nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwa wingi wa mihogo inayoingia mjini wakina nani wanafanya tathmini ya kujua ipi inafaa kwa matumizi ya chakula?

    Sio Kila mhogo unafaa kwa matumizi ya chakula sababu Kuna aina ya mihogo ni sumu Sasa kama mnavyojua biashara ya mihogo ilivyoshamiri mjini wengi tunatumia kama vitafunwa assurance ya kitu kinacholiwa na binadamu ni jambo la msingi sana sababu hakuna mbadala wa uhai. Kuna mihogo ukila baada ya...
  2. Abduli ni nani ndani ya serikali ya mama yake.

    Kuna mambo naona hata wenye mama tunaona kama ukiwa mtoto wa kiume basi mama hukupa majukumu akifikiri unamuongoza. Tumeona Bangladesh huko waziri wa huko kumbe ni mambo ya mtoto wake mpaka kupinduliwa. Sasa hapa unawezaje kumwambie afande awadhi wewe utakuwa IGP kisa mama yako ni raisi...
  3. UTABIRI MSIMU 2024/2025: Nani atakuwa kocha wa kwanza kufukuzwa?

    Kutoka ligi yoyote duniani. Mi nadhani Hawa hapa hawatomaliza msimu na pengine hawatafika hata Christmas. i)Eric Ten Haag ii)Fadlu Davies iii)Mourinho iv)Vincent Kompany Wewe mwanamichezo unahisi kocha gani atafukuzwa mapema?
  4. Nani anayelipia usambazaji wa habari hii kuhusu kukamatwa wanachadema?

    Viashiria vinaonesha yupo mtu au kundi la watu wanaolipia hii habari ili iwe viral.
  5. Fikra inayodai Mwanaume hapaswi kuchelewa kupata mtoto tumeipata wapi?

    Kwamba Mwanaume hupaswi Kuchelewa kuwa na Mtoto na kwamba unatakiwa kuwa na Mtoto kuanzia Umri wa Ujana na kwamba ukiwa na Miaka kuanzia 45 kwenda mbele hadi 50 au 55 hapo ukipata Mtoto wako wa Kwanza utaitwa Mchelewaji wa kuwa na Mtoto na kwamba hutoweza Kumlea vizuri na sijui atakuwa anakuita...
  6. Watu wa Dar Hivi Ex Ni nani?

    Watu dar naomba kuwauliza ivi ex ni nani..?Ni mwanaume/Mwanamke ulielala nae au uliempenda au kuishi nae Kisha mkaachana ndio mnamuita ex..? Ex wangu fulani Kwa kigezo kipi mpaka awe EX..?? Mtusaidie watu wa mikoani mana wengi hatuelewi 🙏 Hatuna cha kuwalipa ila mkija mkoani kwenye misiba...
  7. Swali: Mwali ni nani?! Je kuna mwali wa kiume na kike?

    Mwali ni msichana ambae hajaguswa Ukimpiga ziwa lake ni gumu kama skonsi Huyo ndio mwali wa kike Mwali wa kiume ni nani? Mwali wa kiume ni mwanaume ambae bado hajaguswa Hata ukimwuliza gololi zako zinaoshwa na mchanga, maji, maziwa au maji ya ndimu, atakujibu ndio nini! Kwako wewe tujuze...
  8. Ni wakina nani hawa na wanamadhumuni gani au ni mwanzo mpya wa maarifa umetufikia?

    Ukiwasikiliza kwa sikio la kusia wana hoja, japo wapo kinyume na imani zetu, wapo kinyume na uungu na dini na vyote vyenye mwelekeo huo. Nina nani haswa hawa , wamepata wapi elimu hio wanayo iwasilisha kwetu, madhumuni yao ninini na wametumwa na nani haswa?
  9. M

    Nani analifahamu kanisa la Shincheonji Tanzania?

    Habari! Kanisa hili ni jipya, lilifunguliwa Tanzania mnamo mwaka 2015. Kanisa hili lina makao yake makuu nchini Korea Kusini. Kuna mengi nahitaji kuyafahamu kutoka kwa watu ambao wanafahamu abc's za kanisa hili. Wewe unalifahamu vipi kanisa la SCJ Tanzania? Karibuni tufahamishane!
  10. Kati ya Yanga na Simba nani anapigika leo kwenye Kariakoo Derby?

