natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hodi tena wakazi wa Dar es Salaam natafuta mno kifaa hiki

    Wasalaam. Ni muda mrefu sasa sijafika hapo jijini na ata kwenye masoko makubwa kama kariakooo nimeishaanza kusahau mitaa. Ila tatizo langu ni dogo kama nitapata mwenye uelewa wa kifaa hiki kinaitwa Hub motor. Pia kama ikipatikana motor ya kawaida ambayo ni brushless dc motor itakuwa poa sana...
  2. Natafuta kazi yoyote nina bachelor of science in chemistry (Mkemia)

    Habarini wakuu mimi ni muhitimu wa Bachelor of Science in Chemistry (Mkemia) mwaka huu kutoka Mwenge catholic university. Natafuta kazi yoyote ata nje ya taaluma yangu kwa mwenye connection naomb msaada🙏. Update:
  3. Naombeni hekima zenu; Natafuta mtoto na mke wangu hajafanikiwa kubeba ujauzito

    Ndugu wana Jf natumaini mko salama ndugu zangu. Ndugu zangu katika vipindi vilivyopita ijulikane nilikua natafuta mke na Mwenyezi Mungu amenijalia nimepata mke na nimeoa. Ndugu zangu mimi na huyu mke wangu tulikua tunatafuta mtoto katika siku zake tulizo amini ni siku za hatari ila cha ajabu...
  4. Natafuta kibarua chochote Mwanza

    Nipo Mwanza kama kuna tu ana connection yoyote ya kazi aniunganishe mtaani kugumu sana. Nina elimu ya degree na pia leseni ya udereva umri wangu miaka 35. Nisaidie wakuu
  5. G

    Natafuta day work yeyote kwenda na kurudi napatikana ukonga (DSM)

    Habari zenu ndugu zangu wanajamii Forums Natafuta day work yeyote kwenda na kurudi napatikana ukonga (DSM) Accademic qualifications Diploma in accounting and finance Computer applications Basic Diving Simu :0764877912
  6. Natafuta router ya mtandao wa Halotel au Universal router

    Habari za leo waungwana. Natafuta router ndogo ya mtandao wa Halotel au Universal router. Ninapatikana Mwanza. Kwa maelezo zaidi na bei tuwasiliane 0623304519.
  7. Natafuta room single

    Kimara hadi mbezi 50,000 Mwenye anafahamu naomba uni pm
  8. Natafuta mtaalam wa mazingira

    Natafuta mtaalam wa masuala ya mazingira ambae anaweza kuandika vizuri miradi na kufanya EIA, EA AUDIT vizuri. Kama upo Vizuri kwenye Masuala hayo njoo tufanye kazi. Asante WhatsApp ‪+258 87 299 8313‬
  9. D

    Natafuta soko la ubuyu

    wakuu baada ya watu kuwa na maswali mengi juu ya bei,basi naomba tuwekane sana,ipo hivi debe moja ni 5000,na gunia ni 35,000,but ukizingatia sehem ninayoifata kdg kuna ka umbali so gunia lita cost 38,000,.ubuyu ni ule mweupe raw material kabsa,upo wa kutosha even kwa matumiz ya kiwandani,so kama...
  10. Nina uzoefu wa miaka minne as a Store keeper, stock controller, section controller. Natafuta kazi

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu. Nipo Dar es salaam ila nipo tayari kufanya kazi hata nje ya Dar es salaam. Umri = 31 Elimu = Form four Uraia = Mtanzania Uzoefu = Miaka minne Note: Nilijifunza hii taaluma Kwa vitendo kwenye kiwanda Cha kampuni fulani ya vinywaji. Bidii, kujituma...
  11. Naombeni mwenye connection na internship anisaidie

    Habari za wakati huu........ mimi ni kijana wa miaka 23 nimemaliz bsc chemistry hivyo naombeni mwenye connection na internship anisaidie au kazi yoyote . Asanten
  12. Natafuta banda la chuma la kununua mwanza au kukodi?? sharti bei iwe kitonga!

    Mwanza igoma Sharti bei iwe chini sana
  13. A

    Natafuta Mchumba (mke mtarajiwa): Makazi Mbeya mjini

    Kichwa cha habari cha husika hapo juu. 1. Mimi ni mwanaume ninayejielewa na nakusudia kufunga ndoa mwaka huu ikimpendeza Allah. 2. Miaka yangu 40, mwajiriwa serikalini na mjasiria mali pia. 3. Natafuta mwanamke kwa maana ya Mchumba ili ikimpendeza Allah basi tuweze kufunga ndoa mwaka huu tuishi...
  14. M

    Natafuta sports academy

    Kuna kijana wangu yuko kidato cha tatu. Anapenda sana kucheza mpira na anacheza vizuri. Kila nikikaa nae nikimuuliza anatamani kufanya nini katika maisha yake, anasema anataka kucheza soka. Sasa nimeona ni vizuri kumuunga mkono kuliko kumlazimisha abadili muelekeo. Kama Kuna mtu anazifahamu...
  15. M

    Natafuta mke wakuoa

    Habari. Umri wangu ni miaka37 natafuta mwanamke wakuoa. Kazi nimejiajiri. Mwanamke ni mtakaye. Awe na umri kuanzia 28 nakuendelea. Awe tayari kuishi popote,Asiwe mrefu Sana,,mwenye upendo wakweli,Dini yeyote. Karibu sana iwapo upo serious tu maana muda ukuta.
  16. Muhitimu wa shahada ya sheria natafuta kazi yoyote

    Habari wakubwa mbele yenu ni mdogo wenu fresh graduate wa degree ya sheria Niko mkoa wa Mwanza lakini niko tayari kwenda sehemu yoyote muhitimu wa shahada ya sheria Naomba ajira au nafasi ya internship sehemu yoyote Nina ujuzi wa na ninaweza yafuatayo i/ legal research and writing skills, ii/...
  17. Serious: Natafuta mke mmoja tu

    Habarini Mabinti na wale wenye dada zao. Nafasi ni moja tu, anatafutwa binti mzuri wa muonekano na tabia yaani Mtu mwenye Utu na Utulivu. Umri: 18-23 (Asiye mshangazi bila Kitambi) Elimu: Si muhimu. Dini: Si muhimu. Kabila: Si muhimu. Kazi: Si muhimu ila asiwe mvivu mvivu. Bikra: Si lazima ila...
  18. N

    Natafuta kazi za ndani

    Habari wanajamii, mimi ni kijana wa kike natafuta kaz za ndani mshahara angalau uwe laki, naweza kufanya kaz zote za ndani na kutunza watoto pia. Ni mchapakaz na mwaminifu napatikana dar es salaam...
  19. Q

    Natafuta kazi hali ni mbaya

    Natafuta kazi yeyote iliopo ndani ya jiji la Dar es salaam naombeni msaada wa kazi hali ni mbaya
  20. Q

    Natafuta mchumba

    Kama heading ilivo natufata mchumba umri wowote nahitaji mwanamke wa kwenda nae motoni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…