Binafsi, napenda sana muziki - kusikiliza, kuimba nk.
Tuzungumzie mziki wa Rwanda leo. Rwanda ni nchi ndogo sana lakini imejaliwa wasanii wazuri sana, wenye sauti (Meddy,Okkama, Marina, Afrique, The Ben, Nillan, Chris Eazy, Bruce Melody nk.) Wote hao wana mziki mzuri sana bila kusahau vocal...