Ndiyo anaweza vizuri tu.Jinsi mapenzi yalivyogeuka kuwa commercial vijana wa mjini makapuku wasio na pesa wanaweza kumiliki mabinti wazuri kama ilivyokuwa zamani?
Ndiyo anaweza vizuri tu.Jinsi mapenzi yalivyogeuka kuwa commercial vijana wa mjini makapuku wasio na pesa wanaweza kumiliki mabinti wazuri kama ilivyokuwa zamani?
Chezea jua la utosi .halafu kiyoyozi kunakija ujifanye una mahaba sana we kuweza 😁jua ni kali bora hata dada etu alibadili usafiri weeeh😊
Naamini hivyo pia, lakini pia wazuri wengi wa sura kuna vitu tangible wanakosa...Anaevutia.
Wazuri wengi wana mechi mbovu sana, bora nilievutiwa nae bila kigezo cha uzuri.
Mtaani wa kienyeji wamejaa telee.
Mungu ni fundi bwana, kila level ya maisha kuna aina ya watu wote. Chips yai tu unajipatia karembo kako saaafii.
Kuna vijana hao hata kazi hawana ,ila wako bussy kuwanasa wanawake wa watu ..Kikubwa ,wakipata pesa wanunua vile viatu vina soli ndefu kwenda juu ,wakigongea bodaboda..Nyie mkienda kazini ,wao wako bussy kutaniana na wake zenu.
Umiliki wa muda mfupi/masaa machache halafu muda unaobaki hubaki wakilengwalengwa machozi,kushikwa na madukuduku,hasira za ghafla na kuongea peke yao kama wamemuona Yesu.
Halafu hasira wanakuja kumalizia huku Jf 😁Umiliki wa muda mfupi/masaa machache halafu muda unaobaki hubaki wakilengwalengwa machozi,kushikwa na madukuduku,hasira za ghafla na kuongea peke yao kama wamemuona Yesu.
achilia mbali jua, kunao upepo na vumbi, unafika sehemu unayoenda ka perfume kote kameisha, bora aushtue umaskini😆😆😆Chezea jua la utosi .halafu kiyoyozi kunakija ujifanye una mahaba sana we kuweza 😁
yale mashimo nayo ni makubwa mzee, sasa kama utakutana nayo si utapwaya tu?Mkuu, mimi najisifu kwa sababu katika zile connection (video chafu zinazovuja) naona dushelele za wanaume zinapwaya kimtindo kiasi cha Mimi kujisemea, "Mimi ndo yule niliyebatikiwa na mungu".
Sema ni matani tu!
Noma sana
Ili siku ukipata pesa umteme. Mtu maskini sio wa kumwamini hata kidogo 😁😁Kama unapenda demu mkali na huna uwezo wa kumtunza huumiza sana hisia inabidi uangukie kwenye demu wa kawaida unayemudu gharama zake
Shauri yao.Wakikutana na watu wameshiba mihogo na hawana sonona wanapigwa spana hadi siyo alright!Halafu hasira wanakuja kumalizia huku Jf 😁
Halafu mtoto wa watu hajampa hata helmet 😁😁 lengo lake likitokea lolote apasuke kichwa akufeachilia mbali jua, kunao upepo na vumbi, unafika sehemu unayoenda ka perfume kote kameisha, bora aushtue umaskini😆😆😆
Yep, inawezekana kabisa.Naamini hivyo pia, lakini pia wazuri wengi wa sura kuna vitu tangible wanakosa...
Hivi unaamini mwanamke anaweza kuwa mzuri sana na asiwe sexy?
Tambua kuwa nina dushelele kubwa mithili ya bomba la mafuta.yale mashimo nayo ni makubwa mzee, sasa kama utakutana nayo si utapwaya tu?
Hela itafutwe aisee dunia ni katili sana kwa watu wasio na helaHii dunia ya sasa inaenda na CLASS, kila mtu ana type yake yaani wako level 1, regardless of.....
Jamani tutafute Hela, sio ke wala Me.
Unajidanganya mkuu,Sio kila mwanamke Mzuri ana access ya wanaume wanaojiweza na hata hao wanaume sio kwamba wakichukua watatu watatu kila mmoja. Bado hawatowamaliza wanawake wote warembo town
Above all wanawake wengi ni viumbe emotional kwa hiyo wapo wengi pia ambao watawapenda broke men kwa sababu zao.
Kwa hiyo supply ya wanawake warembo kwa broke men haitoisha
Nyoootunataka kubwa usitusemee🤣🤣🤣🤣