Mchome: Boniphace Jacob ndiye alinishawishi, akanipa ushahidi na nikaandika kwa Msajili wa vyama kuhusu akidi na uhalali wa Baraza Kuu CHADEMA

Mchome: Boniphace Jacob ndiye alinishawishi, akanipa ushahidi na nikaandika kwa Msajili wa vyama kuhusu akidi na uhalali wa Baraza Kuu CHADEMA

Kuna kitu hakiko sawa ndani ya CHADEMA, waliomo ndani ya Chama wamekaa kimtego.

Mchome ambaye aliandika barua kwenda kwa Msajili wa vyama, amedai Boni Yai ndiye alimshawishi, akampa ushahidi, na pia waliandika barua ambayo imekuwa mwiba kwa chadema.

Mchome anadai Boni Yai ndiye alikuwa ana edit barua na kuongeza "mawe" na "misumari" ambayo ilifanikisha kuwatengua Mnyika na genge lake la makatibu pamoja na wajumbe wa kamati kuu.

Boni Yai yuko ndani kabisa ya chama na yuko karibu sana na viongozi wakuu "aliowachomea" na kukiharibu chama. Anaaminika kiasi gani?Mwenye uwezo aipandishe hii interview bora kabisa ambayo ina peel off the mask. Koti la chadema lina kunguni wamejificha ndani kabisa.
View attachment 3416875

Mhuni tu huyu dogo. Sasa mbona alipangiwa apartment Masaki na Msajili...!!?
 
Ahaaaaaa wameona akina Boni hawajawafuata huko Chauma wameanza kuchafua,,,
 
Sababu Boni yai ndio aliita press kueleza mfadhili wa wao kwenda chaumma na jinsi gani Mchome analipwa na msajili ili kutengeneza grounds za kuifuta chadema.

So obviously angemtaja ili apunguze credibility ya Boni Yai.
Tumbo la BoniYai ni ushahidi wa jinsi anavyolihudumia kuliko maslahi ya chadema
 
Inaonekana Bon Yai alikuwa ni mmoja ya waliokuwa wahame kwenda Chaumma, ila kabidili gia angani. Kitendo hiki kimewaumiza sana waliohamia Chauma kutoka cdm kwani wanahisi wamesalitiwa. Sasa wanaanza kumwaga siri zao hadharani maana wanajua Bon Yai kaweka ukweli wao mwingine kwa viongozi wa cdm.

Anachojaribu Mchome ni kumfitinisha Bon na uongozi wa cdm. Hata hivyo ni vyema viongozi wa cdm wawe makini na nyendo za Bon Yai, team Mbowe wengi hawakuridhika kiongozi wao kupigwa chini.
Nakubaliana na wewe 100%.
 
Back
Top Bottom