Hakuna asiyeujua umuhimu wa bandari kwa maendeleo mapana ya nchi yoyote iliyojaliwa kuwa nayo.
Tunaweza kushabihisha umuhimu huo kwa kuangalia mifano halisi ya bandari zilivyochochea uchumi wa mataifa kama Singapore, Vietnam, Malaysia (bandari ya Klang), China (bandari za Dalian, Xiamen...