msajili

  1. TANZIA Aliyekuwa Msajili wa Makandarasi, Joe Malongo afariki dunia

    Engineer Joseph Malongo, aliyewahi kuwa mfanyakazi hatimaye Msajili wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi, amefariki dunia asubuhi leo, katika hospitali ya Mlonganzila. RIP Eng Joe Malongo.
  2. Uteuzi: Rais Samia amteua Nehemia Mchechu kuwa Msajili Hazina

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- 1. Amemteua Bw. Nehemia Kyando Mchechu, kuwa Msajili wa Hazina. Kabla ya uteuzi huo Bw. Mchechu alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Bw. Mchechu anachukua nafasi ya Bw...
  3. G

    Ofisi ya msajili wa vizazi na vifo(RITA) ni waongo au shida iko wapi?

    Habari Niliomba vyeti mbali kupitia system yao ijulikanayo kama RITA ONLINE, nimeomba toka mwezi November na leo Januari sijajibiwa, wanasema tu payment received, Payment status, ukiwauliza wanasema wanajibu baada ya siku 10 za kazi Sasa nina zaidi ya mwezi hakuna progress yoyote, na ni zaid...
  4. Kuna atakayethubutu kuikemea Ofisi ya Msajili wa Vyama hasa Naibu mbele ya Rais hapo kesho?

    Wakati bado najiuliza nani ataenda kuiwakilisha NCCR Magaeuzi kwenye kikao cha viongozi wa vyama vya siasa na Mh Rais, ila bado napata swali mwenyewe! Hivi walivyo wanasiasa wetu kesho unatarajia nn? Kusifia tu na kuwa wapole ama watathubutu ata kukemea vitendo vya Naibu Msajili wa vyama vya...
  5. Msajili wa Vyama abariki Mbatia kufukuzwa NCCR Mageuzi

    Ikiwa imepita miezi mitano tangu kuibuka kwa mvutano wa makada ndani ya Chama cha NCCR Mageuzi, Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imebariki kung’olewa kwa aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia. Mei 21, Halmashauri Kuu ya NCCR-Mageuzi iliitisha mkutano uliofanyika katika...
  6. B

    MSAADA: Anwani ya Msajili wa Vyama vya Siasa

    Wanajamvi, tumejaribu kupiga simu zilizoainishwa kwenye tovuti ya Msajili wa vyama vya siasa hazipatikani, tumeandika email hazijibiwi, tafadhali tunaomba mwenye kufahamu ofisi ilipo kama Dodoma au Dar na eneo husika atusaidie pia kama unazo namba za simu mtusaidie. Tunahitaji huduma kutoka kwa...
  7. J

    Ofisi ya Msajili wa Hazina yakusanya asilimia 109.50 ya lengo

    Ofisi ya msajili wa hazina imefanikiwa kukusanya mapato yasiyo ya kodi ya jumla ya Shilingi bilioni 852.98 ikiwa ni asilimia 109.50 ya lengo katika Mwaka wa Fedha wa 2021/22 ulioishia Juni 30, mwaka huu. Taarif iliyotolewa na ofisi ya msajili wa hazina imeeleza kuwa katika Mwaka wa Fedha wa...
  8. Q

    Kikosi Kazi kimeundwa na Msajili sio Rais, na wajumbe wake hawajaapa mbele ya Rais

    Tusifananishe KIKOSI KAZI na Tume za Kijaji za Nyalali, Kisanga na Warioba. Kikosi kazi hakikuundwa na Rais. Kimeundwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa baada ya AZIMIO la kikao cha Baraza la Vyama vya Siasa kilichofanyika Dodoma. Tume ya Nyalali, Kisanga & Warioba, zote, zilianzishwa...
  9. J

    Mara ghafla Mbowe, Mnyika, Lissu na Heche wasimamishwa uongozi Chadema, msajili aridhia

    Hii ni mbinu wanayoitumia CCM kwa vyama vya upinzani hivi sasa, wakiona chama cha upinzani kinawaletea 'ukaidi' Waliitumia kwa Maalim na CUF kipindi kile baada ya Maalim kugomea uchaguzi kipindi kile, wameitumia kwa Mbatia baada ya Mbatia kupingana sana na Samia kwenye mambo mengi ikiwamo...
  10. Msajili abariki Mbatia na Wenzake kusimamishwa NCCR Mageuzi

    Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, leo Mei 25 imebariki Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia na Sekretarieti yake yote kusimamishwa na kuwataka kutojihusisha na siasa ndani ya chama hicho hadi uamuzi huo utakapoamuliwa vinginevyo. Mnamo Mei 21, Halmashauri Kuu ya Chama...
  11. Q

    Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Umoja Party hakijapata usajili wa muda. Anayetumia bendera, nembo au alama ya chama hicho anakiuka Sheria

    Marufuku mtu yoyote au taasisi kutumia jina, nembo, rangi na alama ya chama cha siasa cha "Umoja Party" hadi mchakato wa kupata usajili wa muda utakapokamilika.
  12. EACJ: Vyama vya Upinzani vyashinda kesi dhidi ya Tanzania, kuhusu mabadiliko ya Sheria za Vyama vya Siasa

    Itakumbukwa kwamba Chadema ilifungua kesi ya kupinga mabadiliko ya sheria za vyama vya siasa nchini Tanzania yaliyopitishwa na bunge bila aibu ili kuua demokrasia na kukandamiza vyama vya upinzani, Kesi hiyo ilifunguliwa mwaka 2020 kwenye Mahakama ya Afrika Mashariki iliyoko Arusha. Leo Hukumu...
  13. B

    Tuwafahamu wajumbe wa Task Force ya Msajili

    Itakuwa ni kujidanganya mchana kweupe, kudhani kuwa hali ya kisiasa nchini ni shwari na kuwa kazi inaendelea. Taarifa rasmi kutokea katika mkutano huo wa kusaka tahfifu katika siasa kwa wadau ni kama ilivyo hapa chini: Hiyo ndiyo habari yenyewe. Kama vipi kuwafahamu wajumbe hawa zaidi...
  14. M

    Barua ya wazi kwa Zitto Kabwe: Jitoe kwenye Kamati ya Msajili wa Vyama vya Siasa, hana nia njema

    Ndugu Zitto Kabwe, Kiongozi wa chama cha ACT Pole na majukumu ya kazi zako. Nakuandikia hii barua ili mimi na wewe tuweze kureason, na kuchukua hatua sahihi ya kisiasa inayoendelea nchini kwa manufaa ya usitawi wa demokrasia nchini. Mheshimiwa, Zitto Mimi binafsi ni miongoni mwa watu waliokupa...
  15. Q

    Msajili wa Vyama vya Siasa aunda kikosi kazi

    Kikosi kiko dominated na wateule wengi wa rais makada wa CCM kina Mukandara sijui kama kitakuja na mapendekezo ya maana. Where is Jaji Warioba in this Task Force at least. Chadema waliona mbali sana kama wangekosea wakahudhuria nao wangekuwa sehemu ya maigizo chini ya Mutungi na Mukandara...
  16. Q

    Maazimio ya Mkutano kati ya Msajili wa Vyama vya Siasa na Wadau wa Siasa

    HAYA NDIYO MAAZIMIO YA MKUTANO WA MSAJILI NA VYAMA VYA SIASA JUU YA HALI...
  17. J

    IKULU: Rais awataka Msajili na Vyama vya Siasa kutafuta njia bora ya kufanya mikutano ya hadhara nchini

    === Hakika mpaka hapa Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha mbele ya Watanzania na dunia jinsi alivyo muumini wa demokrasia na Utawala wa bora, Kama kuna watu wanataka kuvuruga amani na Utulivu wa nchi hii kwa gharama yeyote watakuwa ni CHADEMA ila Sio CCM hii ya Mama Samia Suluhu Hassan na hili...
  18. T

    Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa nini wajibu wake?

    Nini majukumu ya kila siku ya Ofisi hii ya msajili wa vyama vya siasa ikiwa vyama havifanyi kazi za siasa Nchini. Inakuwaje Mwenyekiti wa chama kimojawapo anatoa tamko shughuli za siasa hadi apende yeye. Ofisi hii ikaungane na Rita kupunguza matumizi ya fedha.Msajili asiwe mteule wa Rais
  19. T

    Lawrence Mafuru aliewahi kuwa MD wa NBC Bank na Msajili wa Hazina ateuliwa kuwa Kamishina wa Sera Wizara ya Fedha

    Ndugu Laurence Mafuru Ambae amewahi kua mkurugenzi Mkuu wa NBC Bank na Msajili wa Hazina ameteuliwa kua kamishna wa Sera wizara ya fedha. Hakuna mahala uteuzi huo umetangazwa ila nimebahatika kuona tangazo kutoka kwenye taasisi yake ya Bankable Institute kwamba amejiuzuru majukumu ya mshirika...
  20. Mkutano kati ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jeshi la Polisi na wadau wa siasa nchini waahirishwa

    Mkutano wa kati ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jeshi la Polisi na wadau wa siasa nchini uliopangwa kufanyika Dodoma wiki hii. Sababu za kuahirishwa kwake inaelezwa ni ili kutoa nafasi zaidi kwa wadau wengi zaidi kushiriki kikamilifu. Mkutano huo uliolenga kujadili maudhui ya utekelezaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…