Kuna uwezekano wa kijana wa mjini asiye na pesa katika zama hizi kumiliki mwanamke mzuri

Kuna uwezekano wa kijana wa mjini asiye na pesa katika zama hizi kumiliki mwanamke mzuri

IMG-20260828-WA0035.jpg
 
Sio kila mwanamke Mzuri ana access ya wanaume wanaojiweza na hata hao wanaume sio kwamba wakichukua watatu watatu kila mmoja. Bado hawatowamaliza wanawake wote warembo town

Above all wanawake wengi ni viumbe emotional kwa hiyo wapo wengi pia ambao watawapenda broke men kwa sababu zao.

Kwa hiyo supply ya wanawake warembo kwa broke men haitoisha
 
Haa Sifa Ya Mwanamke Yoyote Ama Furaha Yake Ni Kutongwa Bila Kujari Atakubali Ama Laa !
Nilikuwa Na Mwanamke Mwembamba Sana Na Ana Mtoto
yaani Single Mom Lakini Baadaye Akijitokeza Mtu Kumpa Ahadi Ya Kumuoa
Ana Miaka 35,Single Mom Na Mtoto Wa Miaka 9
 
Back
Top Bottom