Mwaka 2019 January nilimpangisha mtu kwenye nyumba yangu, akaniahidi kunilipa kodi baada ya wiki, nikamkubalia, lakini wiki ilipokwisha hakulipa akaomba alipe mwisho wa mwezi, nikasema sawa.
Kilichoniumiza, mwisho wa mwezi akaenda kwa wapangaji wenzake akawadanganya kuwa nimemtuma akusanye kodi...