chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 20,711
- 31,331
Kuna kitu hakiko sawa ndani ya CHADEMA, waliomo ndani ya Chama wamekaa kimtego.
Mchome ambaye aliandika barua kwenda kwa Msajili wa vyama, amedai Boni Yai ndiye alimshawishi, akampa ushahidi, na pia waliandika barua ambayo imekuwa mwiba kwa chadema.
Mchome anadai Boni Yai ndiye alikuwa ana edit barua na kuongeza "mawe" na "misumari" ambayo ilifanikisha kuwatengua Mnyika na genge lake la makatibu pamoja na wajumbe wa kamati kuu.
Boni Yai yuko ndani kabisa ya chama na yuko karibu sana na viongozi wakuu "aliowachomea" na kukiharibu chama. Anaaminika kiasi gani?Mwenye uwezo aipandishe hii interview bora kabisa ambayo ina peel off the mask. Koti la chadema lina kunguni wamejificha ndani kabisa.