Habari zenu.
Aisee kuna mwanamke nimeingia naye kwenye mahusiano nina kama week sasa kasha nitoboa pesa kibao, yani sijui kaniona nina pesa sana, akikaa kidogo lazima aje ofisini anitoboe pesa, nishachoka sasa naombeni msaada nimkabili kwa dizaini gani, maana huku kuna wataalam wa mambo haya na...