Wadau wa JF,
Naomba kupitia thread, watu mtupe elimu na watu wajifunze namna ya kuweka order, kulipia, na kusafirisha (shipping) bidhaa kutoka kwa manufacturer kwenda Dar kwa usalama zaidi.
Tafadhali tuweke ma consideration kwa mtu anayechukua pisi zaidi ya 10 kwenda juu kupitia Alibaba...