mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Zambia, Mwanaume aamua kuvunja ndoa baada ya mke wake kulipia milioni 2 kupiga picha na Chris Brown akimkumbatia na kumbusu

    Imetokea Zambia hii, Chris Brown alienda Sauzi kupiga show wiki iliyopita, Mke wa mtu akafunga safari kwenda kumuona, haikuishia hapo akalipia meet and greet, hiki ni kiingilio kwa wale wanaotaka kumuona msanii kule back stage na kupiga nae picha, Chris Brown huwa anatoza dola elfu 1 (shilingi...
  2. kiredio Jr

    Tofauti na pesa, kazi na wasifu, ni yapi mengine ambayo huongeza ushawishi kwa mwanaume dhidi ya wanawake?

    Wengine wanavutia wanawake wengi ambao hata hawafahamiani kwa kina mfano strangers tu
  3. R

    Nilipata pesa na kujiona mwanaume ndani ya ndoa

    YAMENIKUTA; nilipata pesa na kutaka kuwa mwanaume ndani ya ndoa yangu! Maisha haya acha tu, hivi kwanini kuna mambo yanatokea halafu ndiyo mtu unakuja kujutia baadaye. Nilinunuliwa Kitabu na rafiki yangu, yaani rafiki yangu yuleyule ambaye alikua akinishauri nimuache mume wangu ndiyo...
  4. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Vijana wa Namna hii huwezi wakuta Mara na viunga vyake. Wapo sana Tanga& Daslam wapenda Taarabu

    Kwa maana hii Dar mambo haya yamebarikiwa na wakazi wake maana hii sio kificho Tena. Bali mambo hadharani kama wanavyosema msondo ngoma. Lakini mkicheka na Nyani siku ya mavuno mtavuna mabua!
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Sifa za mwanaume bora wa kukuoa, kuwa mumeo ni hizi hapa! 2025 fanya kweli

    SIFA ZA MWANAUME BORA WA KUKUOA, KUWA MUMEO NI HIZI HAPA! 2025 FANYA KWELI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Wanawake wengi hulalamika kutokujua ni mwanaume gani anasifa za kumwoa. Wengi hawajua sifa za mwanaume mzuri atakayekuja kuwa Mume na Baba wa watoto wake. Sasa Binti yangu, Mimi kama...
  6. Tundazuri

    Mwanaume uliyevurugwa na mapenzi

    Habari rafiki, kama kuna mwanaume anaevurugwa au kuteswa na mapenzi naomba usipate stress, njoo tuwe marafiki usilewe kupita kiasi utapata stress utadata buree, njoo rafiki tubadilishane mawazo popote ulipo tutakuwa tunawasiliana, mm nipo Dodoma kw sasa. Nitakupenda kama rafiki yangu na...
  7. Damaso

    Mwanaume panua options zako, never have a single option

    Katika jamii nyingi, suala la mwanaume kuwa na wapenzi wengi limekuwa likijadiliwa kwa mitazamo tofauti. Wakati wengine wanaliita kuwa ni tabia mbaya, kuna ambao wanahisi kuwa ni njia ya mwanaume kupata uzoefu na kuchagua mpenzi bora atakayemfaa kwa maisha ya ndoa. Kwa mtazamo huu, mwanaume...
  8. D

    Mwanaume unayehitaji sana mtoto..

    Habari zenu jmn.. Natafuta mwanaume wa kuzaa nae&kulea wote kwa hiari Mi ni KE, miaka 31, mrefu 1.67m,maji ya kunde, mwili size medium, Elimu - post graduate,Kazi-mwajiriwa Kimaisha ninajitegemea na najipenda kama mwanamke Sijaolewa,sijazaa, sina HIV, Nahitaji sana mtoto wa jinsia yoyote na...
  9. Magical power

    Unapomuomba namba mwanamke anayeenda au anayetoka kwa mwanaume ampendaye😀 au yule mwanamke anayemheshimu mtu wake anakupotezea mpaka unajisemea

    Pale unapomuomba no mwanamke anayeenda au anayetoka kwa mwanaume ampendaye😀 au yule mwanamke anayemheshimu mtu wake Anakupotezea mpaka unajisemea mimi ni wakupuuzwa hivi na mwanamke tu kweli 😀 Mwanamke akiwa anaenda au anatoka kwa mwanaume ampendaye ndugu yangu achana naye hatakusikiliza...
  10. Tman900

    Mwanaume Uwe na Kitu Cha Kutegemea na Kiwe Siri yako

    Kuna Jambo nimejifunza ktk Maisha, Wazee Wengi wazamani walikua na Hakiba ya Siri. Pia walikua awafanyi maamuzi kwa Mihemko, Na walikua na Busara, Fulani ambayo Mimi naweza sana, Mzee anaweza Jua Jambo na akakuvungia kama hajui. Na linapokuja swala la akiba ya Siri, hii ni akiba ambayo atakua...
  11. Money Penny

    Usipojitambua kama Msichana au Mwanaume, hizi ndio sehemu zako zitaathirika.... GIRL CODE NO 4

