nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maamuzi ya kiume na nafasi ya mwanaume kwa sasa ndani ya familia zetu

    Hello jamiiforum Ni jumapili ya mwisho wa mwezi wa Kwanza mwaka 2025. Kumekucha kupambana,siyo mapambano ya kazi za kimwili,pengine ni mapambano ya kuridhisha nafsi na roho zetu. Huko makanisani kumejaa leo,wapo wanaotafuta wenza,wapo wanaotaka kuonana na mchungaji ili kunusuru ndoa zao,wapo...
  2. Kinana mwenye miaka 76 kastaafu na Wassira mwenye miaka 80 kachukua nafasi

    Ukistaajabu ya Musa hakika utayaona ya Filauni! Kinana (76Yrs) kampisha Mzee Wassira (80Yrs) kwenye nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM.
  3. John heche anatosha kuwa raisi lissu mpe nafasi huyu mtu

    Huyu ni makamu wako mpe nafasi awe mgombea wako wa uraisi halafu wewe tulia kunywa juice ya embe naamini ccm inaenda kuanguka kupitia huyu mwamba sijaona Cha kuizuia chadema kama wakimsimamisha John heche
  4. Kumsimamisha Mh. Samia kugombea nafasi ya urais kutapelekea CCM kushindwa uchaguzi

    CCM wakimsimamisha mh Samia apeperushe bendera ya CCM kwa nafasi ya urais kutapelekea CCM kushindwa katika uchaguzi huo na wapinzani watachukua nchi kirahisi maana mh watanzania bara wengi hatumuelewi na mbaya zaidi hata wana CCM wenzake hawamuelewi ndio maana wengi wameshaanza kumkataa mapema...
  5. Samia Suluhu anamwogopa nani kugombea nafasi ya Urais kupitia chama?

    Kitendo cha kujipendekezea jina lake lipite ni wazi samia kuna mtu au watu anawaogopa. Itakuwa makamba? Au akina nani wengine? Luhaga Mpina hapana huyu hakuwa na issues kwenye UraHis. Watu wanajiuliza woga wake umetokana na nini? Na wanaenda mbali zaidi kuona kuwa inaonekana hajiamini na kuna...
  6. Watumishi mnanaotaka kugombea nafasi za kisiasa zingatieni taratibu za kiutumishi”

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka watumishi wa umma wanaohudumu chini ya ofisi yake kutojiusisha na shughuli za siasa kama ambavyo Sheria, Kanuni na Taratibu za utumishi wa umma zinavyoelekeza. Waziri Mchengerwa ametoa...
  7. Pre GE2025 Watumishi mnanaotaka kugombea nafasi za kisiasa zingatieni taratibu za kiutumishi - Mhe. Mchengerwa

    WAZIRI MCHENGERWA: Watumishi mnanaotaka kugombea nafasi za kisiasa zingatieni taratibu za kiutumishi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka watumishi wa umma wanaohudumu chini ya ofisi yake kutojiusisha na shughuli za siasa kama...
  8. Pre GE2025 Kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, Tundu Lissu atashinda kwa 95%, Samia atakuwa nafasi ya nne.

    Kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, na Tundu lissu akawa mgombea urais, Lissu atashinda kwa 95%. Bitozo atashika nafasi ya nne. Ushindi wa Urais wa Tundu Lissu ni UHAKIKA kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, Tundu Lissu atachukua nafasi ya kwanza kwa 95%. Bitozo ataambulia 1%. Watu wengi mno...
  9. Washabiki wa Man Utd, ipi inafaa zaidi Kwa nafasi ya LWB?, Kumrudisha Alvaro kutoka Benfica (18mln) au anunulie tu Dorgu (40mln)?

    https://youtu.be/23QtRyNYoyY?si=NeqYAKxzKpR9T93K https://youtu.be/jG1nesE5JKM?si=h_STHh1C1f7sIBiM
  10. NAFASI YA KAZI UALIMU.

