mzee

An honorific is a title that conveys esteem, courtesy, or respect for position or rank when used in addressing or referring to a person. Sometimes, the term "honorific" is used in a more specific sense to refer to an honorary academic title. It is also often conflated with systems of honorific speech in linguistics, which are grammatical or morphological ways of encoding the relative social status of speakers. Honorifics can be used as prefixes or suffixes depending on the appropriate occasion and presentation in accordance with style and customs.
Typically, honorifics are used as a style in the grammatical third person, and as a form of address in the second person. Use in the first person, by the honored dignitary, is uncommon or considered very rude and egotistical. Some languages have anti-honorific (despective or humilific) first person forms (expressions such as "your most humble servant" or "this unworthy person") whose effect is to enhance the relative honor accorded to the person addressed.

View More On Wikipedia.org
  1. Suala la mzee Mwinyi kuzikiwa Zanzibar wala lisifanywe la kisiasa, pitieni hapa msome muelewe sababu

    Watanzania tupeane pole kwa msiba huu mzito katika taifa letu. Kuna watu wanashangazwa na hili swala la kuamua kuhamisishia msiba wa mzee Mwinyi Zanzibar, wakidai kuwa mzee huyo alikuwa asha usia kuwa akifariki akazikiwe kwao Mkuranga walipozikiwa na kulazwa wazazi wake na babu zake. Wengi...
  2. Humility imembeba mzee Mwinyi, alisema yeye ni kichuguu!!

    Kati ya tabia ambazo nitamkumbuka sana mzee Ally Hassan Mwinyi, ni humility, yaani uvumilivu. Moyo wa uvumilivu umembeba sana na kumvusha katika mazingira ya utatanishi. -humility ilimfanya ajiuuzuly uwazi wa mambo ya ndani kulipotokea mtafaruku wa watendaji kuua watu waliotuhumiwa ushirikina...
  3. P

    Kuagwa kwa Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi, Machi 1, 2024

    Fuatilia utoaji wa heshima za mwisho kwa Rais Mstaafu Mwinyi, ambapo ratiba ya maziko yake inaanza leo, nyumbani kwake, ambapo baada ya sala ya sala ya Ijumaa na taratibu kidini kukamilika mwili utapelekwa uwanjwa wa Uhuru kwa Watanzania kuaga na kisha kupelekwa Zanzibar...
  4. Je, wajua hili kuhusu kumbukumbu ya kifo cha Rais Mwinyi?

    JE WAJUA? Rais mwinyi amefariki 29/02. Hii tarehe mpaka kuja kuipata tena ni hadi miaka minne ijao yaani mwaka 2028, 2032, 2036, 2040, nakuendelea... Kwa maana hiyo kumbukumbu ya kifo chake itakuwa ikiadhimishwa kila baada ya miaka minne. 🙌🙌 R.IP Rais Mwinyi
  5. CHADEMA yaomboleza Msiba wa Mzee Mwinyi

    Taarifa yao hii hapa
  6. Je, utamkumbuka Hayati Ali Hassan Mwinyi kwa mambo gani?

    Salaam, Leo Februari 29, 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya pili wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi. Soma: Rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia Kunako Utawala wake Hayati Mwinyi alifanya mambo mengi...
  7. TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelitangazia taifa msiba wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Mhe. Ali Hassan Mwinyi leo Februari 29, 2024. Rais amesema "Ndugu wananchi, kwa majonzi makubwa nasikitika kutangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa...
  8. Freeman Mbowe acha kumsakama Mzee Kikwete, mwache apumzike

    Umekosa hoja ! Umekosa mvuto, Hauna dira yoyote ! Kama Kikwete kusafiri na Samia wewe unaumia, kasafiri nae wewe!? Kikwete hapangiwi na wewe mahali kwa kwenda wala Samia hapangiwi na wewe anatakiwa kusafiri nanani! Stress za maandamano kukosa mvuto na wafuasi usiziamishie kwa JK wetu ! Hapo...
  9. S

    Mtu anayeweza kutoa ushauri mzuri kwa Watanzania kuhusu mtindo wa maisha (lifestlye) ni Rais Mstaafu Mzee Ali Mwinyi

    Mungu amemjalia maisha marefu mzee wetu huyu, mpaka sasa anaikaribia miaka 100. Pamoja na kuwa tunasema ni kwa neema na kudra za mwenyezi Mungu lakini nina uhakika kuna mambo huwa anaepuka kuyafanya ama huyafanya kwa kiasi mpaka kuufikia umri huu. Basi ni muda umefika mzee wetu aulizwe ili...
  10. B

    Rais Mwinyi atuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mzee Masauni Yusuf Masauni

    23 February 2024 SALAMU ZA RAMBIRAMBI Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Hussein Ali Mwinyi amepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha baba mzazi wa waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, mbunge wz jimbo la Kikwajuni Mh. Hamad Yusuf Masauni kilichotokea leo katika...
  11. Penzi la Mzee Ngowi na mkewe ni funzo kubwa kwetu

