natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Natafuta machimbo ya vizigo

    Amani na utulivu iwaangazie wana JF: Ndugu zangu katika Imani kwa heshima na tahadhima naomba mwenye kujua masoko ya jumla ya vichwa, shingo, firigisi na miguu ya kuku wa kizungu (VIZIGO), anielekeze nende nikasombe nataka kusafirisha mkoani kibiashara. Ahsanten.
  2. K

    Natafuta mtu mzoefu wa kazi la Laundry

    . Awe mkazi wa Mwanza . Uzoefu katika biashara ya laundry . Ofisi ipo Mkolani . Mshahara maelewano . Kuanza kazi 1.10.2024 . Njoo inbox pamoja na offer yako ya mshahara
  3. Natafuta mtu wa kupartner naye kwenye biashara ya milling machines.

    Hello esteemed partner. I believe hii thread itakupata ukiwa poa. Napatikana, Mbeya, and kama kichwa kilivyojieleza. Natafuta mwekezaji au mshiriki ambaye tutafanya pamoja biashara hii ya kuandaa na kuuza bidhaa za shamba baada ya kuzichakata. Kwa kuanzia. Tutaanza na unga wa sembe na Dona...
  4. N

    Natafuta dawa ya kuondoa michubuko sehemu za siri (haja kubwa)

    Natumain ni wazima wa afya kwa mtu yeyote anaweza nisaidia jina la dawa na sehemu ya kuipata kuondoa michubuko sehemu ya haja kubwa pembeni ule utandu utandu wote uondoke
  5. U

    Nataka kununua kadi (N- Card) naishi Tegeta , je naipata wapi?

    Ni muhimu sana Nataka kununua kadi yaani N- Card nipo Tegeta kimakazi Naomba kuelekezwa wapi naweza pata huduma hiyo? Nasisitiza nahitaji kununua tu hivyo mniambie wapi naipata Aksanteni
  6. D

    Natafuta tiles aina hii ya India

    Wakuu habari za muda huu? Naomba wauzaji wa tiles au yeyote mwenye kujua nani ambae ana hizi tiles za aina hii anijuze. Nimeshazitumia sehemu kubwa ila zimepelea kama box3 nimerudi kwa alieniuzia kamaliza. Mwenye nazo tafadhali sana naomba mawasiliano yako tufanye biashara. Model yake ni...
  7. Natafuta amplifier used nina 150,000

    Wakubwa nina 150,000 mwenyewe anayo AMPLIFIER used nataka kuitumia kwenye movies library office.
  8. Natafuta mawinga wanaouza simu (smartphones na simu vitochi originals)

    Habarini wana jamvi. Katika harakati za maisha nimeamua kufungua biashara (Chimbo) ya kuuza simu jumla na rejareja kutoka Dubai na China. Duka linapatikana mtaa za Aggrey na Masasi Kariakoo. Naomba kufanya kazi na mawinga waaminifu wao nitawauzia kwa bei nzuri tu na hata akimleta mteja kwa bei...
  9. Natafuta Data Collectors Wilaya ya Iramba Mkoa wa Singida

    Habari, Nina kazi ya kukusanya data kwa wakulima wa alizeti katika Wilaya ya Iramba Mkoa wa Singida. Natafuta jumla ya vijana sita waliomaliza degree lkn hawana ajira kwaajili ya kukusanya data katika maeneo mbalimbali ya Wilaya hiyo. NOTE: MUHUSIKA AWE ANAPATIKANA WILAYA YA IRAMBA Malipo...
  10. M

    Natafuta Laptop, bei isizidi 600,000

    Natafuta Laptop Bei isizidi 600,000 Iwe Toshiba, dell, hp au mackbook. Iwe na angalau sifa zifuatazo Ram 8GB STORAGE - SSD angalau 200 gb Generation 8+ Bluetooth, webcam, HDMI port LAZIMA Ukubwa wa Kioo uwe 20+ kubwa na kuendelea Chaji angalau masaa 3 ISIWE YA WIZI isiwe na kipengele...
  11. Natafuta Story book

    WADAU natumai wote hamjambo, shida yangu hapa mweye kuwa na pdf ya MWENE'S ROUGH DAY (story book) pls aiweke hapa
  12. Mimi ni mteknolojia wa maabara za hospitali, natafuta Kazi

    Ninatafuta kazi, Mimi ni mteknolojia wa maabara za hospitali niliyesajiliwa na baraza la HLPC nina leseni hai na nipo tayari kufanya kazi popote Tanzania. Natanguliza shukrani🙏
  13. Natafuta business partner (only serious person)

    Hello Wanajamvi…… Nimekuwa na jitihada za kufungua biashara ya bucha la kisasa la samaki ambalo ndani yake kutakuwa na duka dogo la Cash-point (mobile money & internet banking), nje mitungi ya gesi. Vitu vifuatavyo tayari ninavyo (angalia picha…) Frem ya kisasa Leseni ya biashara Mashine ya...
  14. M

    Natafuta kazi ya safety officer

    Habari wana jamii, Naomba kwa yeyeto mwenye connection ya kazi ya Health, Safety and Environment (HSE) popote aniunganishe. Nina Degree ya Environmental Planning and Management pia nina NOSHC I, OHS Risk Assessment zote kutoka OSHA pamoja na Computer Certificate. Kwa yeyeto anayeweza...
  15. Natafuta Mwanasaikolojia

    Habari WanaJF, Hatimaye nimepata ugonjwa wa kusahau vitu. Natafuta mwanasaikolojia anisaidie namna ya kuondokana na changamoto hii. Imefikia hatua nasahau vitu vya muhimu kama kula na kuoga. Natanguliza shukurani zangu za dhati. Jiwa Hassan
  16. P

    Natafuta mwenza

    Habari ya wakati huu. Nimeleta mrejesho kwa kipindi ambacho nimekuwa na uhitaji wa mwenza na nikaposti humu. Lakini waliokuja pm ni wababa waume za watu na wengine wanakuja for funny tu, wakihisi hii ni sehemu ya kula kucheza na kuondoka. Wakati Niko seriously katika Jambo hili na Nina uhitaji...
  17. J

    Natafuta POS za kununua za benki ya NMB na CRDB

    Naomba kujua kama kuna mtu anauza posi ya nmb na crdb anitafte nataka tufanye biashara maana nazihitaji kwa uharaka sana.
  18. Msaada: Natafuta chumba kimoja chakupanga kiwe self contained Arusha-Njiro

    Wakuu habari za majukumu ,natafuta chumba cha kupanga kiwe self contained, kiwe na jiko na pia mazingira yenye usalama kwa maeneo ya Arusha-Njiro road kikipatikana mpaka maeneo ya kontena itakua vyema zaidi kwa bajeti ya 80,000-100,000.
  19. N

    Natafuta kazi yoyote halali

    Wasifu wangu; JINSIA; Me UMRI; 24-26 ELIMU; Bachelor of business administration MAKAZI; Dar- kigamboni Naombeni mwenye mchongo wa kazi yoyote halali anisaidie nikakomboe cheti changu chuoni kuna kiasi flani cha ada nadaiwa.
  20. Natafuta Toyota Premio

    Wana JF Nahitaji Toyota Premio Model mpya Engine size CC 1450 Iwe ya Silver au nyeupe rangi nyingine pia sio mbaya Namba DZ au Namba E. Mwenye nayo aje tuzungumze kwenye comments./Inbox Pia mwenye Toyota Rush anicheck. Samahanini sana Madalali nawapenda sana wapiganaji wenzangu...sio mbaya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…