nauza

  1. K

    Nauza mfumo wa gesi kwenye bajaj kwa bei kitonga 200k

    Habari wakuu, nauza mfumo wa gas kwenye bajaj bei ni laki mbili.. Ila bado una deni la laki Saba na hamsini utaenda kumalizia mkopo wako. Mazungumzo yapo Wahi sasa
  2. J

    INAUZWA Nauza pete ya Tanzanite

    Habarini, wapendwa nilipata shida kidogo nilikuwa nataka kujua wapi naweza uza pete ya Tanzanite kwa Dar es salaam?
  3. Jay_255

    Nauza Powerbank ya Airtel 5g Router

    Inakaa masaa 8 ukiichaji full. Haijatumika sanaa maana muda wote router inatumika kwenye umeme.. Mara chache umeme ulipokatika ndio ilitumika. bei 20,000 0711707070
  4. Alex Hamadi Hamis

    Nauza Airtel 5G SmartBox Router

    Nimetumia miezi miwili tu Iko full box Bei: 17,5000/- TZS nimenunua 270,000/- TZS +255676095799
  5. run CMD

    Nauza Universal wifi router zinafanya kazi na laini ya mtandao wote Ule

    Hi Ni router za ukweli sana hauhitaji router ya kila kampuni insupport mtandao wowote ule online kama unapata si chini ya 200,000 hata kwenye soko la china.. Mimi nauza nusu bei yaani 120,000 pekee mpya kabisa kuanzia mbili kuna discount. Tupo Dar, Arusha na Nairobi
  6. F

    INAUZWA External and SATA 3.6 karibu nauza

    External (TOSHIBA 1 TB )na pamoja ya SATA nauza kwa gharama ya 50,000 whatsapp; 255685068828
  7. V

    Phone4Sale Nauza Samsung A15 ina wiki 1 tu full box

    SAMSUNG A15 INA WIKI 1 TU FULL BOX OFFER RAM 4GB, 128GB ROM BEI 260K MAONGEZI INBOX.. 0657262645
  8. Calyx24

    Computer4Sale Nauza Laptop yangu mpya Lenovo ideal pad 3

    Kipi ni bora kati ya SSD na HDD
  9. MaduhuJ

    Nauza mbao za mti wa Eucalyptus/Mkaratusi kwa bei ya shambani

    Habari, nauza mbao za mti wa Eucalyptus, kwa majina ya kiswahili unajulikana kama Mlingoti, Mkaratusi, Mti Mbao, Mbao nyekundu. Mbao zina ubora, size zimejaa na bei ni rafiki (ya shambani). Mbao hizi ninachana mwenyewe maeneo ya Mgololo, Mufindi (Iringa) na Uchindile, Mlimba (Moro). SIFA ZA...
  10. MaduhuJ

    Nauza mbao za mti wa Eucalyptus/Mkaratusi kwa bei ya shambani

    Habari, nauza mbao za mti wa Eucalyptus, kwa majina ya kiswahili unajulikana kama Mlingoti, Mkaratusi, Mti Mbao, Mbao nyekundu. Mbao zina ubora, size zimejaa na bei ni rafiki (ya shambani). Mbao hizi ninachana mwenyewe maeneo ya Mgololo, Mufindi (Iringa) na Uchindile, Mlimba (Moro). SIFA ZA...
  11. jey n

    Nauza trailers na vichwa vyake kama chuma chakavu

    Habari za muda ......nauza trailers na vichwa vyake kwa bei ya 10m kwa 8m....vinapatikana kibaha mkoani pwani...kwa mawasiliano zaidi 0767 015 189
  12. Evelyn Salt

    Nauza hereni za dhahabu....

    Matajiri hamjambo...... Nauza hereni zangu, mmiliki mimi....ni gram 1.4 nahitaji laki 3 tu ya fasta, ila ukiniongezea nitashukuru... Kaka zangu haya zawadi ya weekend mkawasapraizi muwapendao. Serious buyer njoo pm, unipe location nkuletee, Dar tu....mikoani situmi. Risiti nlionunulia ipo...
  13. D

    Offer offer phone accessories

    Duka ni jipya lipo mbagala phone accessories kwa BEI ya kitonga jumla na rejareja EARPODS 3 kwa 7,000/= tu Viioo vya SIMU Charge aina zote Smart watch N.k 0748831964 Whatsapp
  14. Anastasia21

    Plot4Sale Nauza kiwanja Goba Kibululu kwa million 10

    Kina ukubwa wa 25x20
  15. N'yadikwa

    Nauza maharage ya Mbeya kilo 350. 3000 kwa kilo 1

    Wateja karibuni bei ya shamba hiyo. DM for business. Location Dar na Katumba
  16. Tanki

    Nauza Sabufa yangu. Ni mpya

    🔊 MziKi mNeNE 🔊 *Sabufa ni mpya, Ina wiki tatu tu tangu itoke dukani. Ina njia mbili za umeme, AC na DC, yaani inapiga kazi hata kwenye solar au betri tu ya gari au pikipiki. Ina Bluetooth FM Radio USB AUX Memory Card NOTE: Ipo na box lake na kila kitu chake, yaani waya zote na remote yake...
  17. The ice breaker

    Nauza mayai ya kisasa

    Wakuu habari Nauza mayai ya kisasa Kwa bei ya jumla . Napatikana , dar es salaam kigamboni, hata ukiwa mkoani naweza kukutumia mzigo na unafika salama kabisa Kama upo dar , nafanya free delivery, nakuletea mpka ulipo. Bei Huwa inabadilika badilika , ila Kwa bei ya Leo ni 8000 Kwa trei...
  18. The_vision

    Nauza laptop yangu hii bado nzuri kabisa

    Mashine inauzwa bei kitonga sana, wahi kabla haijachukuliwa Device: Renovvo Processor - 2.16 GHz RAM - 4GB EDITION - Window 10 pro Version - 22HZ CONDITION: Used like New BEI : 250,000 (njoo tuongee) 0687900668 namba yangu Napatikana hapa chuoni Dar es salaam Tumaini university (DAR TU) mwenge
  19. Next Elon Musk

    Nauza Zambian Kwacha ya mwaka 2012

    Habari wakuu
Back
Top Bottom