Habari rafiki. Naitwa Eva Mrema. Ni muelimishaji, kungwi na muandishi. Nakuletea ofa kabambe.
Vitabu hivi viwili vya maarifa kwa mwanamke vinauzwa elfu 20 hardcopy. Lakini kutoka kwenye uzi huu utavipata kwa elfu 16 tu.
SOFTCOPY utapata kwa elfu 3 tu, badala ya elfu 5. Karibu sana...
Nauza laptop my kabisa
Laptop HP laptop 17
Processor: 11th gen, Intel tm 1.5
Hard drive: Ram 476 GB
Memory: 16 GB
Location: dar es salaam
Contact: 0756523615
Price: 450,000.
habari vijana.
nauza brand new machine ya kuprint tshirts fasta fasta.
bei ni laki nane tu ( 800,000/=) manufacture anaitwa ADKINS.
ukihitaji piga namba 0616 577 289 mashine ipo kimanga Dar es salaam, ni brand new haijawai tumika.
kwa kijana uliyopo mazingira ya chuo itakusaidia sana...
LAPTOP COMPUTER HP INAUZWA BEI SAWA NA BURE
Brand: HP
Model: Probook 450 G5
Ram: 16
Storage: 512 (SSD)
Proccesor: core i5
Bei: Tsh 680,000/-
Computer bado ipo Kwenye Hali nzuri kabisa
Location Mbezi Dsm
Phone No: 0714739838
Karibuni
Nauza Oxygen Concentrator Litre 10 kwa matumizi binafsi au ya hospitali. Bei 2 Mil, Maongezi yako. Nitafute kwa namba 0744117116, napatikana Dar mkoani natuma
Bei ya jumla ni PC 10 kwa 130k tu lakini piah ni 25,000/-
Kuna edition nne za Scientific calculator na bei zinatofautiana lakini Casio fx 991 Ms first edition ndo bei zake hizo nafuu
#usipigwe na kitu kizito
Whatsapp 0699358049
Karibu sana wewe mwanachuo,mwanafunzi,mwalimu, wafanyabiashara...
Viatu ni vizuri na imara sana.
Bei: 12,000 tu
Napatikana Dsm Segerea mwisho.
Ukihitaji huduma ya delivery utaletewa kwa gharama zako.
Mikoani pia utatumiwa kwa gharama zako.
FedhaBook: Mfumo wa kusimamia hesabu za biashara yako hata kama upo mbali na biashara yako
Okoa muda na kujichosha kupiga mahesabu kwa kichwa na kalamu na daftari na uutumie muda huo kufanya mambo mengine binafsi na ya kimaendelea au ya kifamilia
Ni mambo gani unaweza kuyafanya ukiwa na mfumo...
Wana jamii forum nasafisha Banda kuku broiler wa wiki nne na siku 2 - 85 wamebaki na kila mmoja nauza 5500 ..wanapatikana mbweni jkt. Kwa mawasiliano 0612630936
Ninauza pikipiki aina ya Honda Ace 125 Individual. Bei milioni mbili laki moja tu. Imekimbia kilometa 601,bado mpya, ni pikipiki nzuri kwa matumizi ya usafiri binafsi zaidi. Ipo Kigamboni na kadi yake ipo. Karibuni tufanye biashara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.