Ni kiwanja namba 696 kina ukubwa wa sqm 12570. Matumizi ni Housing Estate. Kipo Mtaa wa Vikonje Kata ya Mtumba Dodoma Jiji. Bei ni 6,000/ kwa sqm moja. Kinafaa kwa shule, ofisi, apartments, hotel nk. Kimepimwa na hati iko kwenye process.
Mazungumzo yapo.
Umbali kutoka mji wa kiserikali ni km 4...
Mashine inauzwa bei kitonga sana, wahi kabla haijachukuliwa
Device: Renovvo
Processor - 2.16 GHz
RAM - 4GB
EDITION - Window 10 pro
Version - 22HZ
CONDITION: Used like New
BEI : 280,000 (njoo tuongee)
0687900668 namba yangu
Napatikana hapa chuoni Dar es salaam Tumaini university (DAR TU)...
Wakuu nauza gari yangu
Toyota vitz
Mwaka 2003/2004
Transmission automatic CVT
Engine cc 1298
Colour silver.
Ipo kwenye condition nzuri kabisa
Tairi bado zipo vizuri.
Air condition system ipo njema kabisa.
Bei ni 6.3 mazungumzo yapo
1) Nina Epson Styplus Photo PX660 nauza iko Arusha. Namuhitaji mnunuzi wa haraka
2) Ninauza pia Photocopier ya Canon IR2202
Zote mbili hazijatumika sana
Wahi offer
Laini za wakala zimebaki mbili ni full documented na tunaandikishana, ikiwezekana twende kuchange usajili
Imebaki Halo pesa na Airtel money,
Zote nataka 90K
Karibu Dm
Habari za majukumu wapendwa
Nina eneo langu mwenyewe nahitaji mnunuzi lina heka 3 kwa bei 3.5m lipo njia ya morogoro kutokea bagamoyo kijiji cha mkenge mbele ya fukayosi
Eneo lina hati ya mauziano linatambulika na serikali za mtaa. Pleas kama upo interested unaweza ukanicheki kwenye namba...
Wakuu, kama kichwa cha habari
Specifications
Processor: Intel (R) Core i5 -5200U. CPU @2.20GHz 2.19GHz
Storage :500gb
Ram :4gb
Imetumika miezi 4
Bei: Tsh 350,000
Ipo Dar es salaam Temeke. Popote natuma
PM^
UPDATE.........
IMESHAUZWA
Ni laptop nzuri sana na ngumu mno.
Sifa
Touch screen,
HDD 500GB,
RAM 4GB,
SCREEN 11.4INCH
VERY SLIM AND CLEAN
IPO KISUTU DSM.
BEI 230,000/=
Maongezi: Yes
Charge : 2hrs
Namba ya sim: 0783973428
Je, unataka simu bei chee?
Je, una abudget ndogo na unataka simu?
Je, unataka kufanya Top up au exchange?
Nambie una budget ngapi tukupe simu kali ya budget yako.
Exchange na Top up tunafanya!
Simu tulizonazo dukani ni;
📱Google pixel
📱aquous arrow
📱samsung
📱Iphone
📱LG
📱Sonny Xperia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.