mwanafunzi

  1. Je, unaweza kumpa wanafunzi au mwanao Elimu ya Afya na uzazi wa mpango?

    Dunia ya sasa imebadilika sana. ni ukweli uliowazi kabisa kuwa ngono kimekuwa sio kitu cha siri sana. Na uwepo wa ujuaji wa watoto kuhusu ngono umechochewa na mabadiliko mbalimbali yaliyopo ikiwemo Utandawazi kama vile Simu za mikononi, Television na hata muingiliano wa tamaduni za jamii...
  2. Naomba kazi

    Nina umri wa miaka 22 ninaehitimu degree ya biashar dsm chuo cha biashara cbe naomba msaada wa kazii yeyote itayonisaidia kujikimu mwenyew
  3. Ni haki kwa aliyesoma shule za kata kupewa mkopo kiasi hiki?

    Hebu fikiria vijana kama Hawa wengine hawana Wazazi, wamesoma shule za kata since primary na bado Ada ni 1.3milion mpaka 2.5milioni lakini bodi inampa asilimia 49 tu kwa mwaka mtoto akafie mbele, je wadau wa elimu wako wapi, viongoz wako wapi?
  4. NECTA yathibitisha tuhuma alizotoa mwanafunzi wa Chalinze Modern Islamic ni za kweli, Yaifungia shule

    Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA), limethibitisha kuwa mwanafunzi wa darasa la 7 Iptisum Suleman Slim, alibadilishiwa namba ya mtihani na uchunguzi umepelekea kugundulika kwa wanafunzi wengine 7 kubadilishiwa namba zao za mitihani, na kuchukua hatua ya kuifungia shule ya Chalize Modern kuwa...
  5. M

    DOKEZO Mwanafunzi apasuliwa korodani na polisi, ubongo umeyumba. Alikuwa akiteswa

    Kila siku ni kilio na majonzi dhidi ya polisi. Haya mambo yataisha lini jamani. ======== MWANACHUO wa Chuo Kikuu cha SAUT mkoani Mwanza, Warren Lyimo anayedaiwa kupigwa na kuteswa na Polisi hadi kupasuka korodani, amesimulia mambo mazito na yakutisha katika mkasa huo. Tukio la Warren kupigwa...
  6. Wafia dini wanne wajilipua mabomu Somalia na kuua watu tisa akiwemo mwanafunzi

    Hawa jamaa wa alshabaab ambao humpigania na kumlinda "mungu" na uislamu wamejilipua mabomu na kuua tisa akiwemo mwanafunzi kule Somalia.... Nine people were killed and 47 wounded Sunday in an attack on a hotel in Kismayo, southern Somalia, claimed by the Al-Shabaab Islamist group, the region's...
  7. Anayehitaji saidia fundi, fundi seremala mwanafunzi au msaidizi wa kazi yeyote inayohitaji nguvu Dodoma anisaidie

    Habari za leo wakuu. Napitia kipindi kigumu sana kiuchumi Naomba kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia kibarua cha malipo ya siku au vyovyote vile nipo tayari. Naweza kufanya saidia fundi au kazi yoyote ya nguvu. Nina uwezo wa kutumia cherehani kwa ufasaha kabisa Au kama unaweza kunielekeza...
  8. Moshi: Mwalimu wa hisabati jela maisha kwa kulawiti mwanafunzi

    Mahakama ya Rufani imebariki kifungo cha maisha alichohukumiwa mwalimu wa Shule ya Msingi Chomvu iliyopo Wilaya ya Mwanga, Elibariki Mchomvu kwa kulawiti mwanafunzi wake wa kiume mwenye umri wa miaka tisa. Mchomvu, aliyekuwa akifundisha hisabati, alipatikana na hatia kwa mara ya kwanza mwaka...
  9. Baraza la Mtihani (NECTA) kushughulikia suala la Mwanafunzi aliyebadilishiwa namba ya Mtihani

    Mtahiniwa Iptisum Suleiman Slim kutoka shule ya Msingi Chalinze Modern Islamic amesema wakati akifanya mtihani wa kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) Oktoba 5-6, 2022 alipangiwa namba 40 lakini jina lake lilikuwa namba 39 kwenye katarasi ya kusaini. Anasema alifanya mitihani 5 kwa namba 40 lakini...
  10. J

    Mwanafunzi wa shule ya sheria aiomba mahakama isimamishe mafunzo

    Mmoja wa wanafunzi walioathirika na matokeo katika Taasisi ya mafunzo ya Sheria kwa Vitendo (LST), Alexander Barunguza ameiomba mahakama iizuie shule hiyo kuendelea na mafunzo kwa muda ili kufanya uchunguzi wa mazingira ya kujifunzia na kuzuia ubadhirifu. Barunguza, ambaye pia amefungua kesi...
  11. Babu mbaroni kwa kumbaka mwanafunzi

