mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Hivi saa inavaliwa mkono gani kwa mwanaume

    Huyu ni naibu waziri wa nishati, Amevaa saa mkono wa kulia, kapiga picha inayoenda kwa umma mdomo wazi Vyote sio tatizo issue kuvaa saa mkono wa kulia navyojua ni uhuni, Mwanaume anapaswa kuvaa saa mkono wa kushoto
  2. Strong and Fearless

    Jinsi Wanawake wanavyoweza kutambua Mwanaume ambaye ana malengo ya ndoa na Mwanaume ambaye hana mpango wa kukuoa

    Wanawake wanapaswa kuwa na ufahamu wa kutambua ni mwanaume gani yuko tayari kwa ndoa na ni nani ambaye hana malengo ya ndoa .Hii itawawezesha kuwa na uamuzi bora kuhusu uhusiano wao na kuepuka kuumizwa. Mwanaume Aliye Tayari kwa Ndoa: 1. Anaonyesha nia ya dhati: Mwanaume ambaye yuko tayari...
  3. Jack Daniel

    Utapeli wa ndoa na hatima ya mwanaume kwenye jamii

    Salaam jamiiforum Si ajabu kuona vijana Kwa wazee wanapishana katika madanguro au sehemu wanapojiuza wanawake. Yaani vijana umri wa miaka 21 hadi 35 lakini pia kuna umri huu 35 mpaka 55 wote hao wanapishana na kupeana koneksheni ya madanguro (machimbo) mapya. Hii yote inasababishwa na...
  4. Rorscharch

    Kwa mara ya kwanza nimeona mwanaume analia kwa sababu isiyohusisha msiba wala mapenzi

    Nilikuwa katika pitapita zangu za kawaida pale Ubungo Kibangu, lengo likiwa kumtembelea rafiki yangu wa zamani ambaye tulisoma naye sekondari. Ni kijana wa miaka 28, mcheshi na mwenye kipaji kikubwa katika mambo ya filamu. Hata hivyo, kwa sababu ambazo sikuwahi kujiuliza, hakufanikiwa kumaliza...
  5. Balqior

    Wanaume wengi tunajipa moyo kuwa uzuri wa mwanaume upo mfukoni, sababu tunajijua muonekano wa wengi wetu ni mbovu

    Habarini Huu ni ukweli mchungu ambao wadada na wakaka wengi wanashindwa kusema, wanaume wengi wetu sisi tuna vitambi kama tumebeba mimba, vimbaumbau, mwili mmoja rangi mbili, ngozi ya mwili kama ya mamba, meno kama foleni za madumu, halafu tunategemea tupate pisi kali Asiwadanganye mtu uzuri...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Nasisitiza, itungwe Sheria kubeba Mimba bila ridhaa ya Mwanaume liwe kosa la jinai

    NASISITIZA, ITUNGWE SHERIA KUBEBA MIMBA BILA RIDHAA YA MWANAUME LIWE KOSA LA JINAI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mwanasheria wa Tibeli. Andiko hili liwafae wale wapendao HAKI. Andiko hili lipitiwe na kujadiliwa na wale Wanasheria wa kusomea na wale Wanasheria wa kuzaliwa wenye MAARIFA na...
  7. Jack Daniel

    Maamuzi ya kiume na nafasi ya mwanaume kwa sasa ndani ya familia zetu

    Hello jamiiforum Ni jumapili ya mwisho wa mwezi wa Kwanza mwaka 2025. Kumekucha kupambana,siyo mapambano ya kazi za kimwili,pengine ni mapambano ya kuridhisha nafsi na roho zetu. Huko makanisani kumejaa leo,wapo wanaotafuta wenza,wapo wanaotaka kuonana na mchungaji ili kunusuru ndoa zao,wapo...
  8. Damaso

    Mwanaume chukua somo kwenye kisa cha Talulah Riley na Elon Musk

    "Niliachana na Elon Musk baada ya yeye kuyumba sana kiuchumi lakini Kwa Sasa ninajutia kitendo changu cha kumuacha na sasa nataka kurudiana naye, sio kwa sababu ya Pesa zake nyingi Wala siyo kwa sababu amefanikiwa sana bali ninataka kurudiana nae kwa sababu ya Upendo wangu mkubwa kwake. Kwa...
  9. LA7

    Nimetazama hii picha ya mwanaume aliye iacha familia na Ndugu zake TZ kweli jamaa wamejitolea aisee

    Nawaombea wote warudi salama💪
  10. Bado natafuta

    Mavazi yampasayo mwanaume na mwanamke

    Shalom, Mtu wa Mungu karibu tujifunze Neno la Mungu, Taa pekee ya kweli iongozayo miguu yetu. Leo kwa ufupi tutajifunza ni kwanini Mwanamume hapaswi kuvaa mavazi yampasayo mwanamke, kadhalika na mwanamke hapaswi kuvaa mavazi yampasayo mwanamume. Neno hilo linapatikana katika kitabu cha...
  11. CARIFONIA