    Mzee Ngowi na Bi Sikitu ni wapenzi walio pendana toka shuleni wakiwa watoto, mpaka wakaoana. Baada ya kustaafu waliamua kurudi kuishi eneo waliloushi zamani walipokuwa wadogo, na kusoma. Siku moja walikuwa wanasherehekea miaka 40 ya ndoa yao. Hivyo waliamua kutembelea shule yao waliposomea...
  12. Mzee wetu Rais wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi anaendeleaje? Watanzania tunamuombea

    Mzee wetu na Baba/ Babu wa Watanzania wengi Dr. Ali Hassan Mwinyi tulitangaziwa ya kwamba yu mgonjwa, na akakimbizwa hospitali kwa matibabu ya kifua. Tangu tumetangaziwa hivyo hatujapata mrejesho wa afya ya Mzee wetu. Woto wangu kwenu ndugu zanguni Watanzania wenzangu, tuendelee kusugua goti...
  13. Msibani imesemwa Hayati Lowassa alikuwemo JWTZ hadi Ukapteni na akashiriki vita vya Uganda. 2015 mzee Makamba alisema Lowassa hakwenda jeshini

    https://www.youtube.com/watch?v=SH9ks-0_wQ8 Mimi ni mmoja wa watu tulobahatika kuhudhuria msiba wa marehemu Edward Ngoyai Lowassa na nikawa na shauku kubwa ya kusikia historia ya mwanasiasa huyu. Bila shaka protokali ya msiba haikukosa kuwa na kasehemu ka kueleza wasifu wa mzee huyu ili...
  14. Picha: Sanamu ya Nyerere Makao Makuu Umoja wa Afrika, ni yeye au lah?

    Taswira ya Sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyowekwa kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa kwa ajili ya kutambua mchango wake katika masuala ya ukombozi Barani Afrika tarehe 18 Februari, 2024. Ikumbukwe kuwa katika uzinduzi wa hifadhi ya Burigi...
  15. Kwanini Africa ukifikisha 35, 45, 55, tunasema ni mzee?

    Obama alianza uraisi akiwa 48 yrs na tulimuuita kijana. Elon Musk ana 53, tajiri mkubwa namba moja duniani, tunamuuita kijana Mark Zuckerberg ana 39, tajiri mkubwa tunamuita kijana Kwanini Africa ukifikisha 35, 45, 55, tunasema ni mzee? Nataka, kutoa somo moja Leo. Chanzo kingine cha Africa...
  16. T

    Yuko wapi Andrew Chenge Mzee wa Vijisenti?

    Wanajamvi ni swali tu sijamuona muda mrefu mwanasheria nguli huyu si sehemu za furaha au misiba haonekani Anajua alipo atujuze.
  17. Kuna kila ishara kwamba wazee ndani ya CCM hawaheshimiki na wala hawahitajiki

    Habarini, Kuna namna CCM haina mfumo wa kuwatumia malegend wake katika forums/majukwaa na haina forums za kuwatumia Wastaafu wake kiushauri. Katokana na hali inayojirudia kwa Mzee Paul Kimiti amekuwa mwenye kutoa mawazo yake kila akipata fursa ya kutoa neno. Kwa namna ya utoaji maoni wake...
  18. Mzee Butiku umekumbwa na nini hadi leo hii umsifie hivi marehemu Lowassa ambaye ulitokea kumchukia sana mwaka 2015?

    "Lowassa alikuwa ni Kiongozi makini,, hakuwa na Maadui na alipendwa na Watu wengi japo Kibinadamu kuchukiwa au kutokubalika na Wengi ni jambo la kawaida" Mzee Joseph Butiku Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Kada Tukuka wa CCM na Mmoja wa Think Tanks wa Baba wa Taifa Mwalimu...
  19. J

    CHADEMA hamjamtendea haki Mzee Lowassa

    CHADEMA wamepata Ruzuku ya Zaidi ya 2.7 sababu kubwa ni Kura za Mzee Lowassa lakini cha ajabu fedha hizo zimeishia kuhudumia wanafamilia na si ujenzi wa uimara wa chama badalayake viongozi kujenga mahekaru Yao na kuishi kifalme huku Chama kikibaki mifupa Mitupu. Sikutegemea hata kidogo Kuona...
  20. B

    Mzee Kinana mbona hujatuambia CCM inapata ruzuku kiasi gani?

    Nimemsikiliza Mzee wangu Komredi Kinana eti akisema wamewapa ruzuku CHADEMA na kuwapakazia akataja na kiasi. MIMI nimuulize mzee wetu, je, CCM inapata ruzuku kiasi gani? Akisema au akitaja basi nawaambia wananchi watazirai siku hiyo! Maana ni pesa nyingi sana lakini hata haieleweki zinakwenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…