naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Napenda pikipiki TVS lakini eneo nililopo wateja wanapenda BOXER. Naomba ushauri.

    Nimepita vijiwe kadhaa hapa nimechunguza kisha nikaona pikipiki nyingi ni boxer ikabidi niulize wadau hapa majibu yao ni kua TVS humpakii mtu haya maeneo TVS nenda mbeya au dsm. Lakini hakunitajia sababu kwa nini wateja wanapenda BOXER.
  2. J

    Ndugu naomba ushauri akili imestack

    Mimi Nina umri Miaka 38 sasa Nina mahusiano na mwanamke tangu mwaka 2014 na tumezaa watoto 4 kati ya hao 1 Mungu amemchukua na sasa Hivi tuna ambaye mwezi wa 10 atatimiza mwaka na wawili wapo shule darasa la 3 na 2. Sijawahi kufika kwao tangu 2014 mpaka mwaka 2022 pale aliponiibia vitu vya...
  3. Naomba kuuliza wakuu.....!!!!

    Samahani wakuu, Kwa wataalam wa mambo ya ujenzi naomba kuuliza swali. Hivi, kama umechimba shimo kubwa la maji taka (septic), kuna ulazima wa kuchimba shimo jingine kwaajili ya kudirect maji yanayotoka jikoni au unaweza tu yote ukayapeleka kwenye shimo kuu la maji taka? Asante Nawasilisha
  4. L

    Naomba kuuliza

    Et ni apps zipi unaweza kuwaita wadangaji online kama unavyoagiza Uber? Nimesikia mtu akinisimulia hii imenishangaza sana jamani
  5. Morogoro is my Third Home hivyo naomba kujua kuna nini Kinaendelea huko hadi hii hali imetokea?

    MOROGORO - Moto mkubwa unavyoteketeza safu ya milima ya Uluguru kwa zaidi ya wiki moja sasa , milima hiyo ina umuhimu wa kipekee kwa kuwa ni vyanzo upatikanaji wa maji yanayotegemewa na wananchi wa Manispaa ya Morogoro na mikoa jirani. Chanzo: habarileo_tz Mdogo wangu wa damu kabisa steveachi...
  6. TANESCO naomba mje mnipe mita yangu huyu dogo hapa simwelewi

    Hahaa nimejitutumua utazan bei najua ya kufungiwa mita private hapa ofisin. Wakuu nipeni Raman hapa salon hichi kifaa mita kufungiwa hapa ofisi bei gani? Pesa hazinifikii kwa wakati huku dogo akivimba tu mashavu. Dah.
  7. Naomba “Recipe” Nzuri na Rahisi ya kutengeneza “Icecream” za nyumbani.

    Napenda sana kujifunza Mapishi mbalimbali na kutengeneza nyumbani. Lakini linapokuja Suala la “Icecream” za Maziwa kuna kitu Bado sijaelewa vizuri. Wajuzi wa kutengeneza naomba msaada.
  8. Msaada: Naomba kujua bei ya tiles za jumla au connection ya kiwandani

    Habari ya muda huu wadau. Nipo stage ya kuweka tiles, sasa hizi hesabu zinanipa headache. 40×40 - box 65 25×40- box 45 Skirting - box 7 Tiles za tangastone- box 18 Naomba msaada wa kupata namba/connection ya kiwanda cha tile twyford pale chalinze. Au, Kujua wholesale price ya tiles za...
  9. D

    Naomba kuuliza hivi Azam kuna mgomo?

    Azam kuna mgomo baridi wa wachezaji, mbona magoli hawafungi? Wamebakia kuchana mikeka ya watu tu. Mtujuze kama wana mgomo tuachane nao. Na huyo wa kula wali na sukari ndo kwanza tu anazurula uanjani.
  10. S

    Msaada: Nawezaje kuhamisha selection yangu kutoka DUCE kwenda UDSM Mlimani kusoma course nyingine tofauti na education

    Jamani nimekua selected course ya bachelor of arts with education Duce lakini ninahitaji kwenda udsm mlimani kusoma course nyingine nifanyaje ili kubadili admission
  11. Msaada: naomba ushauri.

    Mjumbe wa mtaa kaniletea barua ya wito naitajika kwa afisa mtendaji. Barua imeandikwa naitajika kwa 7bu ya kutolipa ela ya takaa Nimeshindwa kujua kwanza mm ni mtumish wa serikalini pia nipo single naishi mwenyewe nipo busy hata muda wa kushinda nyumbn sina mwez au wiki sirudi nyumbn kutokan...
  12. Msaada: Naomba mwenye hii audio kamilifu anisaidie

    https://www.facebook.com/reel/1203968907588101
  13. Naomba kujuzwa gharama ya kujenga hii nyumba

    kujenga kama haka hadi finishing kanaweza kugharimu kiasi gani? kwa bajeti ya kawaida tu?
  14. M

    Naomba kuwakumbusha viongozi wa Dini.

    Jana nilitoa wito wa kuzitumia siku tatu za ibada za wiki(Ijumaa, Jumamosi na Jumapili) kwa ajili ya kukemea matendo maovu yanayofanywa Nchini na hasa mauaji ya watu. Kipindi kile cha mahubiri/hutba kitumike kufanya kazi hiyo. Kesho ni siku ya Ijumaa ambapo wenzetu waislamu ndo siku ya Ibada...
  15. C

    Naomba mwenye pastpaper ya advanced physics practical B ya 2020

    Wadau naomba kama mtu una past paper ya advanced physics practical B ya2020 unisaidie
  16. N

    Naomba mwenye uzoefu wa kuandika barua ya kupinga makadirio ya kodi TRA anisaidie mfano

    Naomba mwenye uzoefu wa kuandika barua ya kupinga makadirio ya kodi TRA anisaidie mfano.
  17. Msaada kwenye tuta: Naomba Kujua software inayotumika kuingiza maneno ( KUTAFSIRI) video iliyo kwenye lugha nyingine inaitwaje?!

    Kichwa Cha habari hapo wakuu kinajieleza nataka Kujua Hawa wakina Mpemba og, side kama side Huwa wanatumia software gani kuingiza maneno Yao ?!? Nawasilisha swali na kama hujui kama Mimi Kaa kimya .
  18. Msaada naomba makadirio ya malipo App yenye download 10k

    Habari zenu wakuu, Nimekuja kwenu wadau naomba msaada wenu kwa wamiliki wa App huko play store nataka nijue App yenye download watu 10k na watumiaji active 10% malipo yake huwa kiasi gani kwa makadirio kwa mwezi. Nimesikia Admob wanalipa sana na ndio mana nimekuja hapa ili nipate taarifa kwa...
  19. M

    Naomba ushauri kati ya kozi hizo

    Habari wakuu, kwa heshma kubwa naomba, nahitaji muongozo wenu. Nimepata 1: Bachelor of Arts in Economics -Ardhi university 2: Bachelor of Economics and finance -IFM Nilisoma HGE ufaulu wangu ni 1.8 (History B, Geography C, Economics C,Bam D) Naomba ushauri wenu wakubwa zangu nichukue ipi...
  20. Waliomteka na kumuua Mzee Ali Mohamedi waajua kama watu wa Tanga wana nongwa?

    Moderator naomba uzi wangu usiunganishwe na uzi mwingine sehemu yeyote. Tafadhali. Niende kwenye mada hapo juu. Katika hii mission ya kumdhuru huyu mzee ambae hakuwa na impact yeyote kwenye nchi bali alikuwa na impact katika maisha yake na watu wake waliomzunguka . Nipende kusema kwamba hawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…