    Haya Wababe wa Jangwani na Msimbazi Kariakoo leo wanazichapa nyasi za kwa Mkapa. Kila timu ina wachezaji matata, usajili mpya, jezi mpya na kila kitu ila matokeo yataamua nani anaondoka na shangwe! Kwa unavyoona maandalizi nani anamchapa mwenzake leo?
  11. Huyu mwanaume anaesifia kula chips twitter (x) ni nani Tanzania?

    Kuna mtu kila nikiingia x namkuta anapost kusifia chips. Na hii ni baada ya wadau kumponda nadhan anatumia muda wake wote maishani kujaribu kuonesha yuko sahihi. Wanaume/Mwanaume usile chips we mwanaume ujue. Isipokua kwa wale second class men
  12. Pre GE2025 Nani apeperushe bendera ya CHADEMA kwa nafasi ya Urais 2025?

    Nani apeperushe bendera ya Chadema Kwa nafasi ya Urais mwakani 2025
  13. S

    Nani yuko nyuma ya kashfa ya Sukari?

    KASHFA ya Sukari iliyoibuliwa na Mbunge Mpina hivi karibuni bungeni imemgharimu hadi kufukuzwa bungeni vikao 15 huku Bunge la Mwezi Agosti ambalo Mpina hatashiriki litafanya kazi ya kubadilisha na kutunga sheria mbalimbali... Swali Je hizo sheria zinazokwenda kutungwa huku Mpina akiwa amefukuzwa...
  14. Wakuu ni nani amewahi kukopa benki ya NBC?

    Mada hapo juu wakuu. Je yupo aliyewahi kikopq benki ya NBC anipe experience. Msaada https://www.jamiiforums.com/threads/benki-ya-nbc-wajirekebishe-watakuja-kuua-watu-kwa-presha.2213335/
  15. Ally Kamwe na Manara nani atatangaza kikosi cha Yanga tar 4?

    Kuna mchuano mkali hapa, atakayetangaza nadhani ndo picha halisi kwamba ana nguvu kuliko mwenzake ndani ya Yanga. Hapo lazima kutakuwa na anguko la mmoja kati ya hao hapo Labda kuondoa sintofahamu atangaze Maulid Kitenge. Je, kwa mawazo yako nani atapewa kipaza sauti siku hiyo?
  16. Nani Bingwa wako wa Kushoot katika Olimpiki

    Kati ya Mastaa wa Olimpiki waliotikisa Vichwa vya Habari ni Mturuki Yusuf Dikec na Mkorea Kim Ye-ji katika Mashindano ya Kulenga Bunduki ambao wote walishinda Medali za Fedha Kim Ye-ji, amekuwa miongoni mwa Wanawake waliovutia Mashabiki wengi, amesifiwa si tu kwa ujuzi wake, bali pia mtindo...
  17. Wanawake 3 hatari zaidi , mke wa mtu, mwanafunzi na watatu malizia ni nani?

    Wanawake 3 hatari zaidi , mke wa mtu, mwanafunzi watatu malizia ni nani?
  18. Sadaka ya wazazi nani kama mama

    Wakati Jude Bellingham aliposaini Borussia Dortmund, wazazi wake waliamua "kugawanyika" kusaidia wana wao wawili. Mark baba alibaki na Jobe mchezaji wa sasa wa Sunderland na Denisse mama aliondoka na Jude. denisse sio tu anashughulikia sura ya Jude, lakini anaishi naye, anaendelea kutazama...
  19. Wewe kutokuwa tajiri unamlaumu nani?

    Humiliki kiwanda chochote, hakuna bidhaa unayozalisha na kuipelekea nje; wewe kila siku ni kulia lia tu. Mshahara ukichelewa tu kidogo, unakimbilia kwenye ule uzi pendwa. Kwa upande wangu, mi nawalaumu wazee wangu walionipa elimu iliyofuta mawazo yangu niliyozaliwa nayo (kipaji), na kubeba...
  20. Lissu anajitangaza kugombea uraisi kupitia Chadema kama nani , taratibu zikoje?

    Tundu Lisu amejitangazia kama ndio mgombea wa chadema katika uchaguzi mkuu ujao wakati bado hajakubaliwa na wenzake chamani. Huko Chadem hakuna mtu aliwahi kugombea kwa vipindi viwili mfululizo,yeye amejitangaza kama nani ? Je yupo juu ya chama ,juu ya wote ,yeye amekikamata chama Vipi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…