Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Miaka ile ya 90 shuleni ilikuwa walimu wakiona tunasimamisha sana minara usiku gizani wala hawahangaiki nasi. Kesho yake utakuta chakula cha mchana kinanuka mafuta ya taa. Jioni kinanuka mafuta ya taa.
Wapishi wanafanya uzembe wanamwagia mafuta ya taa kwenye maharage. Utaenda kushtaki hakuna hatua zinapigwa.
Ule ulikuwa ukatili na unyanyasaji wa kihisia. Nimewaza sana na nimeshamwambia mwanasheria hii idea ya kufungua kesi kwa huu ukatili waliotufanyia.
Ingawa sasa kwa hiyari ,bila kushawishiwa na mtu, nikiwa na akili timamu,nimeamua ili kuepuka wanawake mwaka huu nitakuwa nakunywa nusu glass mafuta ya taa angalau kila baada ya siku mbili.
Asubuhi kabla sijala chochote. Kusafisha tumbo na hamu za kijinga. Hapo itakuwa wanawake nawang'ong'a tu... Wakipita na kujipitisha. Sina habari nao.
Hapo sicheki na wowote, naulinda wangu moyo. Naamini nitanunua kiwanja na kuanza kusimamisha kakibanda kangu. Kimya kimya. Sitaki ushauri kwa mtu. Naliwa sana pesa zangu na mademu. Nimechoka kwa kweli. Sitaki tena. Hiyo dose nitapata mpaka dkt aniambie otherwise.