Vyama vya Siasa ndiyo wawakilishi wa wananchi, ndiyo sauti ya wengi. Katika sera zenu wengi wameongelea Afya ya Jamii, maji, umeme, elimu, kilimo, biashara, nk.
Wananchi ambao ni wapiga kura wenu, hasa wanaokaa mijini wengi ni wenye kipato chini ya Tsh 500,000 kwa mwezi. Wengi wako kwenye...