    Tofauti kati ya mvulana na mwanaume

    "Endapo bado hujaelewa tofauti kati ya wavulana na wanaume, hapa kuna mifano michache inayohusu mahusiano ya kimapenzi: - Mvulana: hutumia wanawake kujenga kujiamini. Mwanaume tayari ana kujiamini. - Mvulana: hupenda 'kudate' tu na mwanamke anayemvutia. -Mwanaume: humualika kwenye miadi...
  12. youngkato

    Jinsi ya Kumfanya Mwanaume Akupatie Pesa Zake au Akuhonge Pesa Nyingi

    Jinsi ya Kumfanya Mwanaume Akupatie Pesa Zake au Akuhonge Pesa Nyingi Kabla ya kuingia kwenye somo hili, ni muhimu kufahamu kuwa uhusiano wa kweli unapaswa kujengwa kwenye msingi wa upendo, heshima, na uwazi. Hata hivyo, kwa wasichana walio kwenye mahusiano, kuna njia za kimaadili za kumfanya...
  13. kwisha

    Nini chakufanya kwa mwanamke ambaye anataka kutawala mwanaume kwasababu ya ngono

    Habari zenu wapendwa Naombeni ushauri juu ya hali hii ambayo kidogo inanipa stress Mimi nikijana nimeoa na nina mtoto mmoja Lakini kuna hali fulani ambayo mke wangu anayo Hali hiyo ni kutaka kunitawala kupitia madhaifu yangu Amegundua kuwa ninapenda sex sana na ameanza kutumia njia hiyo...
  14. youngkato

    Jinsi ya kujua kama mwanaume anakupenda au hakupendi

    Dalili Kwamba Anakupenda Anaonyesha Kujali kwa Moyo wa Dhati Anakufuatilia kujua hali yako (mwenendo wako wa kila siku, afya yako, au matatizo yako). Anachukua hatua kukusaidia bila ulazima, iwe kwa kukushauri au kukutegemeza. Anaweka Muda wa Kukaa na Wewe Licha ya ratiba zake kuwa na...
  15. Pyaar

    Kipato huongeza uhuru na kujiamini kwa mwanaume

    Ni content but in reality inachoma kama pasi. Poleni wanaume wote mnaopitia khali hii ama zaidi ya hii. Mwenyezi Mungu awaone na kubariki hustles zenu. Happy Friday.
  16. Magical power

    Kama tunazitaka mali tutazipata kwenye hustle, kama tunaumizwa na Wanawake aminini Wanangu tutawakuta wengine mbele

    Wakuu mnisikilize Kwasasa Wanawake watakuacha saaana tu, Mabinti hawatodumu kwenye maisha yako ila lisikupe shida, kanuni ya maisha ni kuwa Paka hakai na Msela, mara atakwambia haupo romantic yani hujui kubembeleza, utawezaje Mwanangu wakati kichwa kinawaka moto na maisha yanataka kupetiwa ili...
  17. bulajunior

    Mazoezi kwa mwanaume ni muhimu Sana kama unataka kumridhisha mwenza wako kwenye tendo!

    Nimeona nizungumzie hili wanaume wenzangu kama unahitaji mpenzi wako afurahie shughuli yako ya kitandani jitahidi kufanya mazoezi ili uwe mwepesi kuhakikisha unapumzi ya kutosha hivihvi jamani tutalaumiwa sana na tutapigiwa sana
  18. Mshana Jr

    Dakika 15 za Upweke Golini: Simulizi ya Sam Bartram

    Mnamo Desemba 1937, wakati wa mechi ya mpira wa miguu huko Stamford Bridge huko London kati ya Chelsea FC na Charlton FC, mchezo ulisimamishwa katika dakika ya 60 kutokana na ukungu mkubwa. Kwa bahati mbaya, kipa wa Charlton FC, Sam Bartram, hakujua kwamba mechi ilikuwa imesimamishwa na...
  19. Manyanza

    Dunia haijawahi kuwa na huruma kwa mwanaume

    Ukiangalia historia ya maisha ya watu wengine waliotangulia utabaini kwamba maisha ya mwanaume siku zote huwa magumu sana.Mwanaume anaweza kuonewa huruma nyakati nne ,moja akiwa mgonjwa sana,mbili akiwa mzee,tatu akiwa mlemavu,nne akiwa majeruhi /akiwa na majeraha. Kinyume na hapo mwanaume...
  20. Etugrul Bey

    Mwanaume mwenye hekima hamwambii Mwanamke wake haya mambo mawili

    Maexpert wa kiume nawapa mchongo ambao wanaume wenye hekima tu ndio wanaielewa hii code Mosi, mwanamke wako hatakiwi kujua hisia zako za ukweli kabisa,yes you heard me! Fanya utakavyo fanya na ishi naye utakavyo ishi naye lakini mwanamke wako anatakiwa asikujue kabisa wewe ni mtu wa namna...
Back
Top Bottom