Mchome: Boniphace Jacob ndiye alinishawishi, akanipa ushahidi na nikaandika kwa Msajili wa vyama kuhusu akidi na uhalali wa Baraza Kuu CHADEMA

Kuna kitu hakiko sawa ndani ya CHADEMA, waliomo ndani ya Chama wamekaa kimtego.

Mchome ambaye aliandika barua kwenda kwa Msajili wa vyama, amedai Boni Yai ndiye alimshawishi, akampa ushahidi, na pia waliandika barua ambayo imekuwa mwiba kwa chadema.

Mchome anadai Boni Yai ndiye alikuwa ana edit barua na kuongeza "mawe" na "misumari" ambayo ilifanikisha kuwatengua Mnyika na genge lake la makatibu pamoja na wajumbe wa kamati kuu.

Boni Yai yuko ndani kabisa ya chama na yuko karibu sana na viongozi wakuu "aliowachomea" na kukiharibu chama. Anaaminika kiasi gani?Mwenye uwezo aipandishe hii interview bora kabisa ambayo ina peel off the mask. Koti la chadema lina kunguni wamejificha ndani kabisa.
View attachment 3416875

Mwongo huyu
 
Huyu Mchome kumbe ni mwendawazimu? Yeye wakati wote ndiye alitoa hayo malalamimo, iweje sahizi aanze kutapatapa, kuwataja wengine? Ameona mbinu yake ya kwanza imefeli, hii ndiyo ameona atafanikiwa?

Huyu kuna siku atasema alimrisgwa aandike hiyo barua na Lisu au Heche, maana amekwisharukwa akili. Huenda huyu msajili, ambaye anatajwa kumpangishie nyumba Dar, kuna kitu kamfanyia ambacho kimemfanya akose kuwa kwenye utimamu wa akili.
 
Ukweli lazima usemwe ili historia ibaki na kumbukumbu sahihi
 
Kuhusu kupitishwa kwa samia mpo kimya au tusubiri pole pole kuendeleza zile asilimia 75 ambazo ajaweka wazi
Mkutano mkuu ndio chombo cha juu kabisa, ilikuwa halali
 
Kuna kitu hakiko sawa ndani ya CHADEMA, waliomo ndani ya Chama wamekaa kimtego.

Mchome ambaye aliandika barua kwenda kwa Msajili wa vyama, amedai Boni Yai ndiye alimshawishi, akampa ushahidi, na pia waliandika barua ambayo imekuwa mwiba kwa chadema.

Mchome anadai Boni Yai ndiye alikuwa ana edit barua na kuongeza "mawe" na "misumari" ambayo ilifanikisha kuwatengua Mnyika na genge lake la makatibu pamoja na wajumbe wa kamati kuu.

Boni Yai yuko ndani kabisa ya chama na yuko karibu sana na viongozi wakuu "aliowachomea" na kukiharibu chama. Anaaminika kiasi gani?Mwenye uwezo aipandishe hii interview bora kabisa ambayo ina peel off the mask. Koti la chadema lina kunguni wamejificha ndani kabisa.
View attachment 3416875
Weka hapa hiyo interview ndio tujadili kulingana na kilichosemwa.
Wewe baba yako ni "baba wa uongo".
 
Kuna kitu hakiko sawa ndani ya CHADEMA, waliomo ndani ya Chama wamekaa kimtego.

Mchome ambaye aliandika barua kwenda kwa Msajili wa vyama, amedai Boni Yai ndiye alimshawishi, akampa ushahidi, na pia waliandika barua ambayo imekuwa mwiba kwa chadema.

Mchome anadai Boni Yai ndiye alikuwa ana edit barua na kuongeza "mawe" na "misumari" ambayo ilifanikisha kuwatengua Mnyika na genge lake la makatibu pamoja na wajumbe wa kamati kuu.

Boni Yai yuko ndani kabisa ya chama na yuko karibu sana na viongozi wakuu "aliowachomea" na kukiharibu chama. Anaaminika kiasi gani?Mwenye uwezo aipandishe hii interview bora kabisa ambayo ina peel off the mask. Koti la chadema lina kunguni wamejificha ndani kabisa.
View attachment 3416875
Fitina kwenu mwiko ila mmejaa fitna,uzushi na uzandiki
 
Mleta mada ni kapuku asiyeaminika
 
Anacheza na akili za watu haya angeyaongea kipindi Boni yai Kamtandika alipoita press huyu mfa maji andhani intelejensia ya CDM ni yakiwaki?Next time mkimuhoji munuulize kuhusu kashfa ya kua Diara katoka golini imekaaje?🤣🤣🤣
 
Jamaa sura yake inaonekana kama kichwa hakipo sawa na wahuni wanaendelea kumhoji tu..
 
Anacheza na akili za watu haya angeyaongea kipindi Boni yai Kamtandika alipoita press huyu mfa maji andhani intelejensia ya CDM ni yakiwaki?Next time mkimuhoji munuulize kuhusu kashfa ya kua Diara katoka golini imekaaje?🤣🤣🤣
Anacheza na akili za watu haya angeyaongea kipindi Boni yai Kamtandika alipoita press huyu mfa maji andhani intelejensia ya CDM ni yakiwaki?Next time mkimuhoji munuulize kuhusu kashfa ya kua Diara katoka golini imekaaje?🤣🤣🤣
Anaongea ukweli
 
Lisemwalo lipo ,kwanini Mchome amtaje Boni yai na si Henry Kileo?
Inaonekana Bon Yai alikuwa ni mmoja ya waliokuwa wahame kwenda Chaumma, ila kabidili gia angani. Kitendo hiki kimewaumiza sana waliohamia Chauma kutoka cdm kwani wanahisi wamesalitiwa. Sasa wanaanza kumwaga siri zao hadharani maana wanajua Bon Yai kaweka ukweli wao mwingine kwa viongozi wa cdm.

Anachojaribu Mchome ni kumfitinisha Bon na uongozi wa cdm. Hata hivyo ni vyema viongozi wa cdm wawe makini na nyendo za Bon Yai, team Mbowe wengi hawakuridhika kiongozi wao kupigwa chini.
 
Ukweli lazima usemwe ili historia ibaki na kumbukumbu sahihi
Ukweli au amekiri hadharani kuwa yeye anatumika ule mpira wa mapenzi? Kwanini hakumwambia Bon aandike yeye hiyo barabara badala yake?
 
Kama Akidi haikutimia, Bon yupo sahihi...! Chama kikubwa kama hicho kinafanyaje mambo kihuni bila kufuata taratibu...wakati Mwenyekiti wake anajinasibu kufuata taratibu? Hakuna mambo ya ujanja ujanja hapa!
 
Back
Top Bottom