Acer gaming pc
Still iko good condition,(🚨🔥 (POWERFUL PC)
Price 1.2M
Bei yakutupa kazi kwenu gamer and editors,code
Details 👇🏿
Core i5,2.5ghz 7300hq 7th gen ram16gb ddr4 storage 750gb 1 blur fast usb port nvidia gtx 1050ti 4gb
Habari, naamini uko salama. Mimi ni agent natoa magari madogo na makubwa, container, loose cargo katika bandari ya Dar es Salaam.
Pia nauza magari used na chassis pamoja na container za 20 feet na 40 feet...kwa mawasiliano zaidi nichek +255764423726 wasap no.
Karibu Sana nikuhudumie.
Wakuu habarini.
Nina shida kidogo ya kifedha hivyo nina laptop yangu haiko vizuri kimuonekano, lakini inapiga kazi mwanzo mwisho.
Ndio ninayoitumia hata katika kazi zangu za muziki..naiuza kwa tsh 180000 tu.
Ni dell e6400 ram gb4 haddisk ina gb150.
Ukitaka nakubadilishia nakuwekea 500gb...
Nauza Portable Dell laptop 💻
Specifications
Generation:10
Internal storage:1000Gb(1tb)
Ram:4
Processor:2.5GHZ
Battery charge storage capacity:4hrs
Condition :Used like new /nimetumia kwa mwaka mmoja nilinunua 700,000Tsh
BEI:Nauza kwa Ofa Tsh 500,000
Location: Muhimbili ,Dar Es Salaam...
🚙Jeep
Grand Cherokee
➡️Limited edition
➡️Make 2014
➡️CC 3600, Petrol
♨️ECO consumption tech
➡️Auto 4x4 transmision
➡️Push start
➡️Air suspension auto
➡️Cruise control
➡️Auto Idle control.
➡️Registration #D
➡️Gari ipo Dar Es Salaam.
➡️Reason for selling: Travelling out of the country for a...
Habarini godoro naliuza nilinunua 140k hapo mwez 5 sasa ivi naliuza 100k lina miezi miwili tu toka linunuliwe hapo nilipiga picha wakati nimelinunua nimetumia miezi 2 tu nasisitiza LC 5×6 Jaman bei haishuki chini ya 100K.
Lipo katika hali nzuri kabisa halina shida ni vile tu shida zangu...
Nauza XIAOMI REDMI 13C
storage yake ni 128gb,ram 6gb,
ina fingerprint pembeni, kila kitu chake ninacho, box receipt n.k na ina mwezi tu, iko poa na waranty kila kitu.
nauza 200k tu, nipo mbezi magufuli
iwahi faster
0697224996
HABARI WANAJAMII,
NAUZA LODGE YANGU IPO WAZO HILL,KISANGA ROAD INAVYUMBA 11 VYOTE SELF AC,HEATER NA TV.
NJE KUNA KAUNTA,CHOO,JIKO NA PARKING
UKUBWA WA ENEO 1600 SQM
MATARAJIO YA MAUZO KWA SIKU 165,000-200,000
BEI 130 MILLION
:-KWA MTU SERIOUS TUWASILIANE SABABU YA BIASHARA NA MAZUNGUMZO...
Wadau wa graphics,gaming,na video production nauza macbook Pro za 2018 kwa bei ya jumla
Specs:
Macbook Pro
display Retina Iris display 13.3'
RAM: 16GB
Storage: ssd 500GB
Processor intel core i 5 3.1.Ghz
Touch pad bar.
Graphics: Intel Iris Plus Graphics 650,1536
bought from USA
asking price ~Tsh...
Nauza kitanda na godoro
Kitanda ni 5/6 mbao ni mninga
Godoro ni QFL dodoma nchi 8 ukubwa ni 5/6
Vyote nauza kwa 300k tu
sababu ya kuuza ni alikuwa anatumia mwanangu now nmemnunulia vipya
Karibu vipo tabata mawenzi
0659756647 calls/whatsapp
Habarii za Muda,
Nauza MAPARACHICHI kutoka moshi kwa gunia, noamba kama kuna mhitaji au dalali wa soko lolote Dar au popote tuwasiliane nikuuzie kwa bei nzuri kabisa, gunia ni 65,000 - 80,000 unaweza kupata idadi ya gunia utakazo
Mawasiliano 0658644485
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.