mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Juice world

    Mwanaume unakuwaje masikini wakati Mimi mtoto mdogo Nina pesa

    Mwanaume unakuwaje masikini yaani unalialia njaa kabisa na midevu Yako unataka sisi vidume wenye pesa tukuhurumie yaani dada yangu hawezi kuolewa na mwanaume lofa sababu ni mkosi kwenye familia yaani ukoo wetu atakua kaupaka Mavi
  2. W

    Fungua Milango ya Mafanikio: hizi ndizo njia kwa wanaume kujiondoa katika umaskini

    Pata Mwanamke Sahihi Sahau kuhusu slay queens na wanawake wenye sura na shape wasioweza kukuunga maono yako. Tafuta mwanamke atakayekuunga mkono kwenye maono yako na kukupa ahueni kwenye safari ya kusaka mafanikio. Mwanamke alie tayari kutimiza majukumu yake na yenu kwa pamoja, ni muhimu sana...
  3. Jack Daniel

    Kuwa mwanaume si Kazi rahisi, zingatia haya kulinda UANAUME wako

    1.Epuka kukubali kuguswa na mtu ,iwe begani au wapi pindi mpo kwenye stori na vema wakajua kuwa huwa hupendi. 2.Epuka kukumbatiana na mwanaume mwenzio pindi mnasalimiana,hata kama mmemisiana muda mrefu. Labda kama ni Baba mzazi au mwanao,japo huwa sioni ulazima. 3.Epuka kuwa mwepesi wa kukopa...
  4. Mshana Jr

    Nyuma ya kila mwanaume mwenye mafanikio kuna mwanamke anayemsukuma!

    Wakati kundi la watalii lilipotembelea shamba la mamba, mmiliki wa eneo hilo alizindua shindano la ujasiri, kwa kuwaambia wageni waliohudhuria kwamba.. "Yeyote anayethubutu kuruka, na k kuogelea hadi upande wa pili wa ziwa lile lenye mamba na kusalimika kuliwa au kujeruhiwa atampa $ 1,000,000...
  5. G

    watu wa Dar es Salaam punguzeni ujuaji muwapo mikoani, Mwanaume kuvaa hereni mikoani ni mwiko

    DSM ni jiji kubwa sana lenye mchanganyiko wa tamaduni kibao, watu wa mataifa wengi, fani nyingi, n.k. Halai hii imewea kuruhusu kuonekana ni jambo la kawaida mwanaume kusuka, kuvaa hereni, kuvaa kipensi, n.k. Lakini huku mikoani yakiwemo majiji madogo, hali ipo tofauti sana, tamaduni...
  6. a sinner saved by Christ

    Mwanaume akifika mshindo mmoja tu anatoa mbegu/manii takribani milion 350 zenye ujazo wa wastani wa 3.5ml.

    Kwa mshindo mmoja tu mwanaume Anapoteza hizo mbegu za kiume kwa wastani wa wingi huo wa mbegu milioni 350M (3.5mls za ujazo) Ambazo hizo ni pure proteins matofali ya kujengea na kukarabati mwili wake.. KUNA FAIDA KWA MWANAUME KATIKA KUPUNGUZA KUTOA MBEGU ZAKE ZA KIUME(NGUVU ZAKE) MARA KWA...
  7. Mikopo Consultant

    Ya Mbowe na Gambo yametufundisha kwamba, mwanaume wa kweli lazima apige yowe pindi chai ya watoto wake inapoguswa na vitu visivyojulikana

    Kumekucha kumekucha Gambo Mkuu Gambo kaambiwa maneno machache tuu, ‘Hudhuria kwenye vikao’ almanusura adondoke chini kwa shambulizi la moyo. Nikagundua kumbe alikuwa yupo mbele ya wateja wake a.k.a wapiga kura. Maneno ya RC yamemchoma sana mwanaume huyu; chupa ya chai ya wanawe imepokea mguso...
  8. B

    Foleni ya kwenda kumuona Mwanaume mwenye Mwanamke mmoja

    😁😁😁
  9. SankaraBoukaka

    Kama Mungu ni mkamilifu, kwanini aliipitisha urethra (mrija wa mkojo) katikati ya tezi dume?

    Wakati tunaamini kuwa Mungu ni mkamilifu, bado tunakutana na mambo magumu kuhusu baadhi ya maumbile ya mwili wa binadamu. Mojawapo ya maswali hayo ni muundo wa tezi dume na jinsi urethra inavyopita katikati yake. Hii inaleta changamoto zifuatazo: 1. KUKOSEWA KATIKA MUUNDO? Kutegemea Umri...
  10. Carlos The Jackal

    Ukiona Mwanaume kaoa pisi kali ujue alioa baada ya kujipata kimaisha. Wengi tunaoa kwakua tuliowaoa wanatuvumilia tunapoendelea kujitafuta

    Hapa wengi Leo nitawashangaza Kuna Mdau kauliza huku. Hivi mliooa mlipata wapi Wanawake wa Kuoa? Ni swali ambalo mwanaume ambaye hajaoa anaweza kulichukulia poaaa poaa kabisa. Ukweli ni huo, na ipo hivi. Ulishawahi kujiuliza kwann mwanamke mzuri unayemfaham wewe kazalia kwao? Ni Kwa sababu...
  11. Money Penny