    Ewe mwanamke wewe msichana wewe binti Usipotambua thamani yako kama mwanamke, zitakazoathirika ni 1. sehemu zako za siri 2. utu wako 3. saikolojia yako juu ya wanaume 4. afya ya akili yako nakusahuri, jitambue, jielewe jua thamani yako, jua wewe ndio the price sio mwanaume natoa darasa la...
  12. wasumu

    Je, wajua kuwa binadamu anaweza akafa akiwa mwanaume ila katika re birth akawa mwanamke?

    watu wengi hawajui kifo ni nini lakini watu wengi hawajui kuwa sasa hivi unaweza ukawa mwanaume ukafa katika re birth ukawa mwanamke au kuku ,au jiwe au kitu chochote kile samahani kama hujui usi comment big persontalk with big person. Jesus alisema mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa vitu...
  13. G

    Mwanaume mwenye uwezo wa kutunza mke wa ziada na familia ni baraka kwenye jamii; kumzuia ni jambo la kishetani

    Siwazungumzii wale wanaoongeza mke na kutelekeza familia za mwanzo, kundi hili kuna mstari mwembamba unaowatofautisha na wazinzi wanaoingia kwenye ndoa kwa tamaa za kimwili. Kataa kubali uhalisia ni kwamba Mwanaume ndie provider kwa wanawake, ndie kichwa cha familia, Ndio maana mwanaume ndie...
  14. Apollo tyres

    Beatrice Mwaipaja, ukitaka kupona tafuta mwanaume uolewe na uachane kabisa na uzinzi

    Nawaambia walokole na watu wote mnaopata Sana mikosi Hakuna kitu kinarudisha nyuma Kama uzinzi . Dhambi ya uzinzi inaondoa kibali na unabaki kuwa mtu wa kawaida ambaye hauna impact yoyote. Beatrice Mwaipaja -uzinzi ndo umekufikisha hapo na sio huyo shetani wala mapepo . Kupata kibali cha...
  15. Damaso

    Mwanaume kuwa makini na 'Dinner dates'

    Katika enzi hizi za usawa wa kijinsia, ni muhimu kuchunguza kwa kina mabadiliko yanayohitajika katika uhusiano wa kimapenzi. Ni muhimu kuzingatia kwamba uhusiano wenye afya unajengwa juu ya msingi wa heshima, uwajibikaji, na uelewano wa pande zote. Mada ya nani anapaswa kulipa kwenye dinner...
  16. Mkalukungone mwamba

    India: Mwanaume ameza kifaranga cha kuku ili apate mtoto

    Dunia inamaajabu yake na vituko kutoka kwa binadamu! Sasa man anataka apate mtoto kwa kumeza kifaraga baada ya kuambiwa na mganga wa kienyeji. Ila hawa waganga wa kienyeji wa hovyo na wapumbavu si Afrika pekee duniani kote akili zao zinafanana ili kuwapoteza wajinga ambao wanaamini katika imani...
  17. Bravoozi3

    Mwanaume unaoa ukiwa bado unaishi kwenu, una akili kweli?

    Hii Gen Z ina mambo mengi sana, ni kawaida kukuta mtoto wa kiume ameoa na bado anaishi kwa wazazi, yani alipo olewa mama yake na yeye analeta demu wake, huku ni kuvunjia heshima wazazi, kama unajijua ni kijana unayesumbuliwa na genye za kipumbavu basi nenda ukapange na sio kumaliza pwiru wako...
  18. Jaji Mfawidhi

    Siwezi Kutoka na Mwanaume asiye na Hela!

    WANAWAKE, kila unapohisi na kutaka mwanaume akupe pesa au akununulie kitu lakini hana uwezo wala fedha , na ukashawishika kusema MWANAUME AMEFULIA au ANAUMI-MI, Jipige kifua chako na ujiambie: “HAPANA, MIMI NDIYE NIMEFULIA KWA SABABU SIWEZI KUMUHIDI NINACHOTAKA BINAFSI..” MWANAMKE tanguliza...
  19. Brojust

    Mwanaume unatakiwa ule nini ili utoe shahawa za twins au triplets, Je, kisayansi vyakula gani pia mwanamke inabidi ale

    Kuna mfanyakazi wa azam amezaa mapacha wanne. Madaktari na wanasaikolojia, Mimi na wana jamiiforum wenzangu tumesubscribe uzi na tuna popcorn tayari kusikiliza majibu.
  20. R

    Nina tattoo makalioni, mume wangu kuniambia nitafute mwanaume mwingine

    Wakati niko chuo nilikuwa na rafiki zangu wawili ambao tulikuwa tunaaka chumba kimoja. Ni watu wa kujirusha, na kipindi hicho tulikuwa wazuri sana. Mambo yalikuwa mengi na tulifanya ujinga mwingi. Kuna mambo mengi nilifanya kipindi hicho ambayo mpaka leo najutia, lakini kuna hili moja ambalo...
Back
Top Bottom