Kuna uwezekano wa kijana wa mjini asiye na pesa katika zama hizi kumiliki mwanamke mzuri

Kuna uwezekano wa kijana wa mjini asiye na pesa katika zama hizi kumiliki mwanamke mzuri

Jinsi mapenzi yalivyogeuka kuwa commercial vijana wa mjini makapuku wasio na pesa wanaweza kumiliki mabinti wazuri kama ilivyokuwa zamani?

Uzuri ni kwamba wanaume wenye uwezo mkubwa kiuchumi ni wachache ikilinganishwa na hao wanaoonekana hawajajipata.

Kwa hiyo matumaini ya kupata wanawake wazuri bado yapo sana tu.
 
Hii unapiga leo kesho unakimbilia Azuma
Haya kajisitiri sasa, sema neno lingine
787044909_18098078636632971_4155668858358235145_n.webp
789214944_18098239877632971_3767664194966745591_n.webp
771347570_18095288318632971_7051732404694969287_n.webp
 
Back
Top Bottom