mwanafunzi

  1. Mambo 3 ninayotamani Kila mwanafunzi wa mwaka wa kwanza ayafahamu

    Katika kila hatua mpya ya maisha kuna mambo usiyoyajua kwa sehemu, ambayo ukiyajua na kuzingatia kwa asilimia kubwa yatakuwezesha kuwa na matokeo bora ya maisha tofauti na asiyeyajua kabisa. Katika Makala hii nataka kuzungumza na mwanafunzi mpya wa chuo kikuu na hata wale wanaoendelea na masomo...
  2. R

    Kupokelewa MUHAS na Diploma ya clinical medicne as an entry qualification

    Najua unahitaji kuwa na GPA y 3.5 kupata sifa ya kujiunga na MD by TCU standards! Katika daily practice, kuna mwombaji aliyepokelewa MUHAS with this qualification? Nisaidieni information please. Vyuo vingine vya medicine wanawapokea na wanamaliza vema tu with flying colours.
  3. Achukua rushwa ili Mwanafunzi asiende Shule

    DODOMA - JULAI 19, 2021 TAARIFA KWA UMMA KUPITIA VYOMBO VYA HABARI ACHUKUA RUSHWA ILI MWANAFUNZI ASIENDE SHULE Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma leo Julai 19, 2021 inatarajia kumfikisha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma Bw. Maliselo Kapampa Saveli (29) na...
  4. Askofu Mwamakula: Mwanafunzi wa kidato cha kwanza mwenye miaka 13 aswekwa Mahabusu kituo cha Polisi Kirumba

    "Kati ya mahabusu wa kiume 48 waliokuwepo katika Kituo cha Kirumba, kuna mtoto mwenye umri wa miaka 13. Mtoto huyu, alimsogelea Askofu na kumueleza kwa masikitiko kisa chake. Kwamba siku moja aliamua kuchuma limao moja katika mlimao wa jirani yake ili aweke kwenye dagaa ili ale. Jirani yake...
  5. H

    Maboresho katika elimu yatakayomsaida mwanafunzi kujiendeleza kimaisha pindi amalizapo elimu au akwamapo njiani kabla ya kumaliza

    Ni wazi kwamba mifumo wa elimu yetu hapa nchini Tanzania haijaweza msaidia mwanafunzi kujisimamia na kuendesha maisha yake bila utegemezi wa wazazi/walezi au kuajiriwa.Kwa kiwango kikubwa cha ukosefu wa ajira kwa vijana na kutokuwa na thamani ya elimu yetu ya msingi na sekondari katika ajira...
  6. SoC01 Unaweza kujiajiri ukiwa bado mwanafunzi kwa kutoa huduma hizi

    Kujiajiri ni kinyume cha kuajiriwa. Yani mtu kufanya kazi fulani kwalengo la kujipatia kipato, Mtu wa ngazi yeyote ya elimu anaweza kujiajiri mradi tu anaufahamu wa kile anachotaka kukifanya. Kwa hali ya kawaida iliyozoeleka katika akili za wengi ni kuwa wakati wa uanafunzi ni wakati wa...
  7. Hayati Dkt. Omari Ally Juma alioa mwanafunzi wa kidato cha kwanza?

    Au sijasikia na kuona uzuri mie? Naangalia TBC1 hapa naona Mke wa hayati Dkt. Omari Ally Juma anatoa historia, Moja aliyoyasema eti alimchumbia akiwa ndogo sana na kufunga naye ndoa akiwa kidato cha kwanza. La pili anasema alikuwa ni ndugu yake, mume ndugu. La tatu, Dkt. Omari Ally Juma...
  8. Inawezekana mwanafunzi wa Diploma kuhitimu mwaka huu nakujiunga na Degree mwaka huu?

    Habarini wataalam, Hivi inawezekana mwanafunzi wa diploma kuhitimu diploma mwaka huu nakujiunga na degree mwaka huuhuu.
  9. 4

    Kifo cha mwanafunzi MCHAS-UDSM kichunguzwe, japo kimetokea akiwa Mwanza

    Wakuu Salam kwenu, Naenda kwenye mada moja kwa moja UDSM inaendesha medicine pitia brunch yao iliyopo Mbeya na hutumia Mbeya zonal referal hospital Kama teaching hospital, Kuna tahalifa za Mambo mengi ikiwa ni pamoja na mdau mmoja aliewahi leta malamiko yake apa jf kuhusu Mbeya ZONAL...
  10. Kenya: Mwanafunzi wa kidato cha tatu ampiga msumari mkuu wa shule kwa kudaiwa ada

    Mwanafunzi wa Kidato cha tatu katika shule ya Sekondari Ainamoi iliyoko Kaunti ya Kericho, Kenya anatafutwa na polisi kwa kumpigilia msurmali wa inchi nne Mkuu wake wa shule. Mwanafunzi huyo alizuiwa kuingia darasani akitakiwa kwanza alipe ada aliyokuwa anadaiwa ambayo ni takribani Tsh...
  11. TAMISEMI: Mwanafunzi Josephat John aliyevaa mabango hakuchaguliwa ECA na hakuwa na sifa za kuchaguliwa PCB