    Wanahitajika walimu wa masomo yafuatayo; 1. BOOK-KEEPING/ ACCOUNTANCY na COMMERCE - ngazi ya shahada ( Awe amesoma ualimu au Course za uchumi na Account Lakini mahiri wa kufundisha 2. PHYSICS-MATHEMATICS awe amesomea ualimu au shahada ya Engineering na mwenye uwezo wa kufundisha masomo hayo...
  11. Wana CCM wapewe nafasi ya kuwania kiti cha Urais kisha Kura zipigwe. Kile kilichofanyika ni dhulma

    Mpo Salama! Wapo watu walitaka na wanatamani kuwa sehemu ya watakaotumia Haki Yao ya kikatiba kuwania Tiketi ya Urais kwa Njia ya CCM. Hata kama Wana CCM hao ni wawili au Mmoja. Wanahaki ya kufanya hivyo. Watu wote waungwana, watu wote wenye AKILI, watu wote wenye kupenda haki, watu wote wenye...
  12. Nafasi ya kazi ya usafi wa mazingira

    Kazi ya kusafisha mazingira Huu ni Mradi maalum kwa ajili ya kampeni ya USAFI WA MAZINGIRA & AFYA YA JAMII Mshahara ni lak 3 kwa mwezi ukifikia lengo la kampuni Kazi inahitaji mtu mwenye bidii na kujituma 0718408733 hii namba ni Whatsapp tu usipige Nafasi hizi ni bure kabisa usikae nyumbani...
  13. Timu iliyoshika nafasi ya tatu Ligi Kuu msimu uliopita ndiyo imebaki kimataifa

    Simba ndiyo timu pekee ya Tanzania iliyobaki kwenye mashindano ya CAF. Msimu uliopita Simba ilishika nafasi ya tatu kwenye Ligi Kuu ya Tanzania nyuma ya Yanga na Azam. Jee Simba inahujumiwa kwenye Ligi au kimataifa huwa inabahatisha tu?
  14. W

    Wakati kocha wa Yanga anasingizia ligi ya Tanzania haina ushindani baada ya kutolewa makundi, Simba yupo Nafasi ya sita CAF Ranking,

    Orodha ya vilabu bora africa baada ya hatua ya makundi
  15. Gabriel Geay achukua nafasi ya tatu Marekani leo

    Mwanariadha Gabriel Gerald Geay amefanikiwa kushika nafasi ya tatu katika mashindano ya Houston Half Marathon kwa kilomita 21 (21K) huko Texas, Marekani kwa muda wa dakika 59:18 muda wake bora na kwa taifa pia
  16. L

    Yaliyofanyika leo si ruksa kufanyika kwa nafasi za Wabunge na Madiwani?

    Nadhani inaweza kuangaliwa kama kuna majimbo yanastahili kupitishiwa wabunge wao mapema hii ii yabakie majimbo machache.Maana nilikuwa sijui kama mkutano mkuu wawez kuwa na mamlaka hiv
  17. Nafasi ya ualimu

    Anaye hitaji ajira ya kufundisha English medium school akuje inbox
  18. R

    Nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM ingekuwa inagombewa Wasira angepata kura au kuthubutu kugombea?

    Mitandaoni watu wote wanaonekana kutokukubaliana na Mzee Wasira 80yrs kuendelea kuwepo kwenye nafasi za juu za uongozi wa chama. Its like siyo maono ya wana CCM kuwa na viongozi hawa tena kwenye ngazi muhimu kama hizi kwani wanaleta mkwamo wa fikra kwa Gen Z ndani ya chama. Ushukuriwe utaratibu...
  19. R

    Kwanini watia nia nafasi ya Urais wanaruhusiwa kuonyesha nia zao mapema lakini wagombea ubunge na udiwani wanaonekana kama wanatenda jinai ?

    Kwanini wagombea urais wanapenda sana wafahamike kwa wananchi mapema zaidi hata mwaka kabla ya uchaguzi lakini ni marufuku kwa watia nia ubunge na udiwani kuonyesha nia zao? Hali hii ipo kwenye vyama vyote vya siasa nchini na ukanda wa Afrika. Mfano kwa sasa mgombea Urais au mtia nia ACT...
  20. M

    Ikiwa nafasi ya uenyekiti tu wa chama mnabagazana namna hii ingekuwaje kama mngeshika dola kuhusu nafasi ya Waziri Mkuu, Spika, Jaji Mkuu na Mawaziri

    Nimekuwa najiuliza sana kama nafasi ya uenyekiti wa chadema tu mnaongea hadi mnapitiliza, mnatukanana hadi wazazi wenu, mmefikia hatua ya kuua udugu wenu, zogo kila kila siku, kila mwanachama anaita vyombo vya habari anafyatuka tu, Mbowe anaongea kule, Lissu anaongea pale, Lema yuko kule, Heche...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…