Ni yule asiyekupiga mizinga na haji kwa wakati pale unapomhitaji au ni bora yule anayekupiga mizinga na anakuja kwa wakati pale unapomhitaji?
Nikimaanisha huyu anakuja kwa wakati akijua kuna hela atachukua, na yule mwingine anakuambia ana mapenzi na wewe ya dhati na ahitaji hela zako, lakini...