    Mwanamke feminine haombi mwanaume hela. Girl code 5

    Ni kweli. Mwanamke yeyote ambaye ni feminine haombagi hela kwa mwanaume. Hela zinakuja tu zenyewe. Kama unataka kujua inakuwaje nicheki inbox. Angalizo: Nyie wanaume mnaomiliki wanawake feminine alafu hamuwa-hudumii, msije kulia siku za usoni. HAPPY NEW YEAR 2025
  12. jannelle

    Mwanamke usisubiri mwanaume muovu aje abadilike, kimbia mbio

    Itakuwa ni ajabu sana mwanamke kushinda tukilia na kufanya maombi kwakusubiri eti mwanaume muovu aje abadilike😂😂, NEVER Hawa watu wakiamua kufanya vituko ndio wanazamia hukohuko itakauka koo kutwa kulia, me najionea hapa kwa watu wanaonizunguka ni kasheshe, jamani huu ni ujinga wa kukandamiza...
  13. S

    Mwanaume ukifika miaka 30 hakikisha una moja kati ya hivi

    1-Kazi/ajira ya kueleweka. 2-Familia 3-Assets kama nyumba,kiwanja n.k zama za kufarijiana kwa wanaume zimepitwa .
  14. Wakusoma 12

    Mambo muhimu ya kufanya kwa mwanaume mwaka huu wa 2025

    NB nimeikopi kutoka X 1. Mpangilia wa kuamka saa 12 Asubuhi kila siku, (Epukua kuamshwa na Alarm). 2. Fanya mazoezi ya "KEGEL" kwa usahihi Walau nusu saa kila siku asubuhi na jioni. 3. Kunywa maji lita 3-5 kila siku iwe kwenye ratiba yako. 4. Pata bakuli mbili ya mchuzi wa bamia changa kwa...
  15. The Assassin

    Mwanaume tafuta pesa, wanawake wazuri utawapata bila kujalisha una miaka mingapi

    Wanaume tutafte pesa, wanawake wazuri wapo tu miaka yote ya maisha yako. Larry Ellison mmiliki wa kampuni ya mifumo ya Oracle ana miaka 80, ameoa kimwana wa miaka 33, tofauti ya umri wa miaka 47. Mugabe alimuoa Grace akiwa anamzidi miaka 40, Mmliki wa Nkatie Burger, burger maarufu sana Afrika...
  16. Rule L

    Hivi kuna fedheha kubwa kwa mwanaume kuzidi ya kushindwa kupiga show

    Hii habari nimekuwa nikiisikia tu, ila juzi kati imenitokea live bila chenga 😆 😆 😆 😆 😆 😆. Mnara ulikua kama upo ndani ya maji wazee, ile piss ikabidi tu inipe pole. na kuondoka zake Nilijisikia vibaya sana mazee.
  17. DR HAYA LAND

    Mwanamke hajaumbwa kumtegemea mwanaume bali mwanaume ndo kaumbwa amtegemee mwanamke

    Nimekuwa nikifatilia Sana maswala ya mahusiano Kwa nyakati tofauti . Leo napenda kugusia hili eneo ambalo watu wengi hawalifahamu kuhusu 'KUTEGEMEA' Binadamu wote kimaisha wanategmeana aliyenacho na asyekuwa nacho. Ila linapokuja swala la MAISHA ya mahusiano kifamilia , basi mwanaume...
  18. Stability

    Kitu nimegundua furaha ya mwanaume haijawahi kuwa concern ya mwanamke

    Mwanamke anataka Status ya mahusiano yenu iulizwe kwa minajili ya jinsi mahusiano yenu yanavyo muaffect yeye bila kujali wewe. Wanawake wamekuwa more selfish, na zaidi institutions hizi zinazidi kumuweka mwanaume katika pressure kubwa sana zidi ya mwanaume Unaweza kuta Ustawi wa jamii...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    Mwanaume bora lazima umtoe out mkeo na kumnunulia zawadi. Haiwezekani mwaka mzima hujafanya hivyo!

    MWANAUME BORA LAZIMA UMTOE OUT MKEO NA KUMNUNULIA ZAWADI. HAIWEZEKANI MWAKA MZIMA HUJAFANYA HIVYO. HUO NI USHENZI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Siku 365 na masaa kadhaa Mkeo na watoto wapo nyumbani kama gereza la Kinguruila. Kila siku kupika chakula hapo nyumbani huyo Mkeo hachoki tuu...
  20. P

    Je, kumsifia Aggrey kutaka kuwa mwanaume tena, ni kuwa homophobic?

    Hivi Karibuni mtu mmoja anayejihusisha na mapenzi ya jinsia moja Philemon Aggrey ameokoka na kuonesha kuwa ana nia ya kuacha na ushoga. Jamaa ameshare upekee wa maisha yake na kuonesha yako mengi kwenye maisha yanayopelekea watu kuwa hivyo, japo yeye amezungumzia zaidi masuala ya starehe na...
Back
Top Bottom