Habari wakuu, inahitajika gari aina ya Toyota IST iliyo katika hali nzuri na tayari kwa kazi.
πIwe Dar au jirani na Dar
πIsiwe imerudiwa rangi au kufunguliwa engine
πBEI ISIZIDI 7M
πNitapenda niuziwe na mwenye gari, iwapo utakua ni dalali basi hakikisha umemalizana na boss wako na uwe unaijua...