    Mwanafunzi Josephat John hakuchaguliwa ECA na hakuwa na sifa za kuchaguliwa PCB OR-TAMISEMI,DODOMA Mwanafunzi Josephat John aliyekuwa anasoma kidato cha nne shule ya Sekondari Kom iliyopo kwenye Manispaa ya Shinyanga alizua taharuki baada ya kujianika juani huku akiwa amevaa mabango yenye...
  12. Iringa: Mwanafunzi wa Mwaka wa pili amnyonga mpenziwe wa mwaka wa pili na kutuma ujumbe kwa Wazazi wa Marehemu

    TAARIFA KUTOKA CHUO KIKUU CHA IRINGA Uongozi wa Chuo Kikuu cha Iringa unasikitika kutangaza kifo cha Mwanafunzi wa Shahada ya Kwanza, Mwaka wa Pili Idara ya Uandishi wa Habari PETRONEL P. MWANISAWA kilichotokea siku ya Jumanne, 1/6/2021 hapa mjini Iringa. Uongozi unawatangazia kuwa kesho...
  13. Naomba kuuliza kuhusu mafunzo JKT kwa mujibu wa sheria

    Habari za majukumu wakuu, Natanguliza samahani kwa usumbufu. Naomba kuuliza kuwa, kwa wale vijana waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo kwenye kambi za JKT, inaruhusiwa kutoa udhuru na kuripoti kambi tofauti na uliyopangwa? Na je, ikiwa mtu anahitaji kufanya hivyo, kuna taratibu zozote ambazo...
  14. Kibaha, Pwani: Mtoto ajinyonga baada ya mama yake kumtuhumu kuiba Tsh. 5000

    Mtoto wa kike mwenye miaka 14 mwanafunzi wa darasa la saba Shule ya Msingi Mtongani amejinyonga hadi kufa nyumbani kwao Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani baada ya mama yake mzazi kumtuhumu kuiba Sh5,000. Akizungumza leo Jumatano Mei 26, 2021 Kamanda wa polisi mkoani Pwani, Wankyo...
  15. F

    Mzee Mwinyi asimulia alivyopotea Ulaya alipokuwa mwanafunzi; mzungu akataa kugusa hela yale isipokuwa kwa ncha ya penseli

    Katika kitabu chake cha 'Mzee Rukhsa, Safari ya Maisha Yangu', Mwinyi anasema siku hiyo alikuwa anarejea Newcastle kutoka London alikokwenda kwa ajili ya likizo ya chuo. Anabainisha kuwa kipindi hicho alikuwa anaishi kwenye nyumba iliyokuwa inamilikiwa na Kanisa la Methodist, ikipokea wageni...
  16. Jinsi nilivyo bambikwa Kesi ya Ubakaji mwanafunzi Wilayani Nzega

    JINSI NILIVYOBAMBIKWA KESI YA KUZAA NA MWANAFUNZI WILAYANI NZEGA MWAKA2009. Mwaka 2008 Kuna Binti (Bahati) alikuwa Form 4 Shule ya Sekondari Kiri-Nzega. Mdada huyo alibebeshwa mimba na mtu anayeitwa Pro akiwa kwenye mitihani ya kumaliza Form4. Mapadre wa shirika la SFS wakamwambia ang'ang'anie...
  17. Mwanafunzi aelezea alivyomsingizia Mwalimu ujauzito

    Hii dunia ina mambo complicated sana. Ila hii michezo ya kusingizia mimba inafanyika sana kwa ushirikiano wa wazazi wa binti na mtia mimba halisi. Wazazi wanakatiwa chao na jamaa, halafu binti anapangwa jinsi ya kusema. Bahati mbaya na Polisi wetu bongo weledi ni tatizo, mtu anakula nyundo 30.
  18. Huyu mtu alikuwa jini au? Nilisoma na mwanafunzi kipanga ambaye ni mtoro, mtundu, anavuta bangi, kila kesi yumo, n.K

    Huyu Bwana alikuwa anatukimbiza vibaya mno darasani, form 4 alipiga division 1 ya 11 ya enzi hizo kabla ya 2010, (zilikuwa adimu mno), shule ilikuwa haijawahi kupata mtu aliefaulu kwa ufaulu huu, shule ilikuwa ya kawaida sana Siffa za huyu mtu 1. Alikuwa mtoro sana 2. Form 2 alianza kuvuta...
  19. Njombe: Mwanafunzi wa miaka 9 afariki wakati akicheza mchezo wa kujinyonga na wadogo zake

    Mwanafunzi wa darasa la tatu shule ya msingi Ikelu iliyopo Makambako mkoani Njombe, Claud Florence (9) amefariki dunia baada ya kujinyonga akiwa anacheza na wenzake. Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe, Hamisi Issah amesema mwanafunzi huyo alikwenda shambani na wazazi wake na wadogo zake watatu...
  20. Mwenyekiti CCM Mbeya Mjini atuhumiwa kumrubuni kimapenzi mwanafunzi wa miaka 15. Baba mtoto alalamika kunyimwa ushirikiano na uongozi mkoa Mbeya

    Sakata la Mtoto na mwanafunzi wa miaka 15 kulubuniwa kimapenzi na Mwenyekiti wa CCM Mbeya Mjini. Sakata hilo limeshafika kwa RPC na RC wa Mbeya. Mzazi na Baba wa mtoto huyo amelalamika kunyimwa ushirikiano baada ya kufika ofisi ya RC Mbeya na kumfikishia malalamiko yake. Chanzo: HAROUBTV.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…