mchome anaichoma chadema kikatili sana aise dah 🐒Kuna kitu hakiko sawa ndani ya CHADEMA, waliomo ndani ya Chama wamekaa kimtego.
Mchome ambaye aliandika barua kwenda kwa Msajili wa vyama, amedai Boni Yai ndiye alimshawishi, akampa ushahidi, na pia waliandika barua ambayo imekuwa mwiba kwa chadema.
Mchome anadai Boni Yai ndiye alikuwa ana edit barua na kuongeza "mawe" na "misumari" ambayo ilifanikisha kuwatengua Mnyika na genge lake la makatibu pamoja na wajumbe wa kamati kuu.
Boni Yai yuko ndani kabisa ya chama na yuko karibu sana na viongozi wakuu "aliowachomea" na kukiharibu chama. Anaaminika kiasi gani?Mwenye uwezo aipandishe hii interview bora kabisa ambayo ina peel off the mask. Koti la chadema lina kunguni wamejificha ndani kabisa.
View attachment 3416875
mchome anafumua mshono wa chadema dah 🤣
Kuna kitu hakiko sawa ndani ya CHADEMA, waliomo ndani ya Chama wamekaa kimtego.
Mchome ambaye aliandika barua kwenda kwa Msajili wa vyama, amedai Boni Yai ndiye alimshawishi, akampa ushahidi, na pia waliandika barua ambayo imekuwa mwiba kwa chadema.
Mchome anadai Boni Yai ndiye alikuwa ana edit barua na kuongeza "mawe" na "misumari" ambayo ilifanikisha kuwatengua Mnyika na genge lake la makatibu pamoja na wajumbe wa kamati kuu.
Boni Yai yuko ndani kabisa ya chama na yuko karibu sana na viongozi wakuu "aliowachomea" na kukiharibu chama. Anaaminika kiasi gani?Mwenye uwezo aipandishe hii interview bora kabisa ambayo ina peel off the mask. Koti la chadema lina kunguni wamejificha ndani kabisa.
View attachment 3416875
Tembo yuko ndani ya nyumba na anataka kusimamia, lazima nyumba iangukeHiyo ndiyo Ile timu ya wale vijana wapenda pombe na nyama za bure. Wote wànajulikana. Tuko nao, inajulikana kuwa hawatubabaishi.
Lusungo, Retired, Drifter, Yoda, Fundi Mchundo, binti kiziwi waliomo na wasiokuwamo au nasema uongo?
Tembo yuko ndani ya nyumba na anataka kusimamia, lazima nyumba ianguke
bahati mbaya hata wakikimbia zinawafuata huko huko mafichoni wanakokimbiliaChadema wakiona nyuzi zinawakaanga, wanakimbia wakiamini zitapotea ndani ya muda mfupi, na mimi naongeza jitihada kuwafanya wazione kila wakati
Kama polepole anavyowafumua huko,siasa na struggle of power ndy zilivyo....kazi kwenu mnaopelekeshwa na wanasiasamchome anafumua mshono wa chadema dah 🤣
Lisemwalo lipo ,kwanini Mchome amtaje Boni yai na si Henry Kileo
Sababu Boni yai ndio aliita press kueleza mfadhili wa wao kwenda chaumma na jinsi gani Mchome analipwa na msajili ili kutengeneza grounds za kuifuta chadema.Lisemwalo lipo ,kwanini Mchome amtaje Boni yai na si Henry Kileo?
Chadema mbona tumekua wajinga hivi, huyu alikuja vipi kwenye msiba na mkamchekea tu. Ilitakiwa abananishwe aeleze wanaomtuma ni kina nani, huu ujinga hauwezi kuisha kwa kuchekea hawa wahuni. Mmoja akiwa sampled na "nguvu ya umma" wengine watakimbia.Kuna kitu hakiko sawa ndani ya CHADEMA, waliomo ndani ya Chama wamekaa kimtego.
Mchome ambaye aliandika barua kwenda kwa Msajili wa vyama, amedai Boni Yai ndiye alimshawishi, akampa ushahidi, na pia waliandika barua ambayo imekuwa mwiba kwa chadema.
Mchome anadai Boni Yai ndiye alikuwa ana edit barua na kuongeza "mawe" na "misumari" ambayo ilifanikisha kuwatengua Mnyika na genge lake la makatibu pamoja na wajumbe wa kamati kuu.
Boni Yai yuko ndani kabisa ya chama na yuko karibu sana na viongozi wakuu "aliowachomea" na kukiharibu chama. Anaaminika kiasi gani?Mwenye uwezo aipandishe hii interview bora kabisa ambayo ina peel off the mask. Koti la chadema lina kunguni wamejificha ndani kabisa.
View attachment 3416875
Ni ngumu kumuamini yudaKuna kitu hakiko sawa ndani ya CHADEMA, waliomo ndani ya Chama wamekaa kimtego.
Mchome ambaye aliandika barua kwenda kwa Msajili wa vyama, amedai Boni Yai ndiye alimshawishi, akampa ushahidi, na pia waliandika barua ambayo imekuwa mwiba kwa chadema.
Mchome anadai Boni Yai ndiye alikuwa ana edit barua na kuongeza "mawe" na "misumari" ambayo ilifanikisha kuwatengua Mnyika na genge lake la makatibu pamoja na wajumbe wa kamati kuu.
Boni Yai yuko ndani kabisa ya chama na yuko karibu sana na viongozi wakuu "aliowachomea" na kukiharibu chama. Anaaminika kiasi gani?Mwenye uwezo aipandishe hii interview bora kabisa ambayo ina peel off the mask. Koti la chadema lina kunguni wamejificha ndani kabisa.
View attachment 3416875
Kama polepole anavyowafumua huko,siasa na struggle of power ndy zilivyo....kazi kwenu mnaopelekeshwa na wanasiasa
Ova
Cha msingi hapa ni kweli Boni Yai ndio alimpa nondo? Kama alimpa, Chadema itachomoka kwenye hii kesi?Chadema hautoweza kufa kwa kuuliwa Ila itakufa kifo cha Asili
Kwakuwa hata Magufuli alijaribu akashindwa na huyu nae kashindwa
Kwahiyo Chadema is there to stay forever.
Acheni fitna na uchonganishi. Hii ni uongo. Na wewe chiembe sijui chinembe tunakufahamu ni chawa wa ccm.Kuna kitu hakiko sawa ndani ya CHADEMA, waliomo ndani ya Chama wamekaa kimtego.