    Shinyanga. Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamshikilia Abubakar Saidi (64) mkazi wa Kata ya Ndembezi kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa kidato cha kwanza (14) katika shule ya sekondari iliyopo katika Manispaa ya Shinyanga mkoani humo. Akizungumza leo Alhamisi Oktoba 13, 2022 Kaimu kamanda...
  12. M

    Tusiwatupie lawama Walimu wa Vyuo Vikuu. Mitihani ndio kipimo cha uelewa na namna mwanafunzi ataisadia jamii na Taifa lake

    Taifa linapokuwa na wahitimu wa chuo kikuu ambao hata wakikaa mitaani ni kama hawajamaliza form four ni aibu kwa taifa. Ni lazima wapimwe kwa mitihani ambayo ina vigezo vya kimataifa. Bahati nzuri dunia nzima masomo ni yaleyale tu. Sasa kama vyuo vitawalegezea wanafunzi ili waonekane...
  13. F

    Mwalimu wa Shule ya Msingi Mbagala Kuu apandishwa kizimbani kwa kumbaka mwanafunzi wa Darasa la Sita

    Mwalimu wa Shule ya msingi Mbagala Kuu, mkazi wa Mwanamtoti aitwaye Ally Said Kaule (26) maarufu kama Sir Ally amepandishwa kizimbani katika mahakama ya wilaya ya Temeke kwa kosa la kumuingilia kingono mwanafunzi wake wa darasa la sita. Akisomewa mashtaka leo Jumanne mbele ya hakimu mkazi Aziza...
  14. M

    Wawili wafikishwa Mahakamani kwa ubakaji mwanafunzi

    Wanaume wawili wakazi wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kubaka na kulawiti mwanafunzi wa darasa la nne na wa kidato cha pili. Washtakiwa hao Mathias Mkokoteni (43), mkazi wa Kata ya Mpwapwa Mjini, Mtaa wa Igovu, anadaiwa kubaka na kulawiti mtoto wa...
  15. Mwanafunzi wa kike kidato Cha 6 kanifata kanambia Ana MIMBA Ina wiki 3(ushauri hapo)

    [Habari wanajukwaa! Mwalimu mmoja amenifata kuniomba nimshauri kitu! Kuna mwanafunzi kamfata leo, kamwambia Ana tatizo kwamba Ana MIMBA Ina wiki 3, hivyo anaomba msaada wa kununuliwa vidonge. Ila mwl. kagoma kunijua vidonge, na akamjibu kwamba atampatia jibu baaae na Cha kufanya. Ndio...
  16. E

    Mwanafunzi wa kike kidato Cha 6, kanifata kanambia Ana MIMBA Ina wiki 3(ushauri hapo)

    Habari wanajukwaa! Mwalimu mmoja anaefundisha Jangwani girls, amenifata kuniomba nimshauri kitu! Kuna mwanafunzi kamfata leo ,kanambia Ana tatizo ,kwamba Ana MIMBA Ina wiki 3, hivyo anaomba msaada wa kununuliwa vidonge, Ila mwl.kagoma na akamjibu kwamba atampatia jibu baaae na Cha kufanya...
  17. Ahukumiwa kuchapwa viboko 6 kwa kosa la ubakaji

    Mahakama ya mkoa Manyara imemhukumu John Emmanuel (18) mkazi wa kijiji cha Malangi wilayani Babati kuchapwa viboko sita (6) baada ya kukutwa na kosa la ubakaji. Hukumu hiyo ya kesi namba 73 ya mwaka 2021 imetolewa leo Septemba 26,2022 na Hakimu mkazi mkoa wa Manyara Mariam Rusewa.Hakimu Rusewa...
  18. Mwalimu afungwa miaka 30 kwa kumlawiti mwanafunzi

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma mkoani Mara, imemuhukumu kwenda jela miaka 30 mwalimu Idrisa Athumani (29) wa shule ya Msingi Kyawazaru iliyopo wilayani Butiama baada ya kukutwa na hatia ya kumlawiti mwanafunzi wake Hukumu hiyo imetolewa leo Septemba 16,2022 ikiwa ni siku mbili tu tangu mwalimu...
  19. Kesi ya mwanafunzi wa Law School of Tanzania aliyeomba iendeshwe LIVE yapangiwa Majaji

    Kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na mwanafunzi wa Shule ya Sheria kwa Vitendo (Law School of Tanzania – LST), Alexander Barunguza, ambayo ameiomba mahakama iruhusu mwenendo wake utangazwe mubasahara kwenye vyombo vya habari, imepangiwa jopo la majaji watakaoisikiliza. Akizungumza na Mwananchi...
  20. Panya Road waua mtu mmoja Kawe na kujeruhi wengine watatu

    Kundi la Vijana wanaojihusisha na Uhalifu Maarufu kama 'Panya road' wamevamia nyumba moja Kawe mtaa wa Mzimuni usiku wa kuamkia leo Septemba 14, 2022 na kujeruhi watu watano na Kumsababishia kifo Binti aliyetambulishwa kama Maria paschal Basso mwenye umri wa miaka 24. Eneo la tukio na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…