Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,365
- 16,444
Uzuri wa Ke yeyote upo machoni pa Me apendezwaye/anayevutiwa naye mwenyewe.Mwanamke mzuri yupoje
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Uzuri wa Ke yeyote upo machoni pa Me apendezwaye/anayevutiwa naye mwenyewe.Mwanamke mzuri yupoje
Kumbe kutojisitiri ndio uzuri
Taarifa ikufikie 😎
Umeona kuto kujisitiri tu eeh Kumbe kutojisitiri ndio uzuri
Hakuna upekee wowote. Ila naamini kuna mabosi wanahudumia hawa watu, ikifika birthday au hizi events za valentine au sijui girlfriend day ndiyo hua naona wazi hapa napigwa.Kuna kitu cha pekee unacho tofauti na pesa ambacho wanakifata.
Pesa wanapewa na wanaume wenzako.
Ilishanitokea hii Kuna mdada aliniomba lift kwenye pikipiki yangu tukiwa tunatokea ofisini ghafla Prado ikasimama akashuka pikipiki akapande gariJinsi mapenzi yalivyogeuka kuwa commercial vijana wa mjini makapuku wasio na pesa wanaweza kumiliki mabinti wazuri kama ilivyokuwa zamani?
Hii unapiga leo kesho unakimbilia AzumaUmeona kuto kujisitiri tu eeh
Hakuna mwanamke anayemng'ang'ania mwanaume ambaye hana upekee wowote.Hakuna upekee wowote. Ila naamini kuna mabosi wanahudumia hawa watu, ikifika birthday au hizi events za valentine au sijui girlfriend day ndiyo hua naona wazi hapa napigwa.
Mi nishasahau tayar halafu unataka kunichokoza hv hv yani,ebu nipumzishe kwanza🤣🤣bahati haiji mara mbili shem, kama wew ulivyo zembea ukanyakuliwa tonge😜😆😎
ni wakati wake
😅😅 Toka umeanza kupiga lini umekula Azuma ?Hii unapiga leo kesho unakimbilia Azuma
unaanzaje kusahau mapema yote hii?,, siwezi nikaruhusu usahau ilihali nipo hai🤣🤣🤣Mi nishasahau tayar halafu unataka kunichokoza hv hv yani,ebu nipumzishe kwanza🤣🤣
Inifikie kama nani?Taarifa ikufikie 😎
Kwahiyo mimi nikiwa na amani we unaona nafaidi au siounaanzaje kusahau mapema yote hii?,, siwezi nikaruhusu usahau ilihali nipo hai🤣🤣🤣
Kama mtu usiyeamini kuwa studio na pesa hatupati wanawake wazuri.Inifikie kama nani?
Huduma zipo nyingi mkuu! fafanua...Binti sayuni
Siku hizi hata mama wachungaji wanatoa huduma.
Bado hawajakutana na Ke wazuri kimaumbile na sura waliojisitiri na ambao hawajajisitiri ila wanatema visamaki balaa.Kumbe kutojisitiri ndio uzuri
napenda uwe na amani ila sipendi usahau ulivyo chukuliwa tonge kizembe,, kiukweli uliniudhi mno😏Kwahiyo mimi nikiwa na amani we unaona nafaidi au sio