Leo niwasanue wadau, kuna mtu kagombana na boss wake kwa kuwa hakwenda japo aliomba ruhusa lakini ofisi ikawa na kiherehere kutaka kujua kwa nini hakufika.
Binafsi nikamshauri aseme tu hakuwa na pesa, akaniambia lakini nimepokea mshahara hata wiki 2 hazijaisha wakiniuliza ntajibuje...