Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Umiliki wa muda mfupi/masaa machache halafu muda unaobaki hubaki wakilengwalengwa machozi,kushikwa na madukuduku,hasira za ghafla na kuongea peke yao kama wamemuona Yesu.
kama wa kwenye kideo hapo juu😄Mwanamke mzuri yupoje
Ndio iwe V8 tu🤣🤣jua ni kali bora hata dada etu alibadili usafiri weeeh😊
ok vizuriNdiyo Ukweli Wenyewe Ndugu Zangu
Labda ukute ni binti sayuni ndio walau unaweza kummiliki.Jinsi mapenzi yalivyogeuka kuwa commercial vijana wa mjini makapuku wasio na pesa wanaweza kumiliki mabinti wazuri kama ilivyokuwa zamani?
MmhMimi nilipoona sina pesa basi chap nikaenda kwa wanganga nikachanja uume wangu, sasa ni mkubwa balaa, na kwa taarifa tu huu uume ni kama ulimbo kwa watoto wa wazuri.
That's X factor 😎
mara moja moja sio mbaya bwana, acha akapate upepo wa v8, huo wa boda boda unachosha😄😄Ndio iwe V8 tu🤣🤣
Sasa hapo ni kupanda miwa karibu na shamba la shulekama wa kwenye kideo hapo juu😄
Binti sayuni 😃😃😃Labda ukute ni binti sayuni ndio walau unaweza kummiliki.
Kuna kitu cha pekee unacho tofauti na pesa ambacho wanakifata.Nina wanawake wazuri hadi naamini nagongewa. Na sina hela wao ndiyo wanazo hatari
Kila jambo lifanyike kwa uwezo.Namshangaa sana mwanaume anayemhudumia kupita uwezo wake mwanamke asiye mke wake.
we panda tu ila jitahidi kuweka uzio ili wasiione😜Sasa hapo ni kupanda miwa karibu na shamba la shule
Halafu yule dada pale kazuga kupanda nyuma tu lkn naamini baada ya kuingia alienda siti ya mbelemara moja moja sio mbaya bwana, acha akapate upepo wa v8, huo wa boda boda unachosha😄😄
Otewe panda tu ila jitahidi kuweka uzio ili wasiione😜
ni anayevutia kimahaba, kaumbika idara zoteDefine mwananke nzuri.