogo na kundelea kubaki kucheza Tanzania akilipwa ni dhararu ndio kitu kinampa jeuri, hii itawapa nafasi hata wachezaji wengine...
  12. Airtel na Voda wanarushiana mpira hawataki kurudisha hela yangu. Je, ni watanzania wangapi wanaibiwa kwa kukata tamaa kufatilia?

    Siku ya alhamisi nilinunua salio la Tsh. 3,000 kutoka airtel money kwenda Voda. Airtel walirudisha msg kuwa muamala umefanyika na salio wakakata. Vodacom hakukuwa na taarifa yoyote kama muamala umepokelewa. Napowapigia airtel wanasema kwao muamala ulifanyika niwaulize voda. Voda wanasema...
  13. Sikujua Malawi wana uawanja mzuri hivi!

    Unaitwa bingus national stadium. Misri alikufa mbili bila hapa na Ethiopia afcon wiki kama mbili zilizopita
  14. Jana nimelia ndani ya blanketi baada ya kuukosa mpira na kidole gumba kugonga sakafu kwa nguvu, panadol haikusaidia

    Nawaasa sana mkae mbali na mpira hasa kama ni siku nyingi hamjacheza. Jana baada ya kutoka job nilipofika nyumbani nilikuta wanangu wawili wa kiume wanacheza mpira pale nyumbani. Sasa nikataka nijikumbushie umaridadi wangu kidogo, kuna style ile unaiunua mpira ukidunda ni kama unaupiga kwa...
  15. Wachambuzi wa mpira msipeleke hewani ndoto na mahaba yenu

    Uchambuzi ule wa mzee Kashsha RIP na Ally Mayai Tembele unazimgatia weledi, unafurahishisha kila mtu. Lakini baadhi ya wachambuzi wanawatia hasara wenye chombo Cha habari. Wakati huu ligi inaelekea ukingoni wakati timu zinafanya tathimini zao hata wachambuzi wa mpira na wamiliki wa vyombo vya...
  16. Historia ya Mpira ya Dk. Mshindo Msolla inajulikana tokea 1980's Injinia Hersi Said atuambie yake ni ya lini?

    Wana Yanga SC sio Wajinga (Mangumbaru ) au Wapumbavu (Mapopoma) wampe Mtu ambaye kaanza Kuujua mpira mwaka 2019 (Injinia Hersi Said) halafu tumuache Mtu mwenye Rekodi iliyotukuka katika Medani ya Kandanda (Soka) nchini Tanzania tena akiwa amefanya makubwa halafu ni Msomi vilevile tena wa...
  17. Ethiopia 2 Vs Egypt 0; Tanzania tuna safari ndefu sana kwenye soka

    Kwa wasiofahamu mechi za kufuzu AFCON zinaendelea , na kwa leo mechi kubwa ni Ethiopia dhidi ya Egypt. Hii mechi ina uhusiano gani na Tanzania? Ethiopia kama ilivyo Tanzania siyo taifa kubwa kisoka. Lakini katika mechi hii ukiangalia unaona namna wachezaji wanavyojituma pamoja na kukutana na...
  18. Ambao Hatuangalii mpira Saa hizi......

    Tuwe tunakutana siku zote za mechi kali Tudiscuss mambo mengine tofauti na mpira,Sio lazima wote tuwe mashabiki au mnaonaje jamani....We kama Shabiki wa mpira huu Uzi upite ukiwa umesimama!!! Kila siku Ya mechi Kali tutakuwa tunaweka mada hapa tunajadili...
  19. Mwigulu Nchemba hizi timu za mpira zinakubeba jimboni ila zitakugharimu kitaifa

    Ulianza na Singida United ikabuma ukaibukia DTB ambayo imebadili jina na kuwa Singida nini sijui. Unafanya kitu kizuri ila kitakucost. Mpira kwa Afrika ni mchezo wa wahuni tu. Viongozi wahuni, wachezaji wahuni, ukiwa close na wahuni watakuzingua tu. Huku mtaani watu wanachuki na wewe kutokana...
  20. Rais Samia apongeza daraja la Tanzanite kutumika kuonesha mpira

    Rais Samia Suluhu amepongeza daraja kutumika kuonesha mpira kwani imelitambulisha duniani. ======= Rais Samia: Natoa pongezi kwa wizara kwa kazi kubwa wanayoifanya, juzi niliona wako pale daraja la Tanzanite wakionesha mechi ya mpira sijui baina ya nani na nani, Liverpool timu mmoja sababu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…