nataka

Nataka is a village in Mirzapur, Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. Msaada: Gharama za kuingia Ngorongoro National Park (kiingilio, malazi, Chakula)

    Habari wanaJF, mimi ni Mtanzania nataka kufahamu gharama za kutalii Ngorongoro national park (kiingilio, Malazi na Chakula) maana natamani kwenda ila nahofia nisije kuumbuka kwenye bajeti.
  2. Ushauri: Nataka kuacha kula wanga kwa mwaka mzima

    Habari wana jamvi. Kijana wenu nikiwa na umri wangu wa miaka 33 kamili, nimedhamiria kwa hiyari yangu mwenyewe, bila kushurutishwa wala kushawishiwa na mtu yeyote; kuacha kula kabisa vyakula vyenge wanga. Vyakula vyenye wanga kwa wingi ni kama mahindi, mpunga, mihogo, viazi, magimbi, ngano...
  3. Ushauri nataka kusoma certificate in business management au accounting

    Asalam Aleykum wanajukwaa! Mimi ni mhitimu wa shahada ya elimu katika masomo ya Sayansi (Bachelor of education in Science). Nimetafakari kuhusu kujiendeleza kielimu kwa ngazi ya masters degree nikaona hakuna ulazima wa kufanya hivyo kwa sasa. Nmeamua kujiendeleza katika maeneo tofauti ya...
  4. Nataka kuanzisha website au App ya Elimu, iguse wanafunzi shule ya msingi mpaka university

    Wakuu naangaika kupata idea ya kuanzisha digital platform ambayo itakuwa msaada kwa wanafunzi wa ngazi zote kuanzia primary mpaka university. Nataka iwe ya tofauti kidogo isifanane na shule direct, mtabe wala smartclass. Nilikuwa nawaza kuwa na app ya kuuza vitabu ila nikaona bado utamaduni...
  5. Msaada wazo la Biashara, mtaji Tsh 50,000/=

    Kama kichwa cha habari hapo juu naomba msaada. Nawazo la biashara nina mtaji wa 50,000.
  6. V

    Ushauri nataka kufungua Biashara ya kuniongezea kipato-Arusha

    Nishaurini ni biashara gani naweza kuifanya ili iweze kuniongezea kipato mtaji Millioni 10, usimamizi nitaajiri mtu wa kuisimamia, mimi niko na majukumu ya ajira, eneo la biashara Arusha mjini Mnakaribishwa kwa ushauri
  7. Nataka ninunue Grundig Fire Tv, je nitaipata wapi?

    Grundig Fire TV ndio TV 📺 ya kwanza kutengenezwa kwa mfumo wa OLED. Je kwa Dar es Salaam naweza kupata bidhaa hii ya Kijerumani au mpaka niagize nje?
  8. Nataka kwenda vitani kujitolea kuisadia Ukraine 🇺🇦, je nifuate utaratibu gani?

    Nikiwa kama mkazi wa sayari hii tuliyo rehemishwa na Mwenyezi Mungu tuikalie kwa haki, amani na usawa, nina laani uvamizi wa Russia 🇷🇺 nchini Ukraine 🇺🇦. Siishii tu kulaani na kukemea uvamizi huo, bali kwa hiari yangu na ridhaa ya familia yangu, tukiwa kama watetezi wa wanyonge, wanaoonewa...
  9. S

    Nataka kufanya biashara ya kuuza mbuzi viwandani. Ni viwanda gani wanalipa vizuri?

    Nataka nifanye biashara ya kuuza mbuzi Ila niuze viwandani na sio mnadani, ni viwanda gani wanalipa vizuri na hawasumbui ulipaji? Na utaratibu ikoje? Naomba muongozo
  10. Wakuu nimesota kweli, nataka nianze kuuza miwa ya kukata kwenye vifuko

    Tangu nimalize masomo ya elimu yangu mwaka juzi nimekuwa nyumbani tu bila shughuli yoyote. Kwenye tembea tembea nimefikiria nianze kuuza ile miwa ya kukata na kuweka kwenye vifuko. Kuna mtu amewahi kuifanya hapa anipe uzoefu kidogo?
  11. Aliesoma Short Course za VETA anaruhusiwa kuendelea vyuoni

    Wakubwa samahani sana ..kama title inavyojieleza hapo juu nilikuwa nataka kujua je kwa aliesoma short course veta mfano ya electronics anaruhusiwa kuendelea kusoma vyuoni kwa ngazi tofauti kama certificate na diploma? Naombeni majibu wakuu
  12. Nataka ninunue bidhaa online lakini sina kitambulisho chochote, inawezekana?

    Habari, Nataka kuagiza bidhaa online kwenye site kubwa kama amazon, ebay, aliexpress n.k lakini sina kitambulisho chochote kile, ila nina namba ya simu tu ambayo ni ya mtu. Sitaki yeyote aniagizie wala sitaki kutumia sanduku la posta la mtu mwingine. nachotaka nikiagiza bidhaa inifikie pasipo...
  13. U

    Nataka niwe na kampuni

    Kama thread inavojionesha ! Kama tunavojua ,sisi sote ni ndugu!! Basi naomba tusaidiane kwa hili!! Ndoto yangu ni kufanya kazi chini ya kampuni langu, ndiyo furaha nayoiwazia saana saana kwani naimani ya kua ,nikifanikisha kua na kampuni ,basi nitaweza KUJINYIMA USINGIZI kwa ajili ya kampuni...
  14. H

    Nataka kuhamia Bariadi Mjini kufanya biashara ya nafaka

    Kwema wadau mimi kijana mfanyabiashara mdogo wa vinywaji baridi kama soda, maji n k. Lengo kuu la kuandika uzi huu ni kuomba ushauri wa kibiashara na kimaisha. Nimepata wazo la kutaka kuhamia mjini Bariadi ili niendeleze maisha huko pamoja na biashara zangu Kwa ambaye anapafahamu vizuri...
  15. Nataka kujenga naomba kujuzwa gharama za mambo haya

    Naomba kujua ndugu zangu, idadi ya MATOFARI, MABATI, MBAO, NA CEMENT, Ambayo yataniwezesha kumaliza ujenzi wa vyumba viwili na sebule.
  16. Nataka kuanzisha biashara ya kuuza soda, naomba ushauri

    Wapendwa sana wanaJF, habari za asubuhi... Siku chache zijazo nimefikiria kuanzisha biashara ya kuuza soda za chupa na za kopo (take away) kwa bei ya jumla na rejareja. Mwenye uzoefu na biashara hii naomba anijuze kuhusu mtaji, faida na changamoto za biashara hii. Aidha kama kuna maujanja...
  17. Nataka kuagiza simu ali express

    Mambo vipi wakuu nataka kununua simu ya nokia 6.1 plus kutoka ali express ni refubrished kwa wale wataalamu hii kibongo inaweza piga kazi vizuri upande wa mtandao mawazo yenu tafadhali.
  18. S

    Nataka kumfungulia kesi Hayati Dkt. Magufuli kwa madhila aliyowafanyia Watanzania

    Magufuli amewatendea mabaya watanzania ktk mambo mengi Sana. Tumewasikia viongozi mbalimbali wakitoka hadharani na kulalamika. Mifano hii hapa:- 1. Zitto ...shamba lake la korosho lilitaka kuchomwa 2. Askofu Mwingira amenusurika mara 3 kuuawa 3. Padre Pascal Luhengo wa Mahenge Morogoro ambaye...
  19. Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

    Nimefungua biashara ya Mgahawa sehemu flani hapa jijini Dar es Salaam, nimeweka wafanya kazi 3; mmoja kwa ajili ya chips na wa2 kwa ajili ya chakula kwa sababu biashara yenyewe bado changa. Eneo ambalo nafanyia biashara lina population kubwa na halina competition kubwa sana. Mimi napitia mida ya...
  20. Hili bando nimenunua 35,000 gb 25 voda, nataka niirudishe hii hela online

    Leo nimetoa shilling 35,000 kununua bando la internet Vodacom nikapata gb 25, hii hela inabidi izalishee hela nyingine kwa kupitia mtandao, nitaletaa mrejesho